gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Vitu gani vizuri uliwafanyia wakwe lakini ukaachwa?

    Mapenzi hayajawahi kumwacha binadamu salama. Nilimkuta akiwa hana mbele wala nyuma, anakaa kwa wazazi, nikampangia na nyumba, baadaye nikamtafutia kazi, akaanza kunawiri na uzinzi na ufuska vikaja juu. Nikamsema akajirekebisha. Wazazi wake wakikuwa wanakaa kwenye nyumba ya tope, nikawajengea...
  2. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ulijifunza utotoni baadaye ukagundua ulipotoshwa na wazazi/walezi?

    Ebu shea na sisi pengine wale wanaorithi kila kitu toka kwa wazazi watakiepuka kwenye malezi ya watoto zao. Mimi nilikuwa nakatazwa sana kucheza kwenye majumba ya majirani. Wazazi wangu muda wote walitaka wanione nyumbani tena nikiwa mtulivu. Niliamini kutembea kwenye nyumba za jirani ni...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya aliyekuwa anagawa fedha za umma akiwa kwenye gari na anayegawa uwanja wa mpira?

    Magufuli alikuwa anagawa fedha za umma akiwa kwenye gari la wazi. Kununua kuku kwa malaki etc etc. sasa kaja mwingine ananunua/anagawa mamilioni ya umma uwanja wa mpira. Wana tofauti gani, wakati huo hakuna madawati, dawa, na shida nyingi kibao kwa walalahoi?
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kutuma salamu za pongezi kwa mkutano wa AU kwa miaka sita mfululizo, ni mambo gani anayojali Xi Jinping?

    Hivi karibuni, Rais Xi Jinping wa China alituma salamu za pongezi kwa Mkutano wa 36 wa Wakuu wa Nchi za Umoja wa Afrika. Huu ni mwaka wa sita mfululizo akiendelea kutuma salamu kwenye mkutano huo, na pia ni mara yake ya kwanza kutuma baada ya kuchaguliwa tena kuwa katibu mkuu wa Kamati Kuu ya...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa umri huu, huyu mtoto atakuwa na tatizo gani?

    Wasalaam , Msaada wa ushauri unahitajika kuokoa maisha ya mwanangu. Mimi ni kijana wa miaka kati ya 25 na 30 niko na familia ya watoto wawili ila mama yao tulishatengana miaka minne iliyopita kwahiyo watoto imebidi wakasome kwa bibi yao. Tatizo langu ni hawa watoto mmoja wa kiume ana miaka 8...
  6. JamiiForums Tanzania Leo Jumatano ya Majivu unasali ukiwa Kanisa gani?

    Kristo Leo ni Jumatano ya majivu ambapo kwaresima inaanza rasmi kwa mwaka 2023 mimi nitaenda St Peter Oysterbay kusali. Wewe utakuwa Kanisa gani?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Je, ulitumia mbinu gani kuingia kinyemela shuleni na kitu kisichotakiwa?

    Kuna dogo anasoma shule zenu za kishua ila zenye mitambo ya kukagua na ina walimu wanoko ila kaingia (kazama) getini na bangi na simu bila kugunduliwa na najua muda huu wa saa 4 kuelekea saa 5 ndiyo huwa mida yake ya kuvuta na kutupigia simu sisi washkaji na kaka zake wa mtaani tupige story...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani Airtel Money leo?

    Leo nimetuma pesa kutoka akaunti ya NMB kwenda airtel money pesa haikufika. Nikatuma tena kutoka Tigo pesa nayo haikufika. Nimepiga simu huduma kwa wateja mhudumu akasema hanisikii vizuri akakata simu. Kuna mtu amekumbana na hili tatizo au ni mimi tu🤔
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sababu gani watumishi wengi hutaka mabosi wanaume maeneo ya kazi?

    Naomba tujadili hii mada. Ni kwasababu gani watumishi wengi hupenda kuongozwa na mabosi wanaume kuliko mabosi wanawake katika maeneo ya kazi?
  10. JamiiForums Tanzania Askari anayenyanyasa wananchi kuhamishwa kituo cha kazi, kunajenga picha gani?

    Jumatatu 20 Februari 2023, Jeshi la Polisi lilitoa taarifa kuwa limewafukuza kazi Askari wake sita mkoani Arusha (ambao hawajatajwa majina yao) katika kipindi cha miezi sita, kutokana na makosa mbalimbali ya utovu wa nidhamu yasiyoendana na maadili ya Jeshi hilo. Siku moja baadae, Jumanne 21...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi nani aligundua hela na ulikuwa mwaka gani?

    Naomba ufanunuzi kidogo hapa maana labda sielewi hii hela imekujaje kwa ulimwengu.
  12. JamiiForums Tanzania Ni imani gani potofu uliiamini kwa muda mrefu halafu ukaja kujua si kweli?

    Dhana potofu ni imani zinazojengeka kwenye jamii ambazo si za kweli. Dhana hizi hurithishwa kwa vizazi na watoto hufahamishwa tangu wakiwa na umri mdogo. Mfano wa dhana potofu ni ugonjwa wa mabusha "Hydrocele" kusababishwa na unywaji wa maji ya madafu. Je, imani ipi potofu unaijua kwenye jamii...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Kuna agenda gani ya Upinzani kumshambulia Hayati Magufuli?

    Habari wakuu, Nimekuwa nikifatilia mikutano ya Upinzani kiukweli kuna kitu nimekiona na kinanishangaza na sijui ni mimi tu nimeona Hili au na wenzangu mmeona. Wapinzani wamejikita kwenye kumshambulia marehemu sasa nimejiuliza inaaama Wapinzani wanashindana kisiasa na Magufuli? Kuna nini nyuma...
  14. JamiiForums Tanzania Vote namba 20 ya Bajeti ina utakatifu gani dhidi ya katiba ya nchi?

    Tumemsikia kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo bwana Zitto pale Mbagala Zakhem akitueleza Watanzania namna mambo ya ajabu yanayoendelea Bungeni. Amesema kwa ufasaha kuwa kifungu namba 20 cha bajeti ambacho kina fedha za Takukufu, Usalama wa Taifa na matumizi binafsi ya Rais kimewekewa zuio na sheria...
  15. JamiiForums Tanzania Jibu gani baya uliwahi pewa wakati unatongoza hutakaa usahau?

    Me nakumbuka mwaka 2008 niliambiwa kuliko kukupa wewe mbunye yangu bora nikampe mbwa. Nilikaa kimya kwa muda , nikawa Na sura ya upole mno.Sikumjibu kitu ila nikageuka kwa unyonge nikaondoka taratibu huku nikionyesha kuwa Na mawazo. Akanionea huruma akaniambia simama G ........... Nisubiri...
  16. JamiiForums Tanzania Haya wazee wa masong challenge hizi ni lyrics za wimbo gani na msanii gani na anatoka wapi?

    Say nobody fit to stop my shine I no fit die ’cause it’s not my time Man, I’m on my grind And na only money dey my mind Sey na only money dey my mind Oh-oh-oh See, I don’t care about no enemies They envy me, they tryna get to me But na only money dey my mind Sey na only money dey my mind Oh, eh...
  17. JamiiForums Tanzania Ni hatua gani zinastahili kufuatwa ili kanunua nyumba au kiwanja kuepuka migogoro hapo baadae

    Wataalamu wa ununuzi wa Majengo, viwanja na mali zisizohamishika. Naomba kujuzwa hatua za kufuata ili kununua nyumba, au kiwanja lakini nisipate matatizo au migogoro, stage 1, mpaka stage ya kuingia kwenye nyumba uliyoinunua! Nitashukuru kwa hili.
  18. B

    JamiiForums Tanzania Huu ufaulu kidato cha nne nisome tahasusi gani?

    Nina division 2.21, nina grade C masomo yote isipokuwa nina D ya Physics na F ya Math. Je, nikasome combi gani Advance?
  19. JamiiForums Tanzania Wanaume tujadiliane, hivi ni muda gani sahihi wa kuanza kumpa mwanamke hela baada ya kumtongoza?

    Nimesikitishwa saba na tabia za mademu wengi, unamtongoza, hata kabla hajakukubali anaanza kukufungulia pochi yake ya matatizo. Mara naomba nauli ya mama aende kumuuguza mama mkubwa, hivi nisingekutongoza ingekuwaje? Mwingine ana kigari chake utasikia yaani nimezidisha kilometa 5OO naomba hela...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanamke anaanza kutema mate baada ya mimba kuingia?

    Kuna mwanamke hapa naona kama ameanza kutematema mate na nimekutana nae wiki hiihii na ofkoz ndio alikuwa kwenye tarehe za kutiwa mimba sasa hapa nisaidieni kinadada.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…