gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Udhaifu gani wa mwenza wako umeamua kukubaliana nao na kuendelea na mahusiano?

    Ni kweli hakuna aliekamilika, kwa upande wa kitabia wapo wenye hasira za karibu, kuongea sana, wavivu, na mengine mengi. Wa kwangu ana tabia ya kudanganya, nampenda ila naona ntashindwa kulivumilia. Kwa upande wenu, ni udhaifu gani wa mwenza wako umeamua kuvumilia? Je mimi nitakua nakosea...
  2. Hivi kile kitendo cha Daktari kumfumua Mgonjwa nyuzi kina tofauti gani na pale Madaktari wanapoamua kugoma?

    Kwanza nami nalaani alichokifanya yule Bw Dokta. Baada ya lile tukio nimesikia matamko mbalimbali ya kulaani ambapo miongoni wao ni Madaktari wenzake....na nadhani hata bado kuna mchakato wa kumuadhibu kwa kukiuka maadili. Baadae nikakumbuka ya kuwa kuna wakati Madaktari huamua kugoma, na hapo...
  3. Mtanzania gani anayejitambua na ana mapenzi ya kweli na Tanzania hataki Katiba Mpya?

    Mwananchi gani hataki Katiba Mpya? THURSDAY AUGUST 19 2021 Summary Vuguvugu la madai ya Katiba mpya limeanza kushika kasi, lakini katikati ya vuguvugu hilo kumejitokeza kundi ambalo linajaribu kuuaminisha umma kuwa hakuna By Daniel Mjema More by this Author Vuguvugu la madai ya Katiba...
  4. M

    Msaada: Ni hatua gani kisheria naweza chukua dhidi ya uonevu wa kampuni ya EROLINK ?

    Habari wana Jamii Forums, samahanini kwa wale wenye ujuzi wa kisheria, naomba msaada juu ya ni hatua gani za kisheria naweza kuchukua kwa kampuni inayoitwa EROLINK. Kampuni imekua inaleta usumbufu sana kwa wafanyakazi wake, hasa pale mikataba yao ya kazi inapoisha, na uwa haiwasilishi...
  5. ALAF Tanzania, mnatumia kigezo gani kupandisha bei za bati zenu

    Wadau kama kichwa cha habari kisemavyo. Nimekutana na hii scenario nikabigwa na bumbu wazi Nilowahi kupiga simu huduma kwa wateja ALAF nikaulizia bei za bati zao nika note kisha nika andaa mahesabu yangu ya paa langu Ikapita wiki 2 nikaenda pale kiwandani kwao nikiwa na nia ya kununua mzigo...
  6. I

    SoC01 Jinsi Serikali inavyoweza kuboresha huduma za Afya kwa Jamii

    Utangulizi Ndugu zangu wanajamii forum ningependa kuanza na nini maana ya Afya ? Ni hali ya kujiskia vizuri kimwili, kiakili, kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na ugonjwa wowote. Katika Afya kuna aina zake Nazo ni Afya ya akili, Afya ya mwili, Afya ya jamii, kijinsia, chakula, mazingira, Umma na...
  7. N

    Injini gani ya pikipiki mchina inaweza kaa kwenye pikipiki aina ya TVS

    Pole na kazi wakuu!! Msaada katika Hilo tafadhali
  8. Mimi ni mtu wa aina gani

    Habari wakuu sana. Mmebarikiwà sana na Mwenyezi Mungu. Aisee moja kwa moja kwny hoja mi nna sifa zifuatazo. nikiona mtu ana shida naumia sn mpk machozi hunilenga, mfano mtoto anapigwa au mtu yeyote Yule au nikiona mtu analia kwa uchungu. napenda kukaa kimya nikiwa peke yangu kuliko nikiwa...
  9. Hawa watu wana majukumu gani?

    Naomba kufahamishwa tofauti kati ya majukumu ya Transportation manager na Tracking Officer kwenye kampuni za usafirishaji mizigo.
  10. T

    Ni uongo gani unaoenezwa duniani kuhusu Tanzania?

    Nilimsikia Rais akisema filamu tunayoitengeneza inakwenda kufuta uongo unaoenezwa duniani kuhusu Tanzania. Niwaombe wadau mnisaidie kujua ni uongo gani hip? Ni nani wanaeneza? Je, filamu pekee inatosha kufuta huo uongo?
  11. Mkuyu ni Mti gani?

    Hapa ni makumbusho ya Taifa, kuna mti mkubwa sana mimi naufahamu kama BODHI TREE, ni mti ambao BUDDHA alipatia UFUNUO akajitambua, hata hivyo wafanyakazi pale makumbusho wameandika kwamba ule mti unaitwa MKUYU. Mkuyu ni mti aliokwea ZAKAYO ili amuone YESU. Binafsi sifahamu mkuyu ukoje ila...
  12. Q

    Mabalozi wapuuza onyo la Balozi Mulamula kutohudhuria kesi ya Mbowe

    Baadhi ya mabalozi nchini waliofika mahakamani leo kufatilia kesi inayomkabiri Mh. Mbowe.
  13. F

    Haya mafuta ya kupikia yaliyotumika yanakusanywa kwa ajili ya kazi gani?

    Kuna kampuni ambayo sitaki kuitaja jina imekuwa ikikusanya mafuta ya kupikia yaliyokwishatumika mahotelini, na mafuta haya wao huchukua bure. Kampuni ina jina la mnyama na inamalizikia na Bio Product. Haya mafuta siyo yanachakachuliwa yanarudishwa tena kwenye mzunguko? Ama kweli akili ni nywele...
  14. Mama J, shabiki wa Yanga

    Ila wazeiaa dah mama J mkali wa kuchezea mike. Dah sio poaa Inabidi hawa madem zetu wakapewe somo na Mama J Jinsi ya kushika Koni na kuinyonyaa vile inavyo takiwaa. Asantee Mama J, leo ume Jua kunipa rahaa. Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  15. IGP gani ulimkubali kwenye kuchapa kazi?

    Kwangu mimi mpaka kesho namkubali sana Afande Said Mwema, pale tulipata IGP! Jamaa ni mchapa kazi mzuri ambaye aliamua kulirudisha jeshi kwa raia yaani ule ushirikiano wa Askari na Jamii. Mwana jf mwenzangu wewe ulimkubali IGP yupi? Na kipi kilikuvutia kwa IGP huyo?
  16. Ni masharti gani ya ajabu uliwahi kukutana nayo nyumba ya kupanga?

    Mimi niliambiwa kama nataka kulewa home nataka kumnunulia mama mwenye nyumba bia zake ili anipe kibali. Wewe ulikutana na sheria ipi ya ajabu?
  17. Usajili gani umekushtua msimu huu?

    Baada ya kufunguliwa dirisha la usajili timu mbalimbali zimefanya sajili ili kuimarisha vikosi vyao. Kuna baadhi ya team zimefaidika na kupata wachezaji baada ya janga la Corona kutokea . Hizi hapa ni sajili ambazo mimi naona kama isingekua Corona zisingetokea sababu janga la Corona limeacha...
  18. Incubator ni nini? Inatumikaje ? na ni kwa kiasi gani itaniongezea uzalishaji wa kuku wa mayai?

    Nini maana ya Incubator ya mayai? Eggs incubator? Ni jinsi gani ya kuitumia Incubator kuyapa joto mayai? Ni kitu gani nifanye kabla ya kuweka mayai ndani ya incubator? Nini kitatokea nisipogeuza mayai ndai ya incubator mara kwa mara? Je kuna incubator ambazo zinageuza mayai zenyewe? Nitajuaje...
  19. B

    Tukio la msomali linatupa picha gani juu ya ugaidi..

    Mmm...ili tukio la msomali kupiga watu risasi hivyo lina maswali mengi...na ni kwanini mbele ya ubalozi wa ufaransa...na ubora wake wakutumia bunduki...unaleta maswali mengi. Kama ni issue za ugaidi basi kuna somo la kujifunza ...kubwa...kumtambua fake gaidi na original gaidi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…