Chuo gani kinatoa kozi ya Master's ya Project Management nzuri hapa Tz

Chuo gani kinatoa kozi ya Master's ya Project Management nzuri hapa Tz

Credio

Member
Joined
Aug 24, 2016
Posts
78
Reaction score
155
Habari wakuu kutokana na kutingwa na Majukumu sana na hivyo sitapata muda mwingi wa kukaa darasani
Nilikuwa nauliza wapi au chuo kipi ninaweza Soma Master's ya project management ambayo ni executive ili isinibane sana kuendelea na majukumu mengine ya kimaisha
Ahsante
 
Nenda Open University! Iko njema sana kwa Post Graduate Studies, na hiyo course wanayo.
 
Tanzania hakuna chuo bora.kama uko vizuri mfukoni nenda china,india,uganda au kenya.
Tuambie vyuo Bora vya Kenya na Uganda!

EA swala la vyuo hakuna utofauti sana, ndio maana matatizo yetu kwenye elimu most of time yanafanana.

Kama angekuwa vizuri mfukoni angeenda ESAMI Arusha
 
Back
Top Bottom