gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. hamza mahundu

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuingia serikalini na elimu ya form 4 je muda gani unaweza kuongeza elimu yako

    Mfano umepata kazo ajira portal FORM 4. NA UNA CHET CHA DEGREE ILA HAUJAKIPANDISHA AJIRA PORTAL KUNA UWEZKANO WA KUONGEZEKA CHEO BAADA YA MUDA GANI
  2. nipo online

    JamiiForums Tanzania Nimeibiwa baiskeli, kukata RB polisi bei gani?

    Kuna jamaa anadai ameiokota sa 7 usiku wakati nimeibiwa nyumbani kwangu, anadai nimpe 25000 ili anirudishie leo siku ya 2.
  3. Daby

    JamiiForums Tanzania Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

    Mimi ni shabiki mkubwa wa wanachama wa hili jukwaa. Muda mwingi nawasoma kimya kimya.... Sasa fikiria ile couple inayotikisa mtaa...inaweza kuwepo hapa JF sema tu baadhi ya wanachama hawajakutana. Wanachama gani unadhani wangepeana chance wanaweza kutengeneza the hottest couple hapa jukwaani...
  4. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Fuatilia huyo mchumbaako wa kike ana/alikuwa na mahusiano gani na Babaake. Kwa sababu future yenu ipo hapo

    Hamjambo! Baada ya kuchunguza historia ya mahusiano yake, past yake ambayo kwako ndio future ya uhusiano wenu. Jambo la pili kubwa ni kuangalia mahusiano ya huyo mchumbaako wa kike na Babaake. Asilimia tisini na tisa Wanawake ambao ni Wife material wana uhusiano bora na Baba zao. Wanapendwa...
  5. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Nataka kuuacha huu mzigo wa Milioni 18 humu M-Wekeza mpaka 2030, vipi nitapata kiasi Gani wakuu?

    Hii pesa Sasa hivi Sina matumizi nayo nataka kuuacha humu m wekeza Nije nitoe. Januari 2030 vipi mfumo wao wa compound interest nitaikuta ipo Bei Gani siku ya kuitoa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki gani walifunga?

    Tunaambiwa na TEC kwamba wakatoliki walikua katika mfungo kwa ajili ya kuombea haki uchaguzi mkuu. Mbona tukila nao mchana majumbani na mikahawani na mama ntilie ? Au wakifunga vipi ? Au ilikuwa kutisha nyau?
  7. Mama Ametufikia

    JamiiForums Tanzania Issue gani mtu akifanya South Africa anatoboa?

    Ukiachana , na kuuza Skanka , je MTU akifanya issue gani anatoboa SA.?
  8. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ni Ujumbe gani Tunaupeleka kwa Wafadhili na Wadau wa Maendeleo?

    Hebu jaribu kuwaza, chama fulani ambacho ni chama tawala, kinakusanya mabilioni kwa ajili ya kampeni. Lakini serikali ya chama hicho inawaomba wafadhili pesa za kujenga vyoo, dawa na vyandarua. Matajiri wakubwa wanachangia kampeni lakini mtaani kwao kuna barabara za matope, watu hospitali...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC wenye Akili tunauliza je, hizi Jezi zetu mpya tunazotamba nazo kama Wendawazimu zimetengenewa na Kampuni gani ya Kimataifa?

    Na sisi wana Yanga SC tutashukuru sana tu kama tukitajiwa hiyo Kampuni ili tujiridhishe nayo kama kweli ni ya Kimataifa.
  10. Joanah

    JamiiForums Tanzania Kitu gani umeshindwa kuacha moja kwa moja

    Hi people, Title inahusika, Mimi Skanka Wewe je?
  11. M Hacker

    JamiiForums Tanzania Madalali wa Dar walikupiga tukio gani...? Mdau katika utafutaji nyumba au chumba.

    Dalali dalali sheria gani inakupa mamlaka kuchukua service charge 20,000 hadi 30,000 kuona chumba au nyumba na hapo hapo unataka hela ya mwezi mmoja ya kodi yangu bila kutoa jasho yaani unachukua hela kiulaini bila stress na mtu akikuomba umsaidie hiyo mwezi iwe free tayari unampiga service...
  12. amarina

    JamiiForums Tanzania Simu yangu android juu kushoto alama hii inamaana gani

    Naomba msaada wa kitaalam hii alama ya mshale kama diversion flan Inanitia wasiwasi
  13. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Swali: Kuna umuhimu gani wajumbe wa CCM kupiga kura kuchagua wagombea?

    Inakuaje walioshinda Kwa Kura za wajumbe wamekatwa halafu wamepitishwa wale ambao hawakupitishwa na wajumbe?? Nguvu ya wajumbe haithaminiwi au hawana umuhimu?
  14. kyagata

    JamiiForums Tanzania Nataka nichape rafiki wa mchepuko wangu,nitumie mbinu gani?

    Wakuu,hamjambo? Nina mchepuko wangu juzi kati akanitambulisha kwa shosti wake flani hivi,ebana huyo shosti yake ni pisi sio ya nchi hii,udenda ukanitoka asee,nikavizia mchepuko wangu kaenda toilet fasta nikachukua number,sasa nimeishaipigia kuisaundisha ila inanizingua inaniambia eti me ni...
  15. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani watu wanaona cha ajabu ila kwako unaona kawaida?

    Ciao.. Kuna ile dhana ya jamii kuchukulia kitu fulani kama hakifai ila kwako unaona kawaida. Kwako ni kipi cha ajabu kati ya hivi? 1.binafsi naona kawaida 2. Hii kwangu ni ajabu hasa kwa mwanaume 3. Binafsi sipendi mawigi 4. Hii kwangu ni ajabu 5.binafsi kuwahi kuamka bila sababu ya msingi...
  16. GANJIBHAAI

    JamiiForums Tanzania Kwa Sisi Wenye Familia ni Vitu Gani Muhimu Tunapaswa Tuwe Navyo Ndani ya Nyumba Zetu?

    Kwa haraka haraka ninavyovijua mimi ni 1. First AID Kit 2. Asali 3. Mzani 4……………
  17. Daby

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuulizwa swali gani na mwanao ukakosa jibu?

    Watoto wenye umri kati ya 4 hadi 7 ni exquisitive/curious saana. Huu ndiyo umri wao wa kuanza kuchukuza ulimwengu unaowazunguka na ubongo unakua kwa kasi saana. Kama wewe ni mzazi/mlezi/kaka au dada bila shaka ushawahi kuulizwa swali na mtoto mdogo. Je ni swali gani? Ulijibuje? Wataalam...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hii ni aina gani ya laana inayomuandama na kumtesa Tundu Lissu kisiasa, kiuchumi na kijamii?

    Maana, kwanza, kila analolianzisha halifanikiwi, Kwa mfano alikua mbunge hakuinjoy, hakumaliza muda wake wa ubunge na wala hakufanikiwa kwa lolote ikiwa ni pamoja na kuwaletea maendeleo wanainchi wa singida mashariki. Bilashaka yoyote, nadhani hata watu wa singida wameshasahau kama kuliwahi kua...
  19. McLaren

    JamiiForums Tanzania Ni nyimbo gani kati ya hizi ilisumbua sana kimataifa?

    Wakuu, Nadhani wote tunajua kuwa sasa hivi Bongo FLeva haisikilizwa Tanzania pekee. Kuna watu kutokea pande mbalimbali za dunia wako busy kweli kusikiliza muziki wetu. Nimeona tujikumbushe ngoma za Kibongo ambazo wakati zinatoka hazikuhit tu Tanzania bali zilienda kusumbua hata huko duniani...
  20. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ni wana JF gani kutokana na harakati zao humu wanatiki vielelezo vifuatavyo?

    1: PLAY BOY 2: MTU WA SYSTEM 3: MTU WA AMANI (CHILL BOY/CHILL GIRL) 4: MPENDA BATA 5: DADA WA MJINI 6: KAUKA NIKUVAE 7: NGUMI NJE NJE 8: PESA MAKARATASI 9: MZEE/MAMAA WA CHAI 10: CONFUSED
Back
Top Bottom