Ivi ujauzito huanza kujitokeza au kuonekana baada ya muda Gani

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Wakuu ningependa kufahamu mwanamke akipata ujauzito tumbo lake huanza kuonekana baada ya muda gani kubwa

Nauliza kwa maana kuna mahala tiyali mtoto wa mtu kabeba ujauzito wangu
 
Wakuu ningependa kufahamu mwanamke akipata ujauzito tumbo lake huanza kuonekana baada ya muda gani kubwa

Nauliza kwa maana kuna mahala tiyali mtoto wa mtu kabeba ujauzito wangu

Hutegemea na umbo la mtu, kuna wengine hadi miezi 9 unaweza usigundue...

Kama mchuchu wako hana kitambi cha makande, basi kuanzia miezi 3 hapo kifriji kitaanza kuonekana...
 
hiyo mimba ionekane wapi
ukitaka kuiona hata baada ya wiki mbili unaiona
 
Hesabu kwenye hiyo picha.Kuna miezi mitatu ya kwanza,ya pili na ya tatu.
women-pregnancy-stages-vector-image-pregnant-.jpg
 
Back
Top Bottom