Habari zenu watu wa mapenzi?
Hivi ni criteria gani hapa mjini inayofanya mtu uitwe mubaba na hutu tubinti twa 2000?
Iko hivi kuna siku nilikua bar ya komida kimara temboni na jamaa zangu,tumekula vyombo sana,wenzangu wote wakakata moto wakawa hawajielewi so nikawa na kazi ya kuwasomba kwenye...
Sasa akatoa haya maafuta sijui lotion akayaweka chini ya mto.
Mimi sijui yana kazi gani.nimehisi labda ni limbwata anataka kuniwekea
Kwa anaejua ni nini hiki na yana kazi gani anisaidie.
Habar za muda huu .
Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu. Na hali inayoendelea sasa JamiiForums tuambie unatumia VPN gani kuingia kwenye hili jukwaa.
Mm natumia thunder VPN ipo vizuri inanisaidia X zamani twitter na hapa JamiiForums.
Tuambie wewe unatumia ipi hivi ikitokea moja imezingua tuwe...
Habari wanabodi
Binafsi nimeleta uzi huu kwa kuamini kabisa kama binadamu kuna wakati tunakosea na kuna wakati tunakosewa vilevile. katika kukosea na kukosewa kuna ile hali mtu kureact/kukasilika pengine ulionesha hadharani ama hukuonesha. Hapa nazungumzia ile hali ya kutokuonyesha lakin moyoni...
Mimi kama mtanzania ambae napenda taifa letu liongozwe kwa misingi ya haki na amani nimeshutushwa sana na hizi taarifa kuwa ofisi za Jamii Forum zilivamiwa.
Serikali imekanusha juu ya uvamizi. Na imesema ilikuwa kwenye shughuli zake za kawaida na wanahitaji mmiliki wa Jamii Forum awape...
Za saizi wajumbe?
Nilikua safari kama week moja hivi sikua nyumbani.
Sasa leo nimerudi, mpangaji mwenzengu ambae ni mke mtu aliponiona akaniambia "Waooo, Kyanyangwe nilikumiss sana "
Sasa wakuu, mke wa mtu kukuambia kakumiss ina maana gani haswa?
Leseni 41 za utafiti wa madini zimetolewa
Leseni 548 za wachimbaji zimetolewa
Leseni 147 za maeneo tengefu
Vituo vya afya vimeongezeka mara mbili zaidi kutoka 14 wakati anaingia madarakani na kufikia 28 vilivyopo sasa.
Ongezeko la wataalamu wa afya kutoka 181 kufikia 283
Ongezeko la Shule za...
Mm nilikuwa na uraibu wa karata na drafti ilikuwa haipiti siku sijafanya hii michezo ila kwa sasa hata nikikuta watu wanacheza sitamani tena kucheza kabisaa.
Ningependa kujifunza kuhusu watu wanaoishi milimani katika jiji la Mwanza.
Nini hupelekea watu masikini kwenda kujenga na kuishi juu ya hii milima ukizingatia Mwanza bado ina maeneo makubwa tambarare?
Materials na vifaa vya ujenzi huwa vinafikishwaje juu ya vilima ukizingatia kuwa havina...
Kwenye harakati za maisha nimekutana na mambo ya kustajabisha ya ajabu:
Case1: jamaa alikuwa mfanyabiashara akamfungulia mtoto wake acc kwa majina yake kimsingi humo ndio alikuwa anamwekea dogo fees na Hela ya ada.sasa siku moja huyo mdingi kamwekea dogo Hela ya ada kama kawa na baadae dingi...
Au niache tu wakiniita nisiende? Nataka ku-cancel sitaki tena kujisumbuasumbua na kupoteza gharama za stationary, nauli, chakula, nk kisha nabakia mikono mitupu, wapi kuna button ya ku-cancel maombi?
Mtangazaji: Kwako ni ushauri gani ukipewa unaona ushauri wa kifala?
Hanscana: Kuoa!
Mtangazaji: Kwa nini?
Hanscana: Mtu anakushauri uoe utafikiri ni lazima. Ukiuliza kwa nini nioe? Unaambiwa eti ni utamaduni toka enzi za mababu! Sasa kwani mimi ni babu?
Kama ni utamaduni maana yake...
Wasukuma na waha yaani wakija Tanga ndiyo wanazamia mazima hawataki kurudi kwao na kama unataka kugombana nae msukuma au Muha waliokuwa huku Tanga mwambie arudi kwao atakuzingua mpaka ujute kwanini ulimwambia hivyo yaani huku Tanga unaweza kukutana na msukuma au Muha ana miaka zaidi ya 30,20 au...
Njozi niliyopata ilikuwa hivi..
Nilikuwepo kwenye mkutano wa ccm, (Kambarage stadium) nipo juu kwa nyuma kwenye seat za ngazi ya juu,
gafla Askofu Josephat Gwajima akiwa kwenye uniform za kijani katikati ya mkutano akaanza kuongea na kumpinga Mheshimiwa Samia Suluhu, ikatolewa amri...
Zile shule kongwe kidogo zilikuwa na magari aina ya malori ambayo yalisaidia katika shughuli za shule kama kusomba vyakula, kuni na kusafirisha wanafunzi kwenye matukio. Magari haya yalijizolea umaarufu lakini pia kila shule ilibatiza jina la utani lori.
1. Kuibia wananchi uku UKIWA unalindwa na serikali.
Mfano kununua ges kwa 2000, kuja kuuza 55000 mpaka 60,000, uku serikali ikiipiga vita matumizi mikaa na kuni zilizotumiwa baba,Babu zako kwa kuleta kampeni ya matumizi ya nisshati safi, uku mitungi ikisambazwa bule kwa bibi na mamako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.