Haya madini gani na yanapatikana mikoa gani?

Technophilic Sentinel

JF-Expert Member
Jan 18, 2024
2,384
3,668
Wakuu haya n madini gani?

94F29B90-415E-4CD8-986D-F0E1846F2700.jpeg
511971EC-9C5C-466B-A29E-58603A8C53F5.jpeg
 
Hayo ni madini ya Vito yalete nikuscanie ujue ni aina gani ya mwamba au chemical composition zake kwa kiasin kikubwa ni zipi? Bei ndogo tu makupimia kwa 50,000 kwa sample 1
 
Basi huku nilipo kutakua na madini mengi sana km mawe yote ni madini
Uko sahihi. Hayo yote ni madini na fursa kwako ukiamua kuichangamkia. Umekaa jirani na pesa boss.

Mfano kuna madini ya Vito (gemstones) kwa ajili ya kutengeneza jewelries kama hayo aliyoleta jamaa(sugilite), madini ya viwandani kama chokaa na gypsum, madini ujenzi kama mawe na mchanga na mengine mengi.

Hayo mawe unayosema ni mengi kwenu siku ukiamua kama una mtaji au unakopesheka utatengeneza pesa nyingi pasipokuwa na risk kubwa. Kikubwa ni kuwa na uelewa wa aina za madini na matumizi yake pia soko lake.
 
Back
Top Bottom