Habarini wakuu naomba kuelekezwa sehemu ilipo office inayoshughulika na maswala ya mfumo wa ajiraportal Kwa hapa Dar es salaam maana nilijaribu kuwapigia simu ila sikupata utatuzi nahitaji kwenda direct ,Kwa yeyote anaefahamu walipo naomba kuelekezwa tafadhali
Wakuu Habari zenu,
Wataalam wa fani ya Afya naombeni ushauri.
Ni nchi gani kwa bara la ulaya vyuo vyake viko vizuri kwa fani ya afya upande wa ufamasia.
Nataka nimpeleke dogo huko lakini bado sijajua chuo na nchi ipi nzuri.
Hello my friend's
Hivi ni WhatsApp yangu tu ambayo leo haitumi text wala kupokea ujumbe? Mwanzo ilifunguka text zikaingia shida ikawa kujibu ukijibu inapotea ewani now haifunguki shida nini?
Nimejaribu kuupdate ila bado
Wakuu kwenye haya maisha kuna vitu vingi unavyotamani visiwepo kabisa kwa namna moja au nyingine.
Kwangu mimi natamani nifute magonjwa,umaskini,ajali yani visiwepo kabisa kwenye uso wa dunia.🤭
Je,ni kitu/vitu gani unatamani ukifute kwenye haya maisha kisiwepo moja kwa moja?
Kama Makonda alitoa kauli ambayo sio ya SERIKALI, ni nani anapaswa kuikana ?
Ni Mchengerwa au Gerson Msigwa.
Kikawaida ? ,
Ukitizama vizuri ndani yake kuna chuki kubwa dhidi ya Utendaji wa Makonda.
Mchengerwa hana mandate juu ya mkuu wa Mkoa, RC ni presidential appointment na Waziri ni...
Kwa sababu Lissu amekuwa anafunguka sana kwa vyombo vya habari na ameamua kuweka wazi mambo yote ndani ya CHADEMA waandishi wa habari sasa wamuulize Lissu pesa zinazosemewa alililetwa na Abdul ambazo anaambiwa wengine walizichukua waliambiwa ni za nini.
Ili story ikamalike na iweze kuunganika...
Habari za jioni.
Mwisho wa wiki hii nataka kutoka na Mpenzi wangu.
Sehemu iwe imetulia(kusiwe na vurugu nyingi)
Chakula kizuri, Mziki kwa mbalii, Gharama isiwe kubwa sana( bajeti iwe <100K). Pia isiwe nje ya jiji sana.
Nilitaka kumpeleka kwa wahindi, skweez( tatizo hakuna mziki).
M.
Thread...
Wakuu kama kichwa kinavyoeleza nimeanza kuwa na mapenzi ya dhati na Subaru Impreza za kuanzia mwaka 2012 tofauti na matoleo ya Nyuma kwakuwa za Nyuma niliziona ziko chini sana tofauti na hizi new model
Wasi wasi wangu ni kuwa nyingi nazo zifahamu au kuziona Mtaani na hata mtandaoni huuzawa mara...
WAHENGA WAHENGA Habari zenu bana wahenga wa miaka ileeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
naona sasa hivi WATURUKI ..........2024 wana tamba ile mbayaaaaa............... je wahenga
HIVI NI TAMTHILIA ZA NCHI GANI ZILIANZA KUVUMA HAPA TZ TOKA TV YA KWANZA kuanza kutumika ???
nafasi gani Rais wa Tanzania awezi kuingilia kufanya mabadiliko ya viongozi au kuwaondoa kazini?
Hivi ushawahi jiuliza hili awali? Mamlaka ya Rais ukomo wake? Kuna Nafasi hawezi ziingilia? Teua au fanya mabadiliko? Karibu tushirikishane
Salaam,Shalom!!
Enyi Wana wa Mungu msomao BIBLIA, ni wapi umewahi kusoma simulizi yoyote yenye utani au mzaha?
Yaani ukakuta Mungu akimtania Nabii wake, au Nabii alifanya mzaha Kwa wafuasi wake?
Hii mizaha na utani wafanyayo watumishi wa Mungu wa Leo wakiwa madhabahuni wanaitoa wapi?
Wana...
Ni wazi wanachadema wamezinduka na kustukia dhamira na nia zenye mashaka dhidi ya baadhi ya wagombea uongozi wake wa kitaifa.
Kauli ya muwakilishi wa wazee wakati wa kuwasilishwa ujumbe wa wenyeviti wa mikoa wa chadema kumuomba na kumshinikiza chairman Mbowe kugombea uenyekiti wa chadema Taifa...
Wakuu,
Kumbe ukiachana na mshahara Rais wa JMT anapewa Milioni 60 nyingine kila mwezi kutoka kwenye kitu kinachotambulika kama MFUKO WA RAIS?
Kwa mwaka hiyo ni Milioni 720.
Kwa hiyo kwa mwaka Rais ana Milioni 720 ambazo atachagua atafanyia nini?
Hii pesa yote inapita kwenye wizara gani? And...
Wakuu habari za humu ndani.
Hivi ni maumivu gani makali zaidi ya mwili wa binadamu ushawahi ku experience au uliona mtu anapitia ukaona kabisa ni maumivu makali kwa binadamu.
Kwangu mimi ni maumivu ya tumbo,kuna siku niliwahi changanya pilipili kichaa na vitunguu swaumu nikabrend then nikanywa...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,Una ndugu yako ambaye kaoa mke kimeo, Anamuibia pesa ndugu yako anamsaliti ndugu yako na ameapa kamwe hatazaa na huyo ndugu yako (yeye ana watoto wawili aliozaa kabla ya kuolewa)
Lakini Kila mkimwambia ndugu yenu haelewi na anaenda kumwambia mkewe,Inakuwa...
Wakuu naona Tundu Lissu amerejesha fomu akiwa na bullet proof. Wote tunajua makao makuu ya Chadema ni sehemu salama na yenye amani.
Ila kwenye siasa kila kitu kisicho cha kawaida ni ujumbe.
Hapa tunapata ujumbe gani kutoka kwa Lissu?
----
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.