gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Ukiondoa Dagaa na Maharage wanyonge watakula mboga gani?

    Tanzania hii ukitoa Maharage na dagaa unaweza kusababisha sintofahamu.
  2. JamiiForums Tanzania Mfugaji huyu wa Kuku wa Mayai 120,000 anapatikana mkoa gani ili tukajifunze kwake?

    Ndugu zanguni wazima? Kwa kweli nimehamasishwa sana na huyu mfugaji wa kuku wa mayai 120,000. Ningependa kujifunza mambo machache kwake kama ukubwa wa shamba analomiliki, uwezo na ukubwa wa mabanda manne ambayo anatumia kufugia kuku 120,000 (kuku elfu 30 kwa kila banda). Tafadhali mwenye...
  3. JamiiForums Tanzania Kubemenda mtoto kuna madhara gani? Mbona kunaogopwa sana?

    Katika tafakari yangu nimegundua kuwa kubemenda mtoto hakuna madhara yoyote. Kubemenda ikiwa ni kuzaa watoto karibukaribu kupita kiasi, huyu hajamaliza kunyonya tayari mwingine kazaliwa. Zamani jambo hili liliweza kusababisha kwashiarkor kwa watoto. Hata Kwashiarkor maana yake ugonjwa unaompata...
  4. JamiiForums Tanzania Nishauri series gani niangalie

    Nimeangalia series zifuatazo 1. Game of Throne 2.Tyrant 3. Godfather of Harlem 4. Banshee 5. Ozark 6.Narcos 7.Elchapo 8. 24 jack Bauer 9.Rome 10.Breaking Bad Naomba mnitajie series nzuri zitakazoendana na hizo
  5. D

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa saikolojia na afya, Je kuna uhusiano gani hofu ya vitisho na kujaamba au kujikojolea?

    Tafti zinaonesha watu wengi wanaopigwa mkwara wa ghafla mbele ya kadamnasi au popote hujamba au kujikojolea! Je kuna uhusiano gani kati ya hofu au vitisho na kujamba?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Shirika gani au Taasisi gani inayolipa vizuri.

    Niombe ajira shirika gani au Taasisi gani inayolipa vizuri na wanatoa matangazo mara kwa mara ya procurement.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya tabia nchi yameleta athari gani sehemu unayoishi?

    Athari za mabadiliko ya tabia nchi zimekuwa kubwa mno ikiwemo Joto kali lisilostahimilika, Mafuriko yanayoharibu makazi na miundombinu, Ukame unaosababisha kupotea kwa rotuba ya ardhi na Kuzorota kwa sekta ya kilimo. Katika kupaza sauti juu ya suala hili ambalo linahitaji nguvu kubwa ya wadau...
  8. JamiiForums Tanzania Marriage intelligency: Je, ni kitu gani au tabia gani ulitaka kuiondoa?

    Ndoa Kwa wenzetu wenye I.Q kubwa sio kama vile tuzaniavyo sisi huku afrika, kwao ndoa huwa zinaenda au huwa na malengo ya ndani zaidi, ambayo pengine ni ya kitabia, akili za familia fulani na kadhalika. Mimi binafsi katika kufuata logic hii niliangalia mapungufu yaliopo ndani ya familia yetu...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi PCM ukipata division two ya point 10 form six course gani inafaa hapo

    nisaidieni hapo wakuu nielewe PCM ambapo ufaulu ni CDC
  10. JamiiForums Tanzania Je, kulikuwa na ulazima gani Tanzania kuchukua wimbo wa Afrika Kusini na kuufanya wimbo wa Taifa? Kwanini tusingetunga wa kwetu?

    Huenda ni uvivu tulionao ndio unasababisha umasikini wetu na tumebaki kutafuta visingizio visivyo na idadi. Suala nyeti kama wimbo wa taifa, ambao ndio kitambulisho chetu, iweje tuukwapue wimbo wa Afrika Kusini na kuufanya wetu? Je, kwanini hatukuufanya wimbo wa Tazama ramani utaona nchi...
  11. JamiiForums Tanzania Kitu gani huwezi kusahau siku ambayo ulikua unafanya mtihani wa Darasa la Saba? Ndani na nje ya chumba cha mtihani

    Habari wana JF? By make a story short, let jump to the topic. Mimi kitu ambacho sintoweza sahau ni pale mshikaji (Hassan) alikuwa akichungulia majibu kwa jamaa (Boni) wa pembeni alipo mchania mkeka. Ilikua hivi, mtihani wa hesabu. Boni alikua mzuri kwenye hesabu hivyo Hasani akawa anakopi...
  12. JamiiForums Tanzania Ukiondoa ngono ni kitu gani kingine kinakupa thamani kwa mume/mpenzi wako?

    Kwa maisha ya sasa na wanawake wengi, utagundua wengi hawatumii au hawana akili. Na ndiyo maana wanajibidiisha sana kwenye muonekano, ila kichwani hamna kitu kabisa. Hopeless. Mwanaume : Fikiria huyo mwanamke uliyenaye kama ni mke au mpenzi. Ukiondoa ngono anabaki na nini kwako? Anabaki na...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni ukweli kiasi gani kwamba ukiigusa Kenya umemgusa Biden na EU

    Katika mahojiano VOA Swahili amesikika mkenya mmoja akidai kuwa ukiichokoza Kenya umemchokoza Biden na Europe kwa ujumla ni baada ya kijana wa Museveni kuandika kwenye Twitter utani wa kuivamia Kenya. Naombeni ufafanuzi wa madai haya ya mkenya bandugu .
  14. JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani ya nchi, mji au Kijiji ulifika mpaka ukajiuliza watu waishio huko walifuata nini?

    Habari za muda huu wana JF, Nchi yetu ni kubwa na Ina miji na vijiji vingi lakini Kuna baadhi ya maeneo unaweza ukahisi sio sehemu ya nchi yetu mpaka ukajiuliza maswali kuwa Hawa watu waishio hapa walivutiwa na Nini mpaka wakaweka makazi ya kudumu maeneo haya. Mfano, Mimi niliwahi kutembelea...
  15. JamiiForums Tanzania Mambo gani haya?

    Ni nchi gani nyingine hapa duniani hutokea Mambo ya ajabu Kama haya?, haiwezekani nijiunge kifirushi Cha tsh2,000 kupata MB 1024 halafu Tena wanatuma sms eti nilijiunga kifirushi Cha tsh 1,000😲. Wakubwa huu siyo ujambazi?
  16. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Kuna tatizo Gani Rais Museveni kumpandisha Vyeo Kijeshi Mwanae Muhoozi kama ana Uwezo na kakidhi Vigezo?

    Mbona hamkushangaa Rafiki yenu aliyewajengea Msikiti na Misikiti Hayati Ghaddafi alipompandisha Vyeo Mwanae? Mbona hamkushangaa Hayati Rais Laurent Kabila alivyompandisha Vyeo Mwanae Joseph Kabila? Kwanini kila mara Rais Museveni akimpandisha Vyeo vya Kijeshi Mwanae Muhoozi mnawashwawashwa...
  17. JamiiForums Tanzania Matukio gani ya aibu ulishawahi kuyafanya au kukutokea katika maisha yako?

    Katika maisha yetu kuna baadhi ya matukio tulishawahi kufanya au kututokea ambayo huwa ukiwaza unabaki unacheka kulingana na aibu iliyojitokeza. Kwangu mimi haya ni matukio ya aibu kabisa katika maisha yangu. 1. 2015 nikiwa nasoma kidato cha tano kuna dogo wa Olevel nilimtongoza akaingia kingi...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Hivi Vijana wa CHADEMA Wanatumia kitu gani kinachoharibu uwezo wao wa kufikiri na kujenga hoja? Mbona hawana adabu wala hekima?

    Ndugu zangu nimeuliza nipate kusaidiwa kupewa majibu maana nikiangalia na kufuatilia kwa makini naona hatari kubwa Sana iliyopo mbele ya chama hiki, wataalamu wanasema kuwa ukitaka kujuwa urefu wa maisha ya chama chochote Basi huna budi kuangalia uwezo wa kiuongozi wa vijana waliopoo katika...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Nichukue hatua gani za kisheria dhidi ya benki ya CRDB?

    Habari zenu wadau. Nimesikitishwa na huduma mbovu za benki ya CRDB. Ukweli siku ya juzi nikiwa safarini kuna mtu alinipigia simu alikuwa na uhitaji wa haraka wa fedha kiasi. Na wakati huo huyo mtu alikuwa ananidai kiasi fulani cha pesa. Sasa kwa uhitaji wake wa haraka akaniomba kama niko...
  20. JamiiForums Tanzania Kuota naokota hela, hii ndoto ina maana gani?

    Nilijifunza kutokupuuzia ndoto nnazoota huwa najitahidi kufatilia na kuulizia maana yake, kwani nimekua naota mambo halafu yanatokea kweli yanatokea vile vile nnavoona kwenye ndoto, hadi najihisi unabii unaninyemelea. Wiki kama mbili hivi zilizopita niliota nimepita njiani kuna kisima kimejaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…