gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Hilo penzi lenu na huyo baby wako mmefikia hatua gani hadi sasa?

    eti wakuu? Hilo penzi lenu na huyo baby wako mmefikia hatua gani hadi sasa? Je mnajiona mkitoboa miezi 6 au tuwaache kwanza?
  2. Fortilo

    JamiiForums Tanzania Kinachowazuia wanasiasa wetu kutumia JF kutupasha habari ni kitu gani?

    Barangumu limelia.. Nchi tajiri zinaona zinafilisi kodi za wananchi wao kwa kuisaidia Africa misaada ya "kishenzi" wakati viongozi wetu wakielea kwenye matumizi ya " anasa" Burkinafaso Imeonyesha mfano wa kutaka kujitegemea na kuondokana na wakoloni mazima... Wameanza na kutengeneza magari...
  3. Davidmmarista

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katika hali gani unaweza kulazimika kuoa mwanamke mwenye mtoto?

    Je unaweza kuoa mwanamke mwenye mtoto.
  4. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Kama mzazi, binti yako ndio amekuja kukuambia kuwa amepata mchumba, ni swali gani la kwanza utamuuliza binti yako?

    Karibu mzazi wa mwanamali na mzazi wa mwanamali mtarajiwa.
  5. dorge

    JamiiForums Tanzania Nilidondoshaga wallet bar. Sijui barmaid au mwanamke gani akaiokota, alichofanya Mungu anajua

    Bar fulani pale Kinyerezi nilipita kupata moja moto Baada ya kumaliza wallah sijalewa kivile, ilikuwa mifuko ya nyuma ya jeans yangu imelegea ikadondoka pale kwenye tent la tasker kuna kigiza. Nikasepa, akapita nayo huyo aidha barmaid au mwanamke kwa sababu iliokotwa kwenye dust bin chooni kwa...
  6. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Nyimbo gani zinakuliwaza ukiwa na wakati mgumu?

    Ukiwa na huzuni, umetendwa au maisha tu yamekuvuruga, unasikilizaga nini kujiliwaza. Top 5 zangu Million years ago - Adele Sikati Tamaa - Darasa Moyo Wangu - patrick kubuya Voilà - Barbara Pravi Dear Mama - 2pac https://youtu.be/Db9ciJPIaEU?feature=shared...
  7. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa CCM Umasikini nchini utaisha lini na sasa tuko hatua gani?

    CCM ndio chama kilichoamoniwa kutupa mwelekeo wa taifa. Hata wananchi walipoulizwa kama wanataka vyama vingi miaka ya 90 walisema kwa zaidi ya 80% CCM iendelee. Huwa sijui kwa Mujibu wa CCM na ilani zao wao wamepanga kuumaliza umasikini lini? Katika mikakati yao sasa hivi tuko katikqti ya...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mchezaji yupo tayari kucheza Yanga kwa mshahara mdogo kuliko uwezo wake ila anaifia timu, Kuna siri gani wanaitumia Yanga?

    Kuna muda inakera sana unakuta wachezaji wa timu nyingine hawapo loyal na team zao, timu ikifungwa wanachukulia poa tu, wachezaji wanarogana ndani ya team, n.k. Ukija upande wa Yanga hali ni tofauti, wachezaji wengi tumewaona wapo tayari kuifia uwanjani, wapo tayari kuvumilia kupigwa bench...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Nauliza eti mshambuliaji hatari wa wa Simba anayeenda kwa jina la chasambi anaasili ya mkoa gani hapa Tanzania ?

    Wadau hamjamboni nyote? Siku njema
  10. J

    JamiiForums Tanzania Laana Inatajwa Sana. Ni kitu Gani? Fuatana nami uifahamu tafsiri yake

    Laana Inatajwa Sana. Ni kitu Gani. Neno laana liko kwa namna mbili, kibiblia. Aina ya kwanza, ni kupoteza sifa ya kukubaliwa na Mungu kwa jambo lolote lile. Na hii chanzo chake ni lile anguko la mwanadamu tangu mwanzo. Aina ya pili, ni apizo alitoalo mwanadamu kwa mwenzake, au alitoalo Mungu...
  11. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Jina gani hapa JF limekuacha hoi?

    Kuna yule mwamba anaitwa tako_la_mtemi Nikifa MkeWangu Asiolewe 😅😂
  12. I

    JamiiForums Tanzania Ni kozi gani??

    Ni kozi gani? Ambayo huwezi mshauri ndugu au rafiki au mtoto wako aisome??
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Watoto hawa wanatrend Afrika, wateka Mioyo ya wengi – umejifunza nini?

    Wakuu Moja ya video ambayo imevutia macho ya wengi na kusambaa mitandaoni, nini umejifunza baada ya kutazama mpaka mwisho na ulitegemea nani angeshinda?
  14. kiredio Jr

    JamiiForums Tanzania Wadau naomba mnijuze hiki kifaa kinauzwa bei gani

    Habari za asubuhi wadau Kwa wale wajuzi wa vifaa vya umeme naombeni mnijuze hicho kifaa kinauzwa bei gani. NEW
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hospitali ya Sinza Palestina ina uhusiano gani na Palestina?

    Wajuzi wa Historia ya mji wa Dar es Salaam, Hospitali ya iliyoko Dar es Salaam inayoitwa Sinza Palestina ina uhusiano wowote na Palestina? Ilikuaje ikapewa hilo jina la Palestina?
  16. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Ni kiungo gani cha mwili wako unachokikagua mara kwa mara

    Mimi nalinda sana mkuyenge kila nikiamka lazima nifanye microphone test, wewe je?
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania JANETH MASSABURI: Serikali ina mpango gani wa kutenga bajeti ya elimu kwa umma kwa masuala mbalimbali yanayotarajiwa kutekelezwa nchini?

    JANETH MASSABURI, Mbunge wa Viti Maalum Anauliza; Serikali ina mpango gani wa kutenga bajeti ya elimu kwa umma kwa masuala mbalimbali yanayotarajiwa kutekelezwa nchini? Serikali imezisisitiza Wizara zote na taasisi zake kuendelea kutenga fedha kwenye mafungu yao kwa ajili ya kutoa elimu kwa...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Naipata maumivu nikikojoa siku chache baada ya kufanya mapenzi. Huu utakuwa ni ugonjwa gani?

    Mwezi umepita nililala na mwanamke bila Kinga, mpaka leo nikikojoa panauma. Je, inaweza kua UGONJWA gani?
  19. W

    JamiiForums Tanzania Taarifa gani umewahi kusikia kuhusu Saratani ikakupa shaka?

    Kila mwaka Februari 04 huwa ni siku ya kuadhimisha saratani duniani kwa lengo la kutoa elimu, takwimu na uelewa kuhusu Saratani. Na kwa takwimu za mwaka 2024 zimeonesha kuwa bara la Asia ndo linaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya waangaa wa Saratani ya shingo ya kizazi SARATANI NI NINI Miili...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka matokeo ya mechi gani yaliyokuachia kumbukumbu isiyofutika kichwani?

    Mimi nakumbuka hii hapa. Siku hii tukiwa na ma fans wa Germany, baada ya matokeo, Pombe zilinyweka kuanzia saa 6 usiku huo Hadi kesho yake saa 6 usiku. (Mengine sisemi). Toka siku hiyo sijwahi kunywa tena kiasi kile. Huko Brazil nako Serikali ikatangaza maombolezo ya kitaifa 😂😂 Kwa kifupi...
Back
Top Bottom