gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Hiki ni ni kiumbe gani kwenye maji ya mvua?

    Mvua imenyesha hapa nilipo leo asubuhi,maji yake yamekuja na viumbe vyenye mikia Kama vinavyoonekana ndani ya chombo!Hivyo ninini?Vinatoka wapi?Maji ya mvua huwekewa dawa Gani?
  2. JamiiForums Tanzania TFF wametumia vigezo gani kupanga timu mwenyeji katika kombe la Azam federation Cup robo fainali

    Habarini wana michezo. Moja KWA Moja naomba kupata ufafanuzi juu ya upangwaji wa Timu mwenyeji katika mashindano ya Azam Confederation cup hatua ya robo fainali na hatua za nyuma yake kama hatua ya 16 na 32 bora. Maana nimefatilia naona kama hizi timu kubwa zinapewa kipaumbele kuchezea viwanja...
  3. JamiiForums Tanzania Je, karakana ndogo ya kuzalisha ‘transformer’ ndogo za umeme inaweza kuhutaji mtaji wa kiasi gani?

    Mfano karakana ya kawaida tu kama hiyo iliyopo kwenye video hapo, naweza kuikamilisha na ikaanza uzalishaji kwa milioni 50? Na je, wataalam kutoka VETA wapo nioweza kuwajiri na wakafanya huu uzalishaji? Na je, kuhusu soko, Tanesco bado wana sera ya kununua bidhaa za ndani kwanza kabla ya vya nje...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ni njia gani ya ajabu ambayo mhalifu alikamatwa?

    Mohammad Ashan alikuwa kamanda wa Taliban ambaye alisakwa kwa ku-organize mashambulizi dhidi ya wanajeshi wa Marekani. Kulikuwa na mabango mengi yaliyotangaza kwamba anatafutwa na maafisa wa Marekani na zawadi ya dola 100 kwa yeyote ambaye angetoa taarifa ambazo zingemfanya akamatwe. Cha...
  5. JamiiForums Tanzania Kumuenzi Magufuli: Tujikumbushe 'spana' za JF zilivyomsaidia Hayati Magufuli na Taifa. Je, Samia pia tumsaidie kwa 'spana' au tumkune tu tusimpare?

    Wanabodi, Leo siku ya Machi 17 ndio siku Taifa tulipotangaziwa kifo cha Shujaa wetu JPM, hivyo katika kumkumbuka, na kumuenzi, mnaonaje tukijikumbusha baadhi ya mabandiko ambayo tulimshauri JPM na ushauri huo ukafanyiwa kazi, kwa kutaja bandiko husika, ulishauri nini, na nini kilikuja kufanyika...
  6. JamiiForums Tanzania Umewahi kumfanyia dharau gani boss au mwajiri wako?

    Mimi nakumbuka nikiwa nafanya kazi za u house boy, kuna siku mke wa bosi wangu alikuwa anatoka kwenda sehemu sijui kusuka ila akiwa getini anatoka mimi nilikuwa naangalia movie pale sebuleni akaniita, kaka naomba uniletee viatu vyangu huko baraza ya nyuma ya nyumba maana ilikuwa msimu wa mvua...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Hivi kula nyama ina tatizo gani kiafya?

    Ndugu zangu madaktari, nyama Ina tatizo gani? Sijawahi kusikia daktari akimshauri mgonjwa ale nyama kwa wingi. Huwa wanatuambia kula mboga nyingi, au kunywa maji mengi au matunda mengi. Wengine wanaendaga mbele zaidi na kutuambia tusile nyama badala yake tule maharagwe. Hivi utamu wa nyama...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Vigezo gani hutumika kumpata kocha bora wa mwezi ligi kuu ya NBC?

    Ni vigezo gani hutumika kuchagua kocha bora wa mwezi kwa ligi yetu pendwa ya NBC? Rekodi zinaonyesha kocha wa Yanga amekuwa na muendelezo bora kuliko makocha wote wa ligi kuu kwenye kila mechi ana 90% za kushinda . Lakini ni miezi kadhaa tuzo zinatilewa ila anashindwa/anakosa i Nabi...
  9. JamiiForums Tanzania Shule gani ya advance ni nzuri kwa mikoa hii?

    Salaam wakuu, Natumai nyinyi ni wazima wa afya na wale wenye changamoto mbalimbali za kiafya basi Mungu awape ponyo. Niko katika utafiti wa shule gani ya advance ni nzuri kwa michepuo ya sayansi ambayo ni girls school. Mapendeko yangu ni kwa mikoa isiyo ya baridi kali mfano dodoma...
  10. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ufanye pale unapofikwa na dhahama kwenye mapenzi (mapenzi chechefu)?

    Wasalaam wana JF Hakika maumivu ya mapenzi ni magumu sana, hayasikii pain killers, pombe, bangi, maombi na ata ushauri (nasihi). Wapo waliopoteza maisha au kupoteza muelekeo katika maisha waliyoyapoteza. Jambo hili ulione na kulisikia kwa wenzio, usiombe likukute. Pamoja na magumu na machungu...
  11. JamiiForums Tanzania Hii ni movie gani?

    Kwa wahenga tu, unakumbuka jina la hii movie...
  12. JamiiForums Tanzania Hili jani lina kazi gani?

    Habari za mchana wandugu, Nyumbani kwangu kumeota mmea flani hivi. Kuna mshikaji alikuja home kunisabahai akaniambia linaitwa Kongwa huko Zanzibar. Akasema huko kwao Tanga linaitwa msharifu. Anadai kuwa huu mmea unatumika kuua nguvu za uchawi na waganga wengi sana. Sikutaka kumuliza maswali...
  13. JamiiForums Tanzania Kocha wa Taifa Stars ametumia vigezo gani kumuacha Kampombe, Zimbwe, Mzize na Sure Boy na kuita kikosini wakalia benchi?

    Salaam, Binafsi nimeshangazwa sana na uteuzi wa kikosi cha Taifa Stars, ambapo nimeona wachezaji ambao wapo kikosi cha kwanza kwenye timu zao (regular players) wameachwa haswa niliotaja hapo juu. Sio hivyo tu wachezaji hao timu zao zipo kwenye mashindano ya kimataifa wakiwalisha timu zao lakini...
  14. JamiiForums Tanzania Bangili hii ni Fashion au ni ulozi?

    Nimekutana na watu wengi sana wakiwa na hizi bangili sio wazee tu Hadi vijana. Je huo ni ulozi? Au kujikinga na mabaya? Wanaovaa wengi ni wafanyabiashara.
  15. JamiiForums Tanzania Mwamposa, haya makundi ya Kuwaombea yakiisha utayaombea Makundi gani mengine ili upige pesa zao kiulaini?

    Tayari Umeshayaombea Makundi yafuatayo: 1. Wanawake na Uzao Wao 2. Wanaume Wapuuzi Wasiodindisha Mikuyenge / Mikurudungu yao 3. Wafanyakazi na Wafanyabiashara 4. Watoto 5. Wanafunzi 6. Wenye kuhitaji Mimba za Ndoa na Uzinifu 7. Wanandoa na wenye kuhitaji Waume na Mabwana Leo nasikia uko na...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Ni vitu gani ambavyo huvipi kipaumbele zaidi unapozidi kuzeeka?

    Top 2 zangu ni: (1) SEX - Hii bado ina matter ila kidogo sana sio kama zamani nadhani ni kwasababu ya ubusy na kufocus zaidi kwenye majukumu ya kutafuta kipato. Kama unavoelewa too much sex huwa ina madhara hasa kwetu wanaume coz ina-drain nguvu ya mwili na akili hivyo najaribu pia kuepuka sana...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Vifaranga vya kuku viwekewe majiko ya kuvipa joto hadi umri gani?

    Ndugu wanajf na wafugaji wa kuku, hivi vifaranga vinatakiwa viwekewe chanzo cha joto hadi vifikishe umri upi?
  18. JamiiForums Tanzania Faida gani Taifa lilipata kwa kuwakandamiza CHADEMA?

    Kuna watu wanaonesha kama vile maridhiano kati ya CHADEMA na CCM yaliyoasisiwa na Freeman Mbowe, na Samia Suluhu Hassan, ni upendeleo kwa CHADEMA na CHADEMA ni lazima washukuru kwa kuonewa huruma na Samia. Hivi Taifa la Tanzania lilipata faida gani pale CHADEMA ilipokuwa inakandamizwa isifanye...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Document gani ya kupeleka ubalozini kama ushadi wa kurudi nchini?

    Habari wakuu. Naomba msaada kama mtu anataka kwenda nchi za umoja wa ulaya ubalozi unataka proof of willingness to return. Kwa mtu asiye na ndoa Wala ajira anaweza kuwasilisha nyaraka ipi kama uthibitisho kwamba baada ya miezi 3 atarejea tena nchini? Shukrani.
  20. JamiiForums Tanzania Unaangalia vigezo gani kununua Laptop? Chagua Laptop inayoendana na matumizi yako

    Kuna mambo kadhaa ya kuzingatia kabla ya kuchagua laptop ya kununua Processor, Storage,RAM, Display, Graphics n.k 1.Processor Hapa ndo kwenye performance nzima ya kompyuta yako Ni namna kompyuta inavyochakata taarifa au kila kitu unachofanya kwenye kompyuta yako kinapitia hapa kufanyiwa kazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…