gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. PreGE2025 Tundu Lissu atatumia mbinu gani kushawishi watu waandamane, Watanzania wa kizazi hiki ni waoga sana?

    Nimemsikia akisema No Reform,No Election, Akaongeza kuwa vinginevyo ataitisha maandamano nchi nzima. Hao watu wa kuandamana atawatoa waoi? Nchi imejaa chawa na waoga.mara ya mwisho kuona maandamano ilikuwa 2005 au 2006 wanafunzi wa UDSM wakipinga sera ya bodi ya mikopo,kuanzia hapo maandamano...
  2. A

    Ugonjwa zao la ufuta majani kujikunja na kukakamaa nitumie dawa gani

    Ufuta wangu una wiki 7 majan yanakakamaa je nipige dawa gani nimeshapga dawa ya duduba lakin hali bado haijakaa sawa
  3. Je, ni manukato (perfume) gani yanafaa zaidi kwa hali ya hewa ya joto sana?

    Ninaishi katika jiji lenye joto kali na halijoto hufikia 35°c kwa urahisi kwa hivyo karibu harufu yoyote ile huhisi kuudhi. Je, ni perfume gani inayoweza kuburudisha hisia hiyo? Kwasababu kwa ninavyofahamu kila perfume hutengenezwa kulingana na hali ya hewa la eneo,sasa juzi nilijichanganya...
  4. W

    Physics - A, chemistry - B, Hesabu - A, aende kusomea chuo gani na taaluma ipi ya Engineering ?

    Kuna mtoto wa dada yangu kapata hayo matokeo FORM 4 Hataki kusikia habari za form 6, anataka kuanza safari yake ya kusomea taaluma mapema, hivyo kaamua aende chuo Shida inakuja anapenda taaluma ya engineering ila hajui ipi aiseomee, hofu yangu asije akaenda kusomea engineering itayompa shida...
  5. L

    Hivi ina ulazima gani?

    Hebu tuambiane jambo/mambo ambayo hayana ulazima kwenye mchakato wa kutongoza. Jamaa yangu ametengwa na wanaume wenzake hapa mtaani kwa tabia yake mbovu ya kutongoza wake za rafiki zake. Huku wakijua ni rafiki Yao wanamsimulia matukio muhimu ya michepuko waliyonayo. Jamaa akitoka anaenda...
  6. Ndoto ya kuota kesi inamana gani?

    Habari zenu wadau Leo ni kwa mara pili naota watu wanataka kunipa kesi ndoto ya kwanza mwaka huu Niliota watu wanataka kunipa kesi katika mauwaji wa albino yaliyotokea wakawa wananitafuta mimi Ndoto ya pili nimeiota Leo hii Nimeota watu wananitafuta mimi wanipe kesi kwa ubadilishaji wa pesa za...
  7. Channel Ten plus mna matatizo gani?

    Hello guys!! Yani naomba niweke wazi mimi sichukii dini ya mwengine lakini kwa hili la channel ten plus you guys sjui mlifikiria nini. Kunaye huyo mchungaji ni anaoga tope anagara gara, anaoga vumbi, anaoga maji ya kwenye pipa na suti yake, mnaomiliki hii channel mlifikiria kama kuna sisi...
  8. Unapiga side hustle gani kukuingizia kipato?

    Mko vizuri wakubwa? Tupeane mbinu za kuishi aisee,tuambiane apart from your permanent job unapiga side hustle gani kujiongezea kipato? Binafsi i did bachelor of Commerce in Accounting chuo flani hapo dar,nikatafuta kazi za fani yangu nikakosa nikaanza kupiga kazi za sales and marketing...
  9. Kwa laki 3.5 Ninunue simu gani?

    Wakuu nina 350k. Naomba ushauri wenu ninunue simu gani kwa hela hii. Simu inayokaa na chaji na ina designe nzuri pia isiwe single line.
  10. R

    Msaada: Ni material gani nzuri kwa skimming ya nyumba baada ya kupiga plasta

    Nimekutana na aa array of skimming materials. Ni ipi inafaa kwa skimming ya kuta baada ya kupiga plasta kuta
  11. Kalala usiku kaamka kanyolewa nywele. Madaktari njooni hapa mtueleze huu ni ugonjwa gani?

    Habari wakuu, Picha hapo juu inajieleza, Ni kijana mwenye umri wa miaka 26, jinsia mwanaume, kazi yake ni mkulima. Alilala usiku akaamka hana nywere baadhi ktk eneo la juu ya kisogo na pembeni, nywere zilizotoka hazikuonekana kitandani wala popote, hii hali ilitokea ghafla tu Hana rekodi...
  12. Ni mstari gani wa kwenye biblia ukiosoma unaona unamfaa Dk Bashiru Ally Kakurwa

    Zab23 Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu ...nijapopita katika bonde la mauti sitaogopa. Yeremia 17:5 Amelaaniwa yule amtegemeaye mwanadamu
  13. CM trading ni kitu gani

    Jaman marafiki zangu, nilikutana na habari sijui ni za kweli au uongo kwamba Rais amezungumzia CM trading kwa kuinvest laki 7 sawa na dollar 300. Nikaingia kwenye website nikajaribu kufanya usajili, basi nikapigiwa simu kutoka SA. Kumbe zile information walikuwa wanaziona. Yule mtu alitaka...
  14. Ndg zangu wahaya hii nyimbo "Bakunyimenyeite(Tetemesha)" ya mwanadada Saida karoli Huwa inamaana Gani ?

    Mficha uchi hazai/mificha maradhi kifo kitamuumbua na kuuliza siku zote sio ujinga. Hii nyimbo Ina miaka kadhaa Sasa lakini Kila ninapo zungukia kwenye sherehe hasa kijijini haijarishi iwe Kwa wasukuma ama makabila mengine huku Kanda ya Ziwa nyimbo hii Bado Iko kwenye chati. Nyimbo hii Ina...
  15. Usaili wa Kuandika Ajira za Walimu Daraja la III C Maswali Gani Yataulizwa?

    Zimesalia siku mbili usaili wa walimu daraja la IIIC uanze. Hata hivyo, Daraja la IIIC ulishaanza kwa wale ambao masomo yao hayakuwa na usaili wa kuandika ila usaili wa mazungumzo pekee. Kwa wale wa usaili wa mazungumzo, mambo yanaanza tarehe 24/01/2025. Walimu wengi hawafahamu katika usaili...
  16. Boni Yai yupo na hali gani ?

    Boni Yai Nyamidevu yupo na hali gani ? Maana mwanzo nilikuwa namkubali kweli
  17. Hizi pete ambazo baadhi ya watu huvika vidoleni huwa ni za asili na kazi gani? Karibuni tujuzane

  18. Dikteta Captain Traore wa Burkina Faso ana maajabu gani kumfanya kukubalika sana na Waafrika wengi?

    Kwa nini huyu Rais dikteta wa Burkina Faso Waafrika wanapenda kumpamba sana kwa taarifa za uongo na propaganda? Ana maajabu gani? Hapa wanasema alialikwa katika uapisho wa Trump akakataa!🤣
  19. Maisha: Ni mitihani gani au changamoto zipi ulizokumbana nazo maishani mwako na kuzikubali na kuamua uishi nazo ili maisha yaendelee?

    Habari za asubuhi waungwana wa humu jamvini...... Hakika maisha ni safari ndefu sana na wakati mwingine kwenye maisha tunakumbana na changamoto na mitihani mbali mbali....... Kuna baadhi ya changamoto na mitihani tunazikabili na kuzipatia ufumbuzi na kuendelea na maisha na kuna zingine kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…