WALEZI WA MIKOA NI KITU GANI ? Nani anakishauri CCM ?

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,153
Reaction score
2,700
Nasikia walikaa NEC wakakubaliana waanzishe kitu kinaitwa walezi wa Mikoa , mshauri wao sijui hua ni nani unaweza fikiri hakuna wasomi kule
 
Ni upuuzi mtupu, CCM hawajuhi wafsnye nini kuendeleza hii nchi, wapo pale kwa manufaa binafsi, ni kama drug cartel,
Waziri wa vijana kila siku ni kuzindua program ya kuendeleza vijana, anatukenulia kuonyesha mimeno yake ya mbele! Anaita vijana waishangilie yanga,Mara anapost yupo anakula na vijana, unajiuliza hii inasaidiaje maisha ya vijana,? Tatizo LA, vijana wa nchi hii sio nguvu za kiume, wala kuolewa, wala, Mambo ya kiroho, tatizo ni moja tu, ajira/kipato, vijana wapo wanaelimu nzuri tu, shida ajira ! Hakuna,
Hii mikenge ya serikalini, inahwkikisha watoto wao wapo BOT, TRA, ajira tamu nje, wale wa maskini, ndio wanaambiwa waende ajira portal!
 
ni mbinu mpya ya WAPIGAJI kujichotea PESA za TANGANYIKA na kujitajirisha na kununua nyumba DUBAI!
 
Nasikia walikaa NEC wakakubaliana waanzishe kitu kinaitwa walezi wa Mikoa , mshauri wao sijui hua ni nani unaweza fikiri hakuna wasomi kule
walezi wa CCM wa wilaya, mikoa na hata jumuiya mbalimbali za chama wataendelea kua washauri muhimu katika maeneo walipopewa wajibu huo ili kuhakikisha hakuna migogoro, uhasama au hujuma zinazofanyika maeneo hayo. Na endapo patakua na changamoto yoyote, basi mara moja mlezi anawajibika kutuliza hali ya mambo kabla ya hatua zaidi za kichama kuchukuliwa.

Vyama vingine kuna ombwe la uongozi na migogoro isiyokoma kwasababu hakuna walezi wakudhibiti joto la kisiasa miongoni mwa viongozi wanapotofautiana maoni ndani ya chama husika.

Mifano ni mingi ya wazi kabisa gentleman.

hakuna haja ya reply maelezo haya ya jumla 🐒
 
Wanaongeza lundo la viongozi ili kula pesa za umma.EWE MTANGANYIKA TUJITOKEZE 26/10/2026 KUANDAMANA KWA KUCHOMA MOTO OFISI ZA UMMA,BANDARI ZETU ZILIZOUZWA,VITUO VYA MWENDOKAS,FUNGA BARABARA HADI USHINDI UPATIKANEILI NCHI TUINEEMESHE SISI WAZALENDO WA NCHI.
 
Waziri akifanya ziara kwa kazi ya ulezi malipo yanafanywa na CCM au serikali?
 
Ni upuuzi mtupu, CCM hawajuhi wafsnye nini kuendeleza hii nchi, wapo pale kwa manufaa binafsi, ni kama drug cartel,
Waziri wa vijana kila siku ni kuzindua program ya kuendeleza vijana, anatukenulia kuonyesha mimeno yake ya mbele! Anaita vijana waishangilie yanga,Mara anapost yupo anakula na vijana, unajiuliza hii inasaidiaje maisha ya vijana,? Tatizo LA, vijana wa nchi hii sio nguvu za kiume, wala kuolewa, wala, Mambo ya kiroho, tatizo ni moja tu, ajira/kipato, vijana wapo wanaelimu nzuri tu, shida ajira ! Hakuna,
Hii mikenge ya serikalini, inahwkikisha watoto wao wapo BOT, TRA, ajira tamu nje, wale wa maskini, ndio wanaambiwa waende ajira portal!
Shida ya vijana mmegawanyika.machawa ni wengi pia mmekosa umoja.mmeshindwa kama vijana kuungana kuishinikiza serikali kuweka sera nzuri kwa vijana.mmekuwa waoga hamjiamini.serikali inawagawanya ili iwatawale kiurahisi.iwajibisheni kama hamuwezi mtaendelea kulia lia kama fisi.
Ni upuuzi mtupu, CCM hawajuhi wafsnye nini kuendeleza hii nchi, wapo pale kwa manufaa binafsi, ni kama drug cartel,
Waziri wa vijana kila siku ni kuzindua program ya kuendeleza vijana, anatukenulia kuonyesha mimeno yake ya mbele! Anaita vijana waishangilie yanga,Mara anapost yupo anakula na vijana, unajiuliza hii inasaidiaje maisha ya vijana,? Tatizo LA, vijana wa nchi hii sio nguvu za kiume, wala kuolewa, wala, Mambo ya kiroho, tatizo ni moja tu, ajira/kipato, vijana wapo wanaelimu nzuri tu, shida ajira ! Hakuna,
Hii mikenge ya serikalini, inahwkikisha watoto wao wapo BOT, TRA, ajira tamu nje, wale wa maskini, ndio wanaambiwa waende ajira portal!
 
Mkuu,

Ushauri wako hauna tija kwanza vijana wanaishi kufuata mfumo huu kwa kua wakubwa zao walipenda zidumu fikra za mwenyekiti.

Toka 1961 umewahi kuona shinikizo la uchaguzi tofauti na GEN-Z.

Rai yangu vijana ni nguvu kazi ya taifa wazee na above 40 muingie barabarani kupambana na serikali kwakua ninyi ndio mnafahamu mifumo.

Vijana tukae nyuma tujifunze juzi tumekufa waliotupa Hamasa hawajatoa TAMKO kiufupi ninyi wakubwa zetu UJINGA umewatawala.
 
Back
Top Bottom