Nimekuwa kazini Kwa zaidi ya miaka thelathini na sita, mwaka Jana nimestaafu nimelipwa mafao yangu nikazifix benk mwaka mmoja baadae nataka nizitoe nifanye biashara, naomba ushauri wenu ziko zaidi ya 80m
James Mbatia akizungumza na waandishi wa habari Juni 5, 2025 ameeleza kuwa kilichofanyika kwa Askofu Gwajima si kitu sahihi na kama walikuwa wanamuhitaji Gwajima wangemuita na siyo kumfuata kwa mitutu.
"Niombe hekima itumike hapa, pamoja na yote yaliyotokea tuvuke salama hapa. Ukumbuke...
Nahitaji mawazo wanaume wenzang ... let's put jokes aside ....
Habari zenu nyote??
Mishe Zang zimekwama kabisa wakuu, naombeni ushaur naeza piga mishe gan chap chap nichomoke kwenye kamsoto nnakopitia ??
Hata kama kuna deal mikoa ya nyanda za juu kusini naombeni connection , ila iwe ni deal...
AINA GANI YA MAJIKO INA LOW COST OF OPERATIONS KWAAJILI YA KUPIKIA CHIPS NA SOURCE YA NISHATI INAPATIKANA KWA URAHISI (JIKO LA CHIPS)?
Ambazo azitoi moshi ni rafik kwa mazingira?
Kuna watu wanaiangalia CHAUMMA kwa jicho la mikutano yao kujaza ama kutokujaza watu. Na bahati mbaya na CHAUMMA nao wameingia kwenye mtego huo.
Nadhani chama cha siasa hakitambuliki kwa wingi wa watu wanaohudhuria mikutano yake, bali kwa hoja za chama husika kama zina manufaa kwa wanaohudhuria...
Kama YANGA hawatoandaa Mchezo wa Tarehe 15 Ina maana Simba watakuwa hawajui waende Uwanja Upi ili wapate hizo point tatu, Kwasababu mwenyeji hajasema Venue..!!
Hii movie ni Kali sana 🙌🏻🙌🏻
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Wimbo huimbwao na Wabunge
UBETI 🎼
🎶Mama hatukudai
Mama huna deni
Mama Mitano tena
Shule ya Mama
Vyoo vya Mama
Maji ya mama
Bodaboda wa Mama
Ndizi za mama
Matunda ya Mama
Papuchi za Mama
Mijurubenge ya mama
Barabara za Mama
Mimba za mama
Mbususu za...
Mi nadhani Askofu Gwajima atakubali anavyoambiwa. Atafunga Kanisa lake halafu atasubiri kukata rufaa.
Au atakamatwa na Polisi na wafuasi wake watapiga kelele,"Mnamuonea. Mnamuonea Askofu"
Au wengine labda wana mawazo tofauti. Watu wakizidi pale unadhani itabidi Chalamila aende kuongea na Askofu?
Mtaalamu wa Uchumi na fedha, Ally Mkimo amefafanua dhana ya Uchumi wa Taifa, Vigezo vinavotumika kutambua iwapo Uchumi wa nchi Umepanda ama Umeshuka, Upimaji wa Uchumi Kimataifa lakini pia nini kifanyike ili dhana ya ukuaji wa uchumi na taifa uendane na ukuaji wa uchumi wa mtu mmoja mmoja...
Tatizo Halisi la Afrika: Si Ukosefu wa Rasilimali, Bali Ni Ukosefu wa Maadili Miongoni mwa Viongozi
Je, tatizo la Afrika ni la kiuchumi, kiutamaduni au kisiasa? Je, ni ukosefu wa vipaji au rasilimali? Au ni bahati mbaya ya kihistoria? Maswali haya yanaulizwa kila mara, lakini jibu halisi...
Habari za week end wapendwa.
Katika ulimwengu wa mapenzi na mahusiano kuna visa kadhaa tumevifanya ambavyo huwa baadae tunajiona kuwa tulifanya ujinga.
Kuna mkoa mmoja nilihamia na nikabahatika kukutana na watoto warembo sana ambao ni mtu na mdogo wake.
Nikatokea kuvutiea sana na mdogo mtu...
Hii ni nchi ambayo inakatiba ya kidemokrasia Rais wa nchi ya Tanzania kujihusisha na dikteta kama huyu sio kutendea haki nchi yetu
Hivi Tanzania tunamwelekeo gani kumwalika mwakilishi wa Kimjong Un (Korea Kaskazini)??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.