Hatua Gani zitachukuliwa kama hakuna El'NINO

Ili ikawe fundisho kwa watu wanaotabiri Tabiri Vitu uongo uongo...

Vipi hati katika mkoa wako?

Jamaa wanadanganya hadi Rais? Kaingia mkenge

View attachment 3688481
wakati wa Nuhu dharau na kiburi dhidi ya tahadhari kuhusu majanga kama haya zilikua ni zaidi ya hizo.

na gharika ilikua ni ya chini ya saa moja, lakini kulikua na vilio na kusaga meno aise watu waligeuka kua kambale wafu🐒
 
Mtabirie Mwamba Atakuwa Jambazi yule
 
Mtabirie Mwamba Atakuwa Mlezi wa vyama vya Siasa yule
 
Ulikuwa usanii wa siku zote wa ccm kuwahadaa watz waache kuwaza mambo ya msingi
 
wakati wa Nuhu dharau na kiburi dhidi ya tahadhari kuhusu majanga kama haya zilikua ni zaidi ya hizo.

na gharika ilikua ni ya chini ya saa moja, lakini kulikua na vilio na kusaga meno aise watu waligeuka kua kambale wafu🐒
We mzee gharika ya nuhu ilikuwa chini ya saa moja? Umesoma kitabu gani!
Biblia inasema mvua ilinyesha siku 40 na maji yalidumu siku 150,
Kwa hiyo hicho kitabu chako ulichosoma kinasema maji yalijaa ndani ya saa1? Hebu kuwa serious gentleman 🐒
 
We mzee gharika ya nuhu ilikuwa chini ya saa moja? Umesoma kitabu gani!
Biblia inasema mvua ilinyesha siku 40 na maji yalidumu siku 150,
Kwa hiyo hicho kitabu chako ulichosoma maji yalijaa ndani ya saa1? Hebu kuwa serious gentleman 🐒
Jamaa anatupiga propaganda. 😀
 
wakati wa Nuhu dharau na kiburi dhidi ya tahadhari kuhusu majanga kama haya zilikua ni zaidi ya hizo.

na gharika ilikua ni ya chini ya saa moja, lakini kulikua na vilio na kusaga meno aise watu waligeuka kua kambale wafu🐒
Riwaya ya kufikirika
Unawezaja kujaza dunia nzima maji ya mvua halafu orbit ya earth ikabaki salama bila wobbling kuindoa kwenye njia yake ya solar system na maisha yasiwepo tena, tukawa sawa na sayari ya Mars
Toa mfano halisia wa El Nino zilizopita sio hekaya za kutunga.
I know Space and Time isn't your forte so kindly refrain from nonsensical comments.
 
athari za majanga kama haya,
ni suala la muda mfupi tu kiburi na madharao ya watu wabishi hukaa sawa 🐒
 
images-4.jpg

Huyu bebi nani alimtabiria
 
athari za majanga kama haya,
ni suala la muda mfupi tu kiburi na madharao ya watu wabishi hukaa sawa 🐒
Mheshimiwa Paul Makonda aliitisha mashindano kati ya wafanya maombi na waganga wa jadi kuzuia El Nino...nafikiri amefanikiwa kuzizuia mvua kwa kiwango kikubwa🐼
 
Wana Arusha mlileta jembe laokoa Bilions of money ... Tumtabirie 2030 atakuwa Rais wa JMT
 
Back
Top Bottom