gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Huyu pembeni ya Gaucho ni mchezaji gani?

    Wapenzi wa kabumbu naombeni jibu, aliyepo pembeni ya nabii na mtume wa mwisho kwnye soka(Ronaldinho Gaucho) ni nani?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Bunge na Watanzania kwa ujumla, tulichukua hatua gani kwa waliohusika na madudu katika Ripoti Ya CAG iliopita? Another political silly season!

    Binafsi sishangai haya yaliobainishwa katika Ripoti ya CAG ya 2021/2022, bali nawashangaa wanaoshangaa yaliyoibuliwa katika ripoti hii. Kama `Bunge lenye wajibu wa kuisimamia serikali halikuchukua hatua kuhakikisha waliousika na ubadhirifu na ufisadi katika ripoti iliyopita wanachakuliwa hatua...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi Kuna uhusiano gani Kati ya uislamu na usafi hasa kwa wanawake waislam

    Hello JF, 👇👇👇 Mara nyingi kama sio mara zote mwanamke wa kiislamu ni msafi zaidi kuliko hawa wa dini zetu za magharibi, haswaa mifano hii ni kwa wanawake ambao hawana tabia mbaya kam ufuska ama uzinzi, usherati na ulevi. Mazingira wezeshi yawe sawa hawa wote wapatikane mazingira ambayo maji...
  4. JamiiForums Tanzania Mada gani itakuwa inazungumzwa hapa?

    Mimi nawaza watakuwa wanajadili kuwa, ule umeme uliozingua jana angekuwepo jiwe kuna watu wangeliwa kichwa. Karibu utiririke na wewe
  5. JamiiForums Tanzania Hizi gharama za kusambaza mabango zinatoka wapi na yana faida gani kwa Watanzania?

    Nimejiuliza maswali haya nimekosa majibu, Hivyo nimekuja kwenu wadau mnisaidie. Ukipita maeneo mengi hususan mijini utakuta mabango yenye picha za kusifu mf. "Ametekeleza maono" "Ameimarisha huduma za umeme" n.k, Je, mabango haya yanagharamikiwa na chama au serikali? Je, yanafaida gani kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kero gani umewahi kukutana nazo kwenye nyumba za kupanga?

    Binafsi kero za mwenye nyumba zilisababisha kujenga nyumba yangu na kuhamia faster ilikuwa 2015. Unalipa kodi mara umeme umekatwa wakati kwake upo, mara kuchota maji mwisho saa 4 asubuhi, hutakiwi kutumia pasi ya umeme wala water heater yani ilimradi uishi kwa mateso. Ukiongea unaambiwa...
  7. JamiiForums Tanzania Kinachokwamisha Simba kuuza hisa zake ni kitu gani?

    Mpaka sasa wana-Simba hawajauziana hisa za klabu yao hiyo. Ni kitu gani ambacho kinakwamisha wana-Simba wasiuze hisa za klabu hiyo?
  8. JamiiForums Tanzania Umewahi kukuta watu wanakula chakula gani ukakishangaa?

    Tembea ujionee, kwenye jamii kuna vyakula vya aina tofauti tofauti, kuna vingine vya unaona kabisa ni vya ajabu ila jamii husika inakula na kuvifuhia kabisa. Nimewahi kwenda kijiji fulani nikakuta wanakula majani fulani ambayo kwetu tunayatumia kama maua ila kwao ni mboga pendwa kabisa. Pia...
  9. JamiiForums Tanzania Kitu gani kinafanya mtu awehuke katika baadhi ya matendo?

    "Kuuliza si ujinga" Elimu ni kubwa sana tunatofautiana katika uelewa wa kila jambo mfano mimi nilipokuwa form four wakati tunasoma kitabu "Pass like shadow" nilikuwa najua kuwa main thesis ya kitabu ni ukimwi ambaopo kuna mdada alikutautana na jamaa Mwenye HIV (Nimemsahau) Ila hakuathirika ila...
  10. JamiiForums Tanzania Ni kazi gani mtu anaweza kwenda kufanya ughaibuni akalazimika kupokonywa passport na kuzuiliwa kutumia WhatsApp?

    Kuna jirani yangu mmoja mwanae hakufanikiwa sana kimasomo kama wa kwangu Mimi nimepambana amefika mpaka chuo amepata degree ajira ndo Hana mpaka anatia huzuni Sasa mtoto wa jirani yangu aliishia form four alifeli akawa haeleweki tu sasa juzi kati kwenye story mbili tatu na jirani yangu...
  11. JamiiForums Tanzania Ni ukweli gani wenye huzunisha kuhusu kuzeeka?

    Kadri unavyozeeka, ndivyo unavyogundua kuwa mengi uliyofundishwa utotoni hayana ukweli kabisa Unaweza kuwa chochote unachotaka kuwa. Hapana, hauwezi. Kuna vipimo ambavyo hutavifikia ili kukubaliwa katika kitu unachokitaka. Hii ni licha ya kuwa na akili na ujuzi wa kutosha wa kufanikiwa katika...
  12. JamiiForums Tanzania Je, siri gani imejificha juu ya nchi ya Tanzania hadi papa abusu ardhi ya Tanzania?

    Wakuu. Kuna suala linaniumiza sana Kichwa. Mwaka 1996 Inaasemekana papa JOHN PAUL II Alikanyaga Ardhi ya Tanzania na Kupiga MAGOTI na kuibusu? 1. Hiki kitu hakijawahi kufanya na papa yoyote JE Kuna nini Ardhi ya Tanzania? 2. Kipi kimejificha Ambacho sisi hatukijui? 3. JE Tanzania...
  13. JamiiForums Tanzania FOOTMOB RATING,huwa wanazingatia vigezo gani?

    Mfano Jana msuva ana 7.3 Samata pia ana 7.3 Ila watu wanamsifu msuva na kumlaumu Samata.. Bacca ana 7.8 afu Dismas ana 8.0 lakini watu wanamsifu zaidi bacca. Hivyo hivyo kwenye kiungo Himid ana point nyingi kuwazid Mzamiru na Mudathir Ila Mudathir anasemwa vizuri kuliko.. Tujadilini hapa hiz...
  14. JamiiForums Tanzania Hii ni dalili gani kwenye kifaa hiki cha fridge?

    Wataalam, huu weusi kwenye kifaa hiki cha fridge ni dalili gani na inasababishwa na nini? Je, kuna madhara? Mwanzo nilipolinunua huu weusi haukuwepo kabisa.
  15. JamiiForums Tanzania Umewahi tokewa na kitu gani kisicho cha kawaida mpaka ukamshukuru Mungu?

    Mwaka 2013 nilipofika dar nilifikia maeneo ya magomeni mapipa kwa ajili ya kufanya kazi za ndani, basi bhana ratiba za kazi ilikuwa kama hivi; Nikiamka saa 12 nichote maji nioshe vyombo, nifua ninywe chai, nibebe maji ya kandoro nikauze tripu ya kwanza maji 50, ya pili na yatatu, mpaka saa 11...
  16. JamiiForums Tanzania Inachosha kutengeneza mafolder mengi kwa file moja, software gani nzuri ya kubandika tags kwenye mafaili ili kuondoa usumbufu wa kutengeneza folders

    Naweza kuwa na faili muziki, video au pdf ya mashairi mfano wimbo wa zali la mentali wa professor jay, hapa inabidi niuweke kwenye mafolder kama: Bongo flava, Tanzania 2000s Bongo Records Professor Jay Juma Nature Kuna software ambayo naweza kupachika tags kirahisi, yani nikilikuta faili...
  17. JamiiForums Tanzania Ni ushauri gani umekupa manufaa kupitia JamiiForums?

    Hakuna binadamu ambaye anafanya biashara isiyokuwa na faida kamwe! Basi hata hapa JamiiForums imani yangu kwamba tumejiunga wote na tumepata faida kubwa sasa basi. Ni mwanachama gani ambaye amekuwa akikupa ushauri ukakupatia manufaa? Toa pongezi kwake hadharani.
  18. JamiiForums Tanzania Naombeni kujua ni vyuo gani vya serikali apa Tanzania vinatoa kozi ya physiotherapy ngazi ya Diploma

    Naombeni kujua ni vyuo gani vya serikali apa Tanzania vinatoa kozi ya physiotherapy ngazi ya Diploma Naombeni msaada ndugu zangu
  19. JamiiForums Tanzania Ni Rais wa nchi gani aliwahi kufanya hivi?

    Nimefuatilia kwa muda toka week ilipoanza wakati Rais wa Zambia Hakainde Hichilema alipokuwa akiwavika nishani makamanda wa jeshi la nchi yake. Wakati akikagua gwaride ndipo mvua ikaanza kunyesha, no mwamvuli na shadow! ☝🏾Baada ya kukagua gwaride. ☝🏾Akiwa anakagua huku akinyeshewa mvua...
  20. JamiiForums Tanzania Unaikumbuka blogspot gani enzi hizo?

    Miaka ya 2005 kuja 2010 enzi hizo Jamiiforum siyo maarufu, kulikuwana na blogspots nyingi sana zilizokua hot. Mimi nazikumbuka hizi. 1. Mbeya yetu blog, Morogoro yetu, Iringa yetu, habari za maendeleo ya mikoa 2. Dinahicious blog mambo ya malavidavi na mahaba ili kua chimbo balaa sana 3...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…