Laptop Gani Inafaa Kwa Kazi Yako? Usinunue Kabla Hujasoma Haya Mambo 7 Muhimu!
Kama unavyonunua mashine kwa mgodi au mtambo kwa kiwanda, laptop pia ni zana ya uzalishaji. Si mapambo.
Lakini watu wengi hununua kwa pupa—wanaangalia muonekano au bei ya chini—halafu baada ya wiki mbili wanaanza...
Habar wadau msaada wenu,Mzee wangu Umri miaka65 Leo umemkamata Mshipa wakorodani moja kuuma na nyonga kuachia,ikabid awahishwe hospital akapatiwa sindano Mshipa ukapoa,
Sasa nauliza tiba yake huwa ni nin,naje hospital Gani nzuri kufanya matibabu
Nauliza hivi kweli Rais anauzunika ANALIA wananchi mnaruka ruka mna adabu nyie kweli?
Nafahamu Pascally Mayalla na Proffesa Mussa Assad mnafurah ila ndo mkodi mziki?
Naomba mwekwe ndani mpaka azikwe.
Mdau mmoja kutoka katika mitandao ya kijamii alichapisha kipande hiki na kudokeza kuwa imetoka huko Arizona.
Tushirikiane kuthibitisha kwa kutaja dosari zinazoonekana.
Wakuu, najua humu jukwaani hususani kwenye hili jukwaa la Afya kuna watu wengi wenye maarifa mbalimbali yahusuyo afya, magonjwa na tiba. Sasa kuna hili tatizo nimekua nikiliona nimeona kwa mtu wa kwanza sasa nimeliona kwa mtu wa pili.
Mtu wa kwanza yeye kazi yake ni ulinzi. Huyu yeye tatizo...
Wakuu,
Baada ya kuambiwa kuwa hana uhalali wa kuzungumzia masuala ya CCM maana hana muda mrefu katika chama hicho, Pole pole leo amejotokeza kuhoji kuwa walitaka akae muda gani katika chama hicho ili ndio aweze kukosoa
Polepole anasema kuwa kuna wanataka wambague kwa sababu ya hoja ya kutokaa...
Wakuu, hili swali limekua linanisumbua kichwa changu sana, tafadhari sana msinione km napatwa na wazimu kuhoji hili swali la jinsia ya Mungu. Ila wakuu naomba kwa anaefahamu tafadhari sana aniambie Jinsia ya Mungu ni ipi? Je! MUNGU ni Mwanamke au ni Mwanaume au MUNGU hana jinsia kabisa...
Nilianza kumiliki simu nikiwa na umri wa miaka 17 tu baada ya kumaliza form four aina itel kibatani, wewe je ulianza kumiliki simu yako mwaka gani na aina gani??
1. Maridhiano ya kweli au maigizo ya kisiasa?
Tumekuwa tukisikia kauli za “maridhiano” kati ya CCM na CHADEMA, lakini ukitazama Kwa makini vitendo vinavyoendelea, ni vigumu kuona dhamira safi ya hizo kauli za maridhiano.
Serikali hii hii inayosema inaleta amani na maridhiano, ndiyo hiyo hiyo...
Katika nchi yoyote ile huduma za internet ni huduma nyeti sana kwa maana kwamba mahospitali, miundombinu kama usafiri, njia za reli na sehemu zingine nyeti hii ni huduma muhimu isohitaji hata nukta ya sekunde kuhujumiwa.
Kitendo cha TCTA kukata mtandao wa internet nchi eti kwasababu ya kuzuia...
Kama umechoka kuandika kila kitu kwenye daftari, unakosea bei kila siku, au hujui biashara yako ina faida au hasara – hii software ni yako!
Inaweza Nini?
Inaangalia biashara yako mwanzo hadi mwisho:
Unauza bidhaa
Unaweka madeni na mikopo
Unajua faida yako muda huo huo
Unachapisha risiti...
Naomba kujua wastani wa bei ya usafiri Kwa njia ya Meli toka China kuja Tanzania Kwa CBM.
Nimepanga kuagiza bidhaa Fulani Fulani Kwa ajili ya kuuza huku KWa jumla, supply akanipa CBM ya mzigo kuwa ni 7.29 na bei ya manunuzi na usafiri Hadi Kwa agent wangu ni TSHS. 5,800,000/=, nikamuuliza...
Enzi za Kikwete, Tundu Lissu ananyukana kwa hoja na Mwanasheria Mkuu wa serikali... Lukuvi anaingilia... Mara Chenge naye anaibuka... Watu wanagonga meza, mara kwa mbali unasikia "Kuhusu utaratibu....", mara "Muongozo..."
Halafu Mwenyekiti wa Bunge Mussa Azzan Zungu anakataa muongozo wala...
Nataka niongeze kitu cha kufanya zaidi ya ninachofanya sasa lakini natafuta biashara ambayo hata mzunguuko wa pesa uwe mgumu kiasi gani mahitaji yake yawe palepale au hata yakipungua yasipungue Sana
Wadau wa biashara karibuni tupeane idea hapa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.