gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wazungu wakiendelea kukaza hivi hivi hadi mwisho inaweza kutuchukua muda gani kuingia katika total economic crisis?

    Economists, Planners, Financial analysts, Insiders, Strategists, JFers, Karibuni.
  2. JamiiForums Tanzania Je, unayafahamu maneno haya? Ni lugha gani?

    Kinyengo Mafyulisi Mang'ang'a Matombolilo Posolo Katapera Nguniani Mapululilo Mkambokambo Mapohora Mang'ela Mabangayeye Migagi Vitindi/ kitindi Kipumilo
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kujua Mussa alikua katili kwa kiasi gani Bonyeza HESABU 31;17-18

    Halafu Leo mtu aniambie eti Mussa huyu ni mtakatifu kuliko babu yangu ambae hajawahi kuua hata sisimizi au kuliko Mimi ambae hata nikiona kuku anachinjwa nasisimka.. Waafrika tujitambue. Hizi dini za kigeni sio zetu. Ndio maana zimeshindwa kutoa majibu ya maswali yetu kama waafrika.. Turudi...
  4. JamiiForums Tanzania Kama Chadema hawataki Maridhiano CCM sii iliriadhane na Vyama 18 vilivyopo. Kuna haja gani ya kumsubiria "Mwenzao" waliyemfunga

    Nimemsikia samia akisema wanamsubiria mwenzao anatafakari mambo kadhaa. Na hawa wengine nmewaona wana furaha wakitabasamu kuwa pale. Sasa hawa si wapo tayari? Kuna Chauma, ACT, CUF,TLP,NLD,NCCR n.k kwa nini CCM na samia wasiamue tu kuridhiana na hawa mpaka wamsubirie Lissu? Je hawa wengine...
  5. K

    JamiiForums Tanzania TPCSS 1 ni kiwango gani cha mshahara?

    .
  6. JamiiForums Tanzania Huyo Mwenzao mmoja anayesemwa na Samia kwamba anaendelea kutafakari ni nani na anatokea Chama gani?

    Hili ndilo swali ambalo watu wote wanajiuliza baada ya tamko la Mwenyekiti wa ccm alipokutana na vyama ndugu na rafiki wa kufa n.a. kuzikana vikiwemo CHAUMA na ACT Mwenzao huyo ni nani ?
  7. JamiiForums Tanzania Kiongozi gani wa CHADEMA anaweza kuwania urais 2030 na kuleta ushindani kwa CCM kati ya hawa?

    Hapa ni kuona ni kiongozi gani wa CHADEMA anaushawishi humu JF. Unaweza kutoa na maoni yako kwa nini unafikiri kiongozi uliyemchagua anaweza kushika nafasi hiyo. Upande wa CCM 1. Emanuel Nchimbi 2. Kassim Majaliwa Ndio wananguvu humu JF. Ingawaje nusu ya wapiga kura hawaitaki CCM. Karibuni
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni surprise gani uliwahi kufanyiwa na mpenzi wako mpaka leo huwezi kusahau

    Kuna binti kakutana na Surprise ambayo naamini hawezi kusahau kamwe, alikuwa na mpenzi wake ambaye walikuwa na miaka 4 anakwenda mpaka kwa kwao na jamaa akiamini kwa hatua waliyofikia yeye ni mke bado kuthibitishwa tu. Kama kawaida siku moja alikwenda kwa mpenzi wake akalala mpaka asubuhi...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Tujadili hii kwangua kwangua ya barabara kila mwaka ina tija gani?

    Katika mambo ambauo huwa yananiwazisha kwenye jamii yetu hii basi moja wapo ni huu mradi wa kukwangua barabara mitaani kila kiangazi inapoingia Barabara nyingi zinakwanguliwa kwa kutumia gharama lakini masika ikiingia barabara hizo hizo unakuta hazipitika kwasababu ya ubovu Hapa tusaidiane...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Ni mkoa gani unaukubali kwa Misosi?

    Habari wakuu, Kwa wale tunaopenda kusafiri mikoa mbalimbali au hata wale tunaojivunia asili zetu, huwa kuna mkoa unaokubali kwenye mambo ya Misosi. Mfano kuna mshikaji wangu yeye anapakubali sana Mara anasema Kuna Sato, sangara, dagaa, maziwa na nyama kwa sababu wakurya wanafuga sana ng'ombe...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani wa mtu kuota ndoto?

    Kwa nini mimi sioti ndoto? Ni Maswali kwa baadhi ya watu ambao wamekuwa hawapati ndoto ? Kuna umuhimu gani wa mtu kuota ndoto? Ndoto ni njia moja wapo ambayo Mungu au miungu wanaitumia kwa ajili ya kuzungumza na Mwanadamu Ayub 33:14_15 Kwa hiyo kama ndoto ni njia ambayo Mungu au miungu...
  12. JamiiForums Tanzania Evarist Chahali - Jasusi: Ugaidi is a very stupid and poor CCM's political strategy kukabaliana na CHADEMA. Hii ni dalili kuu ya kushindwa kwao!

  13. JamiiForums Tanzania Mzalendo ni mtu gani na uzalendo ni nini?(Patriotic vs Patriotism)

    Habari za wakati huu. Nipo hapa baada ya kupata wakati mgumu kuelewa watanzania ni watu wa namna gani ndio maana nimekuja na mada hii. Kuna kitu huwa tunaelezwa ambacho ni uzalendo.Kwa tafsiri yangu ambayo inaweza isiwe universal.Uzalendo(patriotism) ni mapenzi ambayo mtu anakuwa nayo kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Afrika, Tanzania tunahitaji watawala wa aina gani? - machifu na wafalme kama zamani ama (wanasiasa) maraisi na mawaziri kama siku hizi

    Natumaini japo hatuna machifu rasmi, bado tuna ulewa espesheli vile kuna makabila bado yana heshima ama muendelezo kwa machifu wa zamani na warithi wao. Binafsi, naona karibu vitu vyote vya kigeni tulivoiga, aidha tumeboronga ama havijafanya kazi ndani ya jamii zetu. Mambo ya siasa, maraisi na...
  15. JamiiForums Tanzania Samaki wenye mifupa ipo kama "Y" ni samaki gani?

    Wanaitwaje samaki wenye mifupa imekaa hivi? Wanapatikana wapi hapa Tz?
  16. JamiiForums Tanzania Hivi yesu alipaa paaje je aliota mbawa kama malaika au alipaa Kwa aina Gani?

    Naomba kuwasilisha swali hili kutoka kwenye Manispaa ya kichwa changu. Ili uweze kupaa lazima uwe na mbawa (mabawa) kama ndege mfano halisi ni malaika Wana mabawa. Hata hii ndege ya abiria Ina muundo wa ndege viumbe sasa yesu yeye alipaa paaje (Kwa aina ipi) ? Maana biblia haijasema kuhusu...
  17. JamiiForums Tanzania Katika vita ya Midle East wewe uko upande gani?

    Mimi bila kupepesa macho nipo upande wa IRAN,Japo watu wamegawanyika katika munktadha wa kidini wakirsto wanapendelea ISRAEL Wakidhani ni Nchi Takatifu lakini ni Shetani na hatambui wa Roma! Pia Mimi sipendi watu wanaoonewa bila sababu mfano Vita ya Urusi ns Ukraine mimi nipo URUSI,kwanini...
  18. JamiiForums Tanzania Mtake ushahidi gani kuamini viongozi wengi serikalini hawajielewi?!

  19. J

    JamiiForums Tanzania Daudi alitenda kosa gani hadi Waisraeli wengi wakafa

    Daudi alitenda kosa gani hadi Waisraeli 70,000 wakafa Hebu tuangalie maelekezo ya Mungu kuhusu kuhesabu Waisraeli. Kitabu cha Hesabu 1:1-3: 1 BWANA akanena na Musa katika bara ya Sinai, hemani mwa kukutania, siku ya kwanza ya mwezi wa pili, katika mwaka wa pili baada ya kutoka kwao nchi ya...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Banda la Kuku 10m by 20m, huku mikoani naweza kamilisha kwa bajeti gani?

    Hoja imenyooka, haina kipengele. Huku mikoani, hali ya hewa baridi kuanzia Aprili hadi August. Naweza kujenga banda la kuku la 10m by 20m, kwa bajet ya sh ngapi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…