Kuna agenda gani ya Upinzani kumshambulia Hayati Magufuli?

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,577
18,904
Habari wakuu,

Nimekuwa nikifatilia mikutano ya Upinzani kiukweli kuna kitu nimekiona na kinanishangaza na sijui ni mimi tu nimeona Hili au na wenzangu mmeona.

Wapinzani wamejikita kwenye kumshambulia marehemu sasa nimejiuliza inaaama Wapinzani wanashindana kisiasa na Magufuli?

Kuna nini nyuma ya Hili? Lakini hao hao Wapinzani wakibwagwa kwenye uchaguzi na CCM ya Mama samia watalalamika wameibiwa kura.
 
Na ukiwashangaa utaitwa sukuma gang. Hadi wa leo sielewi kwann wafuasi wengi wa chadema wanaona Mama ni mwenzao ila adui yao ni JPM pekee na sio CCM
Ufuasi ni jambo moja la msingi sana kama ukitumia akili zako hasa zikiwa sawa kwenye kuamua jambo, lakini ufuasi ukigeuzwa ukondoo, hapo tegemea kuona mambo ya ajabu yatakayo kushangaza muda mwingi.

Kuna kundi la wajinga linalochezeshwa segere na walamba asali, nalo kwa kujua au kutojua, wanakata mauno haswa, walamba asali wanamtumia Magufuli kuficha udhaifu wa Samia, bahati mbaya hawa vibaraka wa walamba asali wanawafanyia kazi walamba asali bila malipo, mihemko imetawala sana.
 
Habari wakuu

Kuna nini nyuma ya Hili? lakini hao hao Wapinzani wakibwagwa kwenye uchaguzi na CCM ya Mama samia watalalamika wameibiwa kura
Sukuma Gang yakitajwa mapungufu ya awamu ya tano mnasema anatukanwa bwana wenu aliyeko kuzimu hivi tatizo lenu ni nini hasa?
 
Na ukiwashangaa utaitwa sukuma gang. Hadi wa leo sielewi kwann wafuasi wengi wa chadema wanaona Mama ni mwenzao ila adui yao ni JPM pekee na sio CCM
Viongozi wengi wa upinzani na wafuasi wao ni wajinga sana wana waamini na kuwapenda CCM walio baki ila wanamchukia Magufuli wakati hata utawala wa sasa bado ni hio hio CCM.

Sidhani hata kama wana fahamu adui yao ni nani ?
 
Wanajitahidi kumchafua wa wananchi ambao hawataki Hata kuelewa maneno yao, watatumia Nguvu kubwa Ila vitu alivyofanya JPM raia wanamuelewa na wataendelea kumuelewa Daima
 
Ufuasi ni jambo moja la msingi sana kama ukitumia akili zako hasa zikiwa sawa kwenye kuamua jambo, lakini ufuasi ukigeuzwa ukondoo, hapo tegemea kuona mambo ya ajabu yatakayo kushangaza muda mwingi.

Kuna kundi la wajinga linalochezeshwa segere na walamba asali, nalo kwa kujua au kutojua, wanakata mauno haswa, walamba asali wanamtumia Magufuli kuficha udhaifu wa Samia, bahati mbaya hawa vibaraka wa walamba asali wanawafanyia kazi walamba asali bila malipo, mihemko imetawala sana.
Kiukweli leo umeongea bila kuingiza ushabiki
 
Habari wakuu,

Nimekuwa nikifatilia mikutano ya Upinzani kiukweli kuna kitu nimekiona na kinanishangaza na sijui ni mimi tu nimeona Hili au na wenzangu mmeona.

Wapinzani wamejikita kwenye kumshambulia marehemu sasa nimejiuliza inaaama Wapinzani wanashindana kisiasa na Magufuli?

Kuna nini nyuma ya Hili? Lakini hao hao Wapinzani wakibwagwa kwenye uchaguzi na CCM ya Mama samia watalalamika wameibiwa kura.
Stupid of you! Magufuli alikuwa MUUAJI, lazima ashambuliwe kama Hitler anavyoshambuliwa! Where is Azory, Bensaanane, MKIRU thousands of people are no where to be seen, Cococ beach sandarus of dead bodies, acha ujinga shetani mkubwa kama Jiwe wewe
 
Kwahiyo kufanya hivyo ndio inawasaidia wapinzani kuchukua nchi?
 
Back
Top Bottom