Bigmaaan JF-Expert Member Joined Nov 25, 2023 Posts 660 Reaction score 1,438 Oct 14, 2026 #1 Naomba kuwa refreshed. Takribani kama miaka mi4 sijakanyaga kahama, je kwa sasa kuna viwanda gani vya maana vilivyopo katika wilaya ya Kahama?
Naomba kuwa refreshed. Takribani kama miaka mi4 sijakanyaga kahama, je kwa sasa kuna viwanda gani vya maana vilivyopo katika wilaya ya Kahama?
Bemendazole JF-Expert Member Joined Nov 14, 2020 Posts 2,767 Reaction score 6,934 Oct 14, 2026 #2 Viwanda vya mchele
OMOYOGWANE JF-Expert Member Joined Dec 30, 2016 Posts 5,370 Reaction score 13,354 Oct 14, 2026 #3 Kahama hakuna viwanda vipya ulivyo viacja ndivyo hivyo hivyo nilikuwa huko mapema mwaka huu
Bigmaaan JF-Expert Member Joined Nov 25, 2023 Posts 660 Reaction score 1,438 Oct 14, 2026 Thread starter #4 OMOYOGWANE said: Kahama hakuna viwanda vipya ulivyo viacja ndivyo hivyo hivyo nilikuwa huko mapema mwaka huu Click to expand... Ok Mkuu. Asante kwa Update
OMOYOGWANE said: Kahama hakuna viwanda vipya ulivyo viacja ndivyo hivyo hivyo nilikuwa huko mapema mwaka huu Click to expand... Ok Mkuu. Asante kwa Update
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,938 Reaction score 77,211 Oct 14, 2026 #5 Nakazia Vipo Vingi Sana Mpaka Atavichoka Bemendazole said: Viwanda vya mchele Click to expand...
A Afcon kinanuka JF-Expert Member Joined Apr 5, 2026 Posts 1,651 Reaction score 4,278 Oct 14, 2026 #6 Kulikuwa na viwanda vingi siku ya nyuma lakini alipoingia sa100 vyote ameviua.
spidernyoka JF-Expert Member Joined Jan 2, 2020 Posts 9,022 Reaction score 23,838 Oct 14, 2026 #7 Vya mbususu