gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Ada ikizidi inatakiwa urudishiwe baada ya muda gani

    Mimi nimemaliza chuo kikuu cha iringa mwaka 2024 mwezi wa 7 na nishamaliza clearance lakini hela sijarudushiwa nimeandika mbaka barua lakini wapi na ho hela nataka nifanye mtaji ajira hakuna sikuhizi kwa mwenye uzoefu au kama kuna msaada wa kupaza sautii maana hali ni mbaya na ninadai zaidi ya...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Radio Free Africa mna shida gani??

    Ni wiki sasa nikifungulia radio yenu kusikiliza vipindi vya asubuhi vya magazeti na matukio nakutana na miziki na matangazo ya biashara tu. Kulikoni???
  3. JamiiForums Tanzania Nahitaji kueezeka nyumba ni ushauri gani utanifaa

    Jamani mnipe highlights hasa kuhusu selection ya bati,maana bajeti yangu sio kubwa sana
  4. JamiiForums Tanzania Nida Mnashida gani lakini?

    Nimejiandikisha nida toka 2022 kama sikosei, nilipata Namba ndani ya mwezi ila sasa hivi ni miaka mitatu sina kitambulisho Ukiangalia online unakuta kipo kimeshachapwa tayari, walipeleka serikali za mitaa (Moya ya uamuzi wa hovyo zaidi) sababu nilienda mara ya kwanza wakasema sio vyote...
  5. JamiiForums Tanzania Ivi ukiota mwanaume usiemjua anakubusu mdomoni kwenye ndoto ina maana gani?

    Haya swali ndio hilo Leo jumapili mnijibu basi Msije sema spiritual husband maana hamnaga hicho kitu, Mungu hajaweka hivyo
  6. JamiiForums Tanzania NI WI-FI YA MTANDAO GANI INA BEI RAHISI TANZANIA

    Je unahitaj kujua ni wi-fi gani Ina Bei rahisi kuliko wi-fi ya mtandao wowote hapa Tz, tujuze kwenye comment hapo chini, Ila mim naona ni AIRTEL POCKET WI-FI. Ni wi-fi ya Bei rahisi imara na yenye ofa za vifurushi vya Bei ya chin kabisa
  7. JamiiForums Tanzania Kuna shida gani kwenye mitandao ya simu kwa sasa, Je tupo salama?

    Hali ya usalama wa mali za raia inatia wasiwasi sana kwani kwa sasa mfululizo wa jumbe za utapeli umekuwa kwa kasi sana. Linalotia shaka zaidi ni pale unapokuwa mtu wa kufanya transactions mob maybe depositing au withrdrawing basi punde baada ya muamala ujumbe wa “Tuma kwenye namba hii”...
  8. JamiiForums Tanzania Sheria gani ya shule ambayo ilikuwa lazima uivunje

    Shule tulizosoma zilikuwa na sheria na kanuni zake Binafsi shule niliyosoma pamoja nilikuwa mwanafunzi mtiifu ila sheria zifuatazo zilinishinda 1. Kufika shule siku ya kufungua shule Hapa ilikuwa lazima nivute nifike baada ya wiki 1 au 2 2. Kutochomekea shati Hapa hata ungeniua nisingeweza...
  9. JamiiForums Tanzania Baada Dramacool na baadhi ya tovuti kufungwa. Ni tovuti gani unaweza kupakua (download) Korean Drama bure

    Wadau wa Korean Drama kwasasa ni tovuti gani zimebaki ambazo unaweza pakua bure. Tovuti ambayo inakuwa na high quality. Nkiri iweke kando Kwanza ina low quality na Drama nyingi hakuna
  10. JamiiForums Tanzania Kwenu/Kwako Pana Mti Gani?

    Huu mti uliota Shambani kwangu, Miaka 6 iliyopita.Mke wangu alikuwa anasimamia Ujenzi akataka Kukata, nikamwambia auache. Mwaka Jana ukatoa Maua mazuri lakini Yana harufu isiyovutia. Punde Majirani wakawa wanaambiana Kwa Siri kwamba Kwangu Siyo Mahali pa mchezo, Pana ulinzi mkali. Nikachunguza...
  11. JamiiForums Tanzania Mtu ametapeli na namba yake ipo hewani je? Kuna ugumu gani kukamatwa?

    Kuna mtu amekwapuliwa simu na mtu waliyekuwa wanadaiana ripoti ipo polisi tayari ila leo ni siku ya pili namba akipigiwa anapokea naomba kujua Kuna ugumu gani wa huyu mtu kukamatwa na anatumia smart Pesa yake alitumiwa yote iliyobakia 50k je polisi hawawezi mpata au ndo mpoka chochote mkononi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Binadamu tulikuwa na makosa gani hadi tukaletewa Shetani huku duniani ?, tuanze kupambana kwenda mbinguni, kwa nini hatukuumbiwa huko huko mbinguni ?

    Vita ya Mungu na shetani ilianzia huko mbinguni, Mungu kashindwa kumuangamiza shetani akiwa nae huko huko mbinguni ila kamtupia huku duniani sisi binadamu viumbe dhaifu ndio tupambane nae. imagine mfano upo Baba unaishi na familia yako, ndani ya chumba chako baba anatokea nyoka ambaye...
  13. JamiiForums Tanzania Mbali na kazi unayoifanya ni kazi gani nyingine unaipendelea zaidi lakini unajizuia kwa sababu zako binafsi?

    Ugonile. Binafsi kipindi niko mdogo ndoto yangu kubwa ilikua kuwa Hakimu/Judge lakini baada ya kugraduate iyo kozi na kuipractice kidogo mahakamani niliona majukumu ni mengi sana ambayo yataniitaji niwe mtu wa kusoma kila siku kitu ambacho nakichukia sana ivyo nikaamua kuipiga chini nikageukia...
  14. JamiiForums Tanzania Maswala gani matatu utaanza nayo ili kuufufua uchumi wa nchi hii endapo utapata nafasi ya juu katika uongozi?

  15. JamiiForums Tanzania Ni njia gani nitumie ili mdogo wangu ajiunge na academy au timu yeyote ya Mira wa miguu nchini ??

    Wakuu, Ni mdogo wangu wa damu anaitwa Charles masanja ana umri wa miaka 12 anakiwasha sawa sawa anacheza nafasi zote za mbele namaanisha namba 8,9,10,11 na 7 Anakipaji kikubwa Sana,kipaji chake kimepelekea kuaminiwa ktk timu ya wakubwa na anacheza vizuri Sana Ndiyo zake ni kuwa mchezaji...
  16. JamiiForums Tanzania Wakuu hili jengo linaweza gharimu kiasi gani kuanzia msingi hadi kuezeka bila finishing?

    Idea ni kujenga hostel kwa ajili ya wanafunzi. Jengo la ghorofa moja. Urefu wa 25m kwa upana wa 6m. Pichani ni picha inayofanania hilo jengo ingawa hilo lina vyumba 10. Ninalotaka mimi litakuwa na vyumba 5. Makadirio ya gharama vipi kuanzia kwenye msingi hadi kuezeka bila finishing? Yaani bila...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Huwa unazingatia vitu gani unapotumia Mitandao ya Kijamii?

    Mitandao ya kijamii siyo tena sehemu ya kujipost tu au kufanya mawasiliano na watu. Kuna fursa mbalimbali zinazojitokea ukiamua kufanya maamuzi sahihi ya Mitandao kama vile kufanya biashara, kuwa "influencer" au "content creator" KANUNI AU "ETIQUETTES" ZA KUZINGATIA UKIWA UNATUMIA MTANDAO...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa haraka nisome kozi gani iniweke mjini baaada ya kuhitimu chuo?

    01.Ufundi Bomba 02.umeme wa magari 04.udereva 05.Fokolift 06.welding Kutokana na uwezo wako na uzoefu wako toa ushauri
  19. JamiiForums Tanzania Jaman wadau hii printer unaweza kuwa bei gani?

    hii ni canon mp250 all in one Kwa bei inaweza kua ngapi? Na nikiyakanyaga inaweza uzika Kwa haraka?
  20. R

    JamiiForums Tanzania Ni kwa muda gani mrefu zaidi ulitumia kutongoza

    Kwetu rika la 30 na kuendelea sisi kipindi chetu kufukuzia miezi ilikuwa ni kawaida sana maana hakuna simu na kumfatilia ni kwa makadirio unajiweka njia anayopita waweza kesha hadi usiku hapiti kumbe yupo kwao. Nakumbuka niliwahi kukutana na binti flani haikuwa rahisi kumpata, nimeshawahi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…