gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa NEC amejiandikisha, je unadhani atachagua viongozi wa chama gani?

  2. Poor Brain

    JamiiForums Tanzania Pepo gani hili? Navutiwa kuwa na mahusiano na Wanawake walionizidi umri

    Wakuu habari za mda huu.. leo nimeshindwa kulala nikitafakari sana Mwanzani nilijua ni sifa kutembea na watu walioniacha umri. Ila sasa imekua too much wakuu maana imefikia kipindi mpaka wasichana wa rika langu siwaelewi.. Hii hali ya kutowaelewa hawa wa rika yangu imeanza baada ya kujiona...
  3. C

    JamiiForums Tanzania TANESCO kwani mna matatizo gani? Siku zote hamkati umeme leo siku ya derby ndio mnakata sio bure mnatafuta sifa na kiki

    Naandika kwa masikitiko makubwa Leo nimelipia kingamuzi changu cha 28,000 kwa ajili ya Derby na kibanda umiza changu cha kuunga unga ila ghafla wamekata umeme. Na Leo ndio ilikuwa siku ya kutusua mana watu walijaa si haba Wameondoka wote na kwenda kwenye banda lense jeneeta. Imeniuma sana...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anayetelekeza watoto mapacha wa miaka miwili anawaza nini?

    Dah! Kuna watu wana roho ngumu, basi tu. Hivi, kweli, mwanamke anaejitambua, anawaza nini anapoamua kutelekeza vipacha vya miaka miwili na nusu? Baba ndo awe mlezi, awe mtafutaji, mama akale bata na wanaume kusikojulikana! Japo na wanaume hawako sawa(badhi),ila pia wanawake na wenyewe kuna...
  5. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Je Urais wa IPU Una Faida Gani Kwa Tanzania? Majibu Haya Hapa

    Kuna Hype (mhemuko) mkubwa kkwenye social media juu ya clip za Tulia Ackson akiwa kwenye mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU). Kuna wanaomsapoti kwa kauli zake kali dhidi ya maswali ya wabunge wakidhani amewaonyesha kuwa ana uwezo wa ki-uongozi. Na upande mwingine wanamuona amefeli kwenye...
  6. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Derby ya Kariakoo kesho, tabiri tukio gani la kisiasa litajitokeza

    Kama mnavyojua, Simba na Yanga ndio mtaji wa wanasiasa wa Tanzania. Hebu tabiri unahisi tukio gani la kisiasa lazma litajitokeza uwanjani?
  7. R

    JamiiForums Tanzania Waha na Wakinga wanapesa ila wanaongoza kuishi maeneo yasiyopimwa (Uswazi); Kabila gani jingine linapenda msongamano?

    Waha wangeamua kuishi kifahari wangeweza ila wengi wanapenda kuficha utajiri wao. Ni mara chache sana kuwakuta Waha wakiishi maeneo ya uzunguni. Hata awe na pesa kiasi gani atakwenda kununua kiwanja eneo lisilopimwa. Yupo tayari ameseme ana viwanja hata kumi ila vyote hakuna chenye sqm 1000...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Simu yako ya gharama ulinunua bei gani na siku ulipopoteza au kuibiwa ulijisikiaje?

    Nilijitahidi sana na kufanikiwa kununua iPhone 7 Plus nikiwa mwaka wa kwanza chuoni mwaka 2019, kipindi hicho simu hiyo bado ilikuwa maarufu sana. Nilikuwa naipenda sana kwa sababu ilikuwa inapiga picha nzuri na pia niliweza kuhifadhi mambo yangu mengi. Siku moja nikiwa njiani kuelekea Mwenge...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Maeneo gani Morogoro hayana vumbi kali

    Unakuta nyumba nzuri ila vumbi la mazingira linaingia Hadi ndani ni tabu tupu. Wapi kwenye unafuu? #Morogoro manicipal
  10. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Swali la Siku: Dhana gani kuhusu Chakula fulani unahisi ni Potofu?

    Leo Oktoba 16 ni Siku ya Chakula Duniani, licha ya umuhimu wa chakula kwa afya ya Binadamu, kuna dhana Potofu nyingi kuhusu chakula katika Jamii Kama mdau wa JamiiCheck.com, tujuze ni dhana gani umewahi kuisikia kuhusa chakula ambayo unahisi ni Potofu?
  11. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Muungano gani huu wa KIBAGUZI?

    Hivi majuzi nimetoka kununua viwanja vya biashara kwenye mikoa 3 ya Tanzania bara na zoezi limekwenda vizuri sana, mamlaka zimetoa ushirikiano wakutosha, zoezi la kutransfer majina ya wamiliki limekwenda vyema sana. Baada ya hapo nikaja Zanzibar kupata eneo ili kukamilisha zoezi na kuanza hatua...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Hivi haya mambo yana faida gani kwa Walimu zaidi ya kutapeliwa hela? Nani aliyeturoga?

    Habari za saa hizi Makada wa CCM. Ndugu zangu wanaSongwe mliambiwa kuwa kutakuwa na Mafunzo ya Walimu Makada wa CCM yatakayofanyika tarehe 02.11.2024 hadi 03.11.2024 , Wilaya ya Mbozi eneo la Mpakani na Mbeya kata ya Nanyala katika ukumbi wa sekondari ya SONGWE SUNRISE Mafunzo haya...
  13. nipo online

    JamiiForums Tanzania Natumia usafiri gani kuitoa pikipiki kutoka Mtwara kwenda Iringa kupitia Songea?

    Samahan wataalamu wa long vehicles wanipe maarifa na gharama hua zinakuaje, lengo niitoe pikipiki aina ya haujiwea, kutoka masasi to iringa via songea. Je, ni lorry, busses, or by truck? Hakuna bus la moja kwa moja from masasi to iringa. Zinaishia Makambako. Asanteni.
  14. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Ni kosa gani ulifanya wakati unanunua kiwanja cha makazi au biashara?

    Habari zenu wakuu? Lengo ni kuelishana, kosa ulilolifanya wewe kupitia comment yako huenda likamsaidia mwingine! Mimi kosa kubwa nililolifanya ni kununua eneo sloped, limenipasua kichwa lile eneo, eneo lina viwanja takribani 300, sasa mimi nilienda kununua wa mwisho nikakuta maeneo mazuri...
  15. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni kwa namna gani Upendeleo wa Kijinsia huwakwamisha Wanawake kushiriki katika Siasa Tanzania?

    Upendeleo wa kijinsia umekuwa mojawapo ya vikwazo vikubwa vinavyowakabili wanawake nchini Tanzania katika kujihusisha na siasa. Wanawake mara nyingi hukumbana na mtazamo hasi kutoka kwa jamii, ambapo nafasi za uongozi zimekuwa zikihusishwa zaidi na wanaume. Utamaduni wa kijamii unawapa...
  16. ekomu1

    JamiiForums Tanzania Hii ni dawa gani?

    Hii dawa mtu aliomba sana nimtafutie atanipa pesa nzuri sijui ya nini na inatibu nini.
  17. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi mpenzi wako anapokuita "mubaba"anakua na maana gani?

    Heri ya jumapili wakuu Sijui niko nyuma ya ulimwengu au ndio uzee unanisumbua. Hivi mpenzi wako wa kike anapokuita we mwanaume wake "MUBABA" anakua na maana gani? Maana kuna kibinti hivi vya mwaka elfu 2 kinapenda kuniita mubaba na wakati me bado yanki kabisa,sasa nimeshindwa kukihoji nikaona...
  18. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa usaliti ni Jambo gani lingine ukiligundua kwa mpenzi wako mnaachana siku hiyohiyo

    je ni ipi ukiigundua itakufanya umpige chini bila maelezo ukiachilia usaliti au fumanizi. Je,ukijua ni drug dealer Je ,ukijua amewahi kuua? Je,ukigundua anamiliki didlo kalificha? Je ukigundua anatumia bangi? Je ukigundua kitu gani kitaje?
  19. Singasinga

    JamiiForums Tanzania CRDB bank inapokea mwisho kiasi gani?

    Wakuu habari Naomba kujua kiwango cha juu cha mwisho ambacho kama mteja wa CRDB naweza kupokea kwenye account yangu ya mshahara.
  20. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 LGE2024 Hivi ni sababu gani zinafanya tusitumie Vitambulisho vya Mpiga Kura vya kawaida vya INEC kwenye chaguzi za Serikali za Mitaa?

    1. Ni kwanini kama nchi tunaingia gharama mara mbili kufanya zoezi Moja linalofanana? Hii tunayoambiwa kuwa ni Tume Huru ya Uchaguzi ya Taifa (INEC) waliandikisha/fanya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura nchi nzima wiki chache zilizopita. 2. Cha ajabu TAMISEMI ya Mchengerwa na...
Back
Top Bottom