gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Msanii gani hata show iwe bure huendi

    Nitajie wasanii bongo ambao hujawahi kuwaelewa yaani hata show yake ije na uambiwe uende unapewa posho ya 5000 na kiingilio bure wewe bado hutaenda kwa sababu hawana kipaji wamebebwa Tu na upepo.. Mimi ambao siwakubali JAPO kuna baadhi ya hits wametoa nzuri 1.tunda man 2.ney wa mitego 3.dogo janja
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni gari gani inakula mafuta kidogo?

    Wakuu nahitaji usafiri,nipo nje ya mji kidogo ninahitaji gari yenye ulaji wa mafuta kidogo. zangu za dhati umbali toka home to job ni walau 22km
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Je? Changamoto Gani ulikutanana nazo baada ya kuajiriwa

    Habari Wana JF uzu huu nimaalum kwa ajili ya wafiwa. Nikianza na wewe
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea nyuma ya huu ufaulu wa kushangaza wa kidato cha sita?

    DIVISION 1 - 61,120 DIVISION 2 - 49,385 DIVISION 3 - 14,870 DIVISION 4 NA 0 - 760 Watu wanasema elimu imerahisishwa kuna vitabu mitandaoni lakini haibadilishi uhalisia kuna wanafunzi hawapo serious, kuna wanafunzi wenye uwezo mdogo hata kuwe na rundo la material, wanafunzi watoro, n.k.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Machimbo ya dhahabu ambayo kuna WACHINA yapo wilaya gani mkoa wa Singida na Mbeya?

    wakuu naombeni mnipe uelekeo wilaya zenye wachina kwenye machimbo au migodi ya dhahabu inayopatikana kwenye mikoa ya Singida na Mbeya NB: Kama kuna wachina kwenye mikoa ya Geita na Shinyanga mkinielekeza itakuwa poa sana wakuu.
  6. JamiiForums Tanzania Huyu sijui kaambiwa neno gani hadi ameshtuka hivyo

    Wakuu, Msidhani humu duniani mnaozungumza ni binadamu tu lakini hata wanyama wanazungumza kumbe Huyu sijui kaambiwa neno gani maskini hadi kashtuka hivyo
  7. L

    JamiiForums Tanzania Je PBZ wanaruhusu kufanya topup loan... Vigezo gani wanataka

    R
  8. JamiiForums Tanzania TCU inalinda namna gani ajira za waalimu wa vyuo vikuu binafsi "wanaokaza" katika taaluma ya wanafunzi, nasikia huwa wanatemwa kwa zengwe

    TCU kama inavyodhibiti uajiri wa waalimu, pia iweke mkono wake jinsi ajira zao zinavyokoma. Vyuo binafsi ni biashara kwa hiyo kama mwalimu "anakaza" Sana kwenye taaluma, kuna namna chuo "kinamtema" ili wateja(wanafunzi) wabaki. Je kuna namna dispute ya mwalimu na chuo juu ya academics inaweza...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Hawa watia nia wa CCM wanaogawa pesa kabla majina hayajarudi wana uhakika gani?

    Wanagawa pesa kama njugu bila hata ya aibu. Wana uhakika gani kama majina yao yatarudi? Na hizi pesa wanazogawa wamezipata wapi? Kwa nini Takukuru haiwachukulii hatua?
  10. JamiiForums Tanzania Wavuta sigara mnapata faida gani?

    Aloo kuna mitingo mingi yenye kuleta stimu lakini sigara haina faida yeyote, hupati stimu yeyeto zaidi ya kuujaza moshi kwenye mapafu tu. Alafu ilivyo na uraibu mbaya yani ukiamka asubuhi tu chakwanza fegi iko wapi, kosa usishibe msosi utaitafuta fegi ilipo wengine wamefika mbali hawezi kupata...
  11. JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kufanya mapenzi na namna ilivyokuwa mpaka kufikia huko

    Mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi
  12. JamiiForums Tanzania Mtaani kwako unafahamika kwa jina gani?

    Mimi mtaani kwangu jina langu maarufu ni Big,wengine wanapenda kuniita Natorius. Wewe je?
  13. JamiiForums Tanzania Ni position gani usipoifanya wakati wa tendo unahisi kabisa mchezo haujakamilika vizuri?

    18+
  14. JamiiForums Tanzania Hii picha niya msanii gani ?

    Nani anamjua huyu ? Naamini kila kitu kina tafsiri yake.. 1. Kwanini Profile hiyo ? 2. Kwanini Username hiyo ? Nielezee yangu ?
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kiasi ina maana gani katika ukristo?

    Kiasi Ina Maana Gani Katika Ukristo Kiasi ni nini Kiasi kama tafsiri yake ilivyo ni kuwa na uwezo wa kudhibiti jambo/tendo lisipitilize mipaka yake, yaani litendeke kwa sehemu fulani tu. Katika Ukristo, kiasi ni moja ya matunda 9 ya Roho Mtakatifu. Wagalatia 5:22 “Lakini tunda la Roho ni...
  16. JamiiForums Tanzania katuni hii inakupa picha gani kuelekea uchaguzi mkuu

  17. JamiiForums Tanzania Rafu Zimechezwa nyingi sana, Je tunakwenda kutoa Rais wa aina gani ?

    Viongozi wa nchi hamfikirii Mahakama hamfikirii Tume ya Uchaguzi hamfikirii Usalama wa nchi hamfikirii Hamfikirii kwamba tunapanda mbegu inayoenda kulimaliza hilo taifa kwa maslahi ya watu wachache mno ambao in next 15 to 20 years huenda wakawa mavumbini based on WHO life expectancy extracts...
  18. JamiiForums Tanzania Tofauti na mdodoma ni mti gani mwingine mzuri kwa ajili ya kivuli, haupukutishi matawi lakini pia mzizi wake hausambai ila una penetrate chini?

    Tofauti na mdodoma ni mti gani mwingine mzuri kwa ajili ya kivuli, haupukutishi matawi lakini pia mzizi wake hausambai ila una penetrate chini? Karibu gardeners
  19. JamiiForums Tanzania Jirani yangu anabiashara za kuuza majeneza pamoja na vifaa vya kuhudumia na yeye analalamika biashara ngumu ni meshindwa cha kumjibu.

    Hivi wote tunapitia kipindi kigumu kuelekea oktoba sijui ndo no reform no election.Yani na jirani yangu ana biashara vifaa vya msibani na anauza majeneza na ndio biashara yake iliyompa paka nyumba ila na yeye ana lalamika .
  20. JamiiForums Tanzania Mnaambiwa Maneno gani hadi mnakubali kufunga kizazi hata kukitoa?

    Salaam, Kuna watu wenyewe bila kulazimishwa wanaenda Hospitali kutoa kizazi au kukifunga wasizae tena. Mnaofanya hivyo, Mnaambiwa Maneno gani hadi mnakubali kufunga kizazi hata kukitoa? Ni akili ya kawaida au changamoto ya akili? Wanalishwa sumu gani ya maneno hadi wanakubali? Halafu unakuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…