Kisa gani cha mapenzi ambacho kila ukikikumbuka unachukia?

Tickmill

Member
Joined
Jul 29, 2023
Posts
77
Reaction score
162
Habari za week end wapendwa.
Katika ulimwengu wa mapenzi na mahusiano kuna visa kadhaa tumevifanya ambavyo huwa baadae tunajiona kuwa tulifanya ujinga.

Kuna mkoa mmoja nilihamia na nikabahatika kukutana na watoto warembo sana ambao ni mtu na mdogo wake.

Nikatokea kuvutiea sana na mdogo mtu.

Tulianza penzi zuri sana lililojaa msisimko.

Baadae dogo alianza kuzingua...
Baada ya week 2 dada mtu alinitafuta kwa ajili ya kunijulia hali.
Moyoni nikajisemea amejileta.

Basi nikamuiliza kama jioni hii tungeweza kuonana, kwa vile nilijua mdogo wake kasafiri nilimuomba nimfuate nyumbani tukapate chakula cha usiku.

Kweli jioni nikampitia kwa ajili ya chakula cha usiku.

Baada ya chakula niliwrza kumshawishi twende nyumbani na hatimaye ...safari mpya ikaanza.
Huyu sasa alikuja kwa kasi sana kiasi nikamsahau kabisa mdogo wake.

Baadae aliporejea safari na alipohisi nimekata mawasiliano simtafuti ilimlazimu aje akilia.
Nilimchana kuwa ulinizingua sana yaishie hapa hapa lkn dogo aliganda na kugoma kuondoka kwa muda wa siku 2.

Dada mtu alipogundua alilia sana.

Nami nilipoona nimewachanganya watoto wa mama mmoja oliniuma na nilijiona mjinga.

Hatua niliyochukua ni kuwaacha wote.

Hili nalo lilikuwa gumu kwani dada mtu hakubali na mdogo hakubali.

Nilisafiri kwenda mbali...hapo ndipo ikawa mwisho wa ujinga huu.

Je una kisa ambacho unakijutia katika mahusiano?
 
Niliwahi kuwa na mahusiano na mke wa mtu, na ilinichukua muda sana kuachana nae
Ndie mwanamke niliwahi kaa nae kwenye mahusiano muda mrefu.
Nilishawahi toka Dar mpaka mwanza kumfuata na Bahati mbaya mme wake alirudi ghafla hivyo hatuonana
 
Kula mke wa mtu hatari sana
 
Mpaka mawakala wa forex mnasumbuliwa na mapenzi...😂
 
Aliyeanzisha mapenzi anyongwe Hadi kufa, ametuletea kitu Cha kijinga kabis
 
kwenye mapenzi bado hakuna nachokijutia,. ila kwenye maisha in general viko vingi
Asiyefunzwa na mama yake, hufunzwa na ulimwengu...

Mimi ndiyo ulimwengu wenyewe sasa karibu sana...
 
Habari za week end wapendwa.
Katika ulimwengu wa mapenzi na mahusiano kuna visa kadhaa tumevifanya ambavyo huwa baadae tunajiona kuwa tulifanya ujinga.

Kuna mkoa mmoja nilihamia na nikabahatika kukutana na watoto warembo sana ambao ni mtu na mdogo wake.

Nikatokea kuvutiea sana na mdogo mtu.

Tulianza penzi zuri sana lililojaa msisimko.

Baadae dogo alianza kuzingua...
Baada ya week 2 dada mtu alinitafuta kwa ajili ya kunijulia hali.
Moyoni nikajisemea amejileta.

Basi nikamuiliza kama jioni hii tungeweza kuonana, kwa vile nilijua mdogo wake kasafiri nilimuomba nimfuate nyumbani tukapate chakula cha usiku.

Kweli jioni nikampitia kwa ajili ya chakula cha usiku.

Baada ya chakula niliwrza kumshawishi twende nyumbani na hatimaye ...safari mpya ikaanza.
Huyu sasa alikuja kwa kasi sana kiasi nikamsahau kabisa mdogo wake.

Baadae aliporejea safari na alipohisi nimekata mawasiliano simtafuti ilimlazimu aje akilia.
Nilimchana kuwa ulinizingua sana yaishie hapa hapa lkn dogo aliganda na kugoma kuondoka kwa muda wa siku 2.

Dada mtu alipogundua alilia sana.

Nami nilipoona nimewachanganya watoto wa mama mmoja oliniuma na nilijiona mjinga.

Hatua niliyochukua ni kuwaacha wote.

Hili nalo lilikuwa gumu kwani dada mtu hakubali na mdogo hakubali.

Nilisafiri kwenda mbali...hapo ndipo ikawa mwisho wa ujinga huu.

Je una kisa ambacho unakijutia katika mahusiano?
Mapenzi ni scam
 
Back
Top Bottom