gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Orodha ya makampuni legit yanayota huduma za online business

    Kama wewe ni mtumiaji wa online business naomba tuambia kampuni gani umeitumia kuagiza bidhaa zako online. Kuna story nyingi mtaani kuhusu kutapeliwa mtandaoni bahati mbaya kila nikiongea na watu waliotapeliwa wanasema tumetapeliwa mtandaoni bila kutaja majina ya mtando upi wala majina ya...
  2. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Saa ya Kikwete (PHILIP STEIN) inauzwa bei gani?

  3. D

    JamiiForums Tanzania Ungesoma kozi/program gani??

    Wakuu nimerudi na uzushi tena🤣🤣🤣 Saivi ni Kwa wale wasomi wenye 25+yrs 🤣 SWALI NI; Je unajutia kusoma profession uliyosomea? Kama ungepewa nafasi ya kuchagua tena ungesoma kozi ipi 🧐?? 🙏🙏 Natanguliza shukrani Jumapili njema kwenu wadau
  4. youngkato

    JamiiForums Tanzania Wanaume waliojipata kimaisha. Kitu gani kinafanya sisi wengine tuchelewe kufanikiwa? Tunaomba ushauri wako

    Wanaume waliojipata kimaisha. Kitu gani kinafanya sisi wengine tuchelewe kufanikiwa? Tunaombaushauri wako utatusaidia na sisi tunaojitafuta. Najitajidi kufata kanuni zote za biashara na kanuni za biashara lakini hakuna hatua. Kitu gani kinatufanya tusifanikiwe?
  5. Isenye

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu kanishtakia kuwa kapigwa mikanda na mumewe. Nichukue hatua gani?

    Mko poa walimwengu? Nina mpenzi wangu ambae ni mke wa mtu Jana jioni tulikua tunachat nae kwenye moja ya mtandao wa kijamii.ghafla nikaona kapotea hewani Baada kama ya masaa mawili nikaona number ngeni inanipigia kupokea ni huyu mwanamke wangu alikua katumia number ya jirani yake, alikua...
  6. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Kitabu gani unahitaji nikupe Bei 10,000 Tsh

    Kitabu gani unahitaji nikupe Bei 10,000 Tsh, softcopy/ nakala laini
  7. Stability

    JamiiForums Tanzania Wakuu, namna gani naweza kurecover namba nilizofuta katika call log yangu?

    Karibuni. Simu ni android, pixel 5
  8. youngkato

    JamiiForums Tanzania Unafanya dili gani linalokupa pesa? Kwa wanaume wapambanaji tu.

    Unafanya dili gani linalokupa pesa? Kwa wanaume wapambanaji tu. Shea dili lolote unalofanya ambalo na sisi tunaweza kufanya tukapata pesa. Comment yako itasaidia wanaume wengine wanaojitafuta. Mimi ni dalali wa viwanja. Nanunua kiwanja kwa bei ndogo, nakiweka sokoni kwa bei mara mbili. au...
  9. Joanah

    JamiiForums Tanzania Mambo gani yana/yamekufanya usiwe na marafiki wengi?

    Hi people, Happy weekend!! Mambo gani yanakufanya usiwe na marafiki wengi? Mie sababu kubwa ni kupishana interests(experience yangu ya 2-3 years back) Rafiki zangu wanapenda bata while mie sio mpenzi wa bata Rafiki zangu ni aina ya watu wanategemea tukienda mahali mfano restaurant,bar...
  10. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ni Mwenyekiti gani wa CCM "B" aliyetajwa na Polepole?

    Kwenye maelezo yake ya Leo, Humphrey Polepole amesema kuwa Kuna watu walikuwa wanabadilishana taarifa kwa mfumo wa mafumbo (CODES) na mmojawapo akasema ni Mwenyekiti Mstaafu wa CCM B. Wajuzi wa codes hebu fungueni tumjue huyo ambaye Polepole alimkusudia!
  11. P

    JamiiForums Tanzania Je ni mkoa gani nchini ambao unafaa katika kuanza maisha?

    Je ni mkoa gani wa kwenda kuanza maisha?
  12. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Napenda kujua , Maria Sarungi anapambania kitu gani ?

    Kuna huyu Dada anajiita Maria sarungi , je huyu anapambania kitu gani? Anakuambia Tutaelewana. Mimi sipandi chochote ila yeye anapambania nini maana Field hayupo zaidi ya kuweka hashtag ya #Tutaelewana.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Je, mgonjwa akifika kitengo cha emergency/idara ya dharula anatakiwa kupata huduma baada ya muda gani?

    Emergency Department au kwa kiswahili Kitengo cha magonjwa ya dharula ni miongoni mwa idara mpya kuanzishwa katika nchi zetu za africa, kitengo hiki hakina miaka hata kumi na tano, mwanzilishi wa kwanza kwa Tanzania ilkuwa ni Muhimbili National Hospital wakishirikiana na chuo kikuu cha afya na...
  14. Tech Max

    JamiiForums Tanzania kitabu gani unahitaji bei 10,000 tsh kimoja, natafsiri kutoka kiingereza kwenda kiswahili bei 5000 - 10,000 Tsh

    kitabu gani unahitaji bei 10,000 tsh kimoja, natafsiri kutoka kiingereza kwenda kiswahili bei 5000 - 10,000 Tsh, inategemea na ukubwa nicheki 0756704145
  15. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Kitabu gani unahitaji nikupe Bei 10,000 Tsh, vitabu vya kiingereza na kiswahili nakutafsiria

    Kitabu gani unahitaji nikupe Bei 10,000 Tsh, vitabu vya kiingereza na kiswahili nakutafsiria, nicheki 0756704145
  16. K

    JamiiForums Tanzania App gani yenye uwezo wa kutengeneza maneno yaani transcripts kutokea kwenye video zilizo kwa lugha ya kiswahili?

    Wana JF habari Ni software gani au application gani ambayo naweza upload video au audio kwenye hiyo software halafu yenyewe ikanipa text yaani transcript yaani maneno yaliyosemwa kwenye hiyo video au audio. Hapa nazungumzia video/audio zenye matamshi ya kiswahili na zenye urefu wa masaa mawili...
  17. Gudasta

    JamiiForums Tanzania Samaki gani wa baharini (maji chumvi ) ni mzuri kwa supu......

    Wataalam wa samaki wa baharini, naomba kujua ni samaki gani wa baharini ni mzuri kwa kupika supu.. Aksante.
  18. monotheist

    JamiiForums Tanzania Hizi simu zinashida gani mbona bei kitonga sana

    Naomba mnisanue kabla sijayakanyaga
  19. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Malengo uliyojiwekea mwanzoni mwa mwaka umeyafikia kwa kiwango gani?

    Nilichojifunza 2025 Nguvu ya mwanaume ni PESA tu, hata uwe na umri, akili & busara kiasi gani kama huna Pesa ni bure tu! 2026 Resolutions Kila kitu kinawezekana, tuwekeze nguvu na akili katika kutafuta, fursa zipo tusikalie kulalamika tu, Adui wa mafanikio yako ni wewe!
  20. hamza mahundu

    JamiiForums Tanzania KARANI WA POSTA LEVEL YA KIDATO CHA 4 ANALIPWA BEI GANI? Na maswalj yapi ataukizwa inter view AJIRA PORTAL

    Naomba majibu
Back
Top Bottom