gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Hivi mashindikanaa ni watu wa namna gani haswa kwenye jamii?

    Nimesikia watu wakiita wengine hivi, maana yake nini? ili mtu aitwe mashindikanaa anatakiwa awe na sifa zipi?
  2. JamiiForums Tanzania Unatumia kiasi cha gani cha Fedha kwa mwezi kwa ajili ya bando la Intaneti?

    Mimi najibana sana natumia shilingi elfu 25 ambapo napata 30gb huduma ya post paid. Tuambie unatumia kiasi gani cha pesa kwa mwezi kwa ajili ya bando la internet hasa wakati huu mabando hayshikiki?
  3. JamiiForums Tanzania Starehe gani inayokupotezea Muda na Fedha lakini unashindwa kuiacha?

    Starehe ya kula gambe nimeshindwa kuiacha kabisaa japo inamaliza hela ila kuna muda najisemea natafuta hela kwa sababu gani?
  4. D

    JamiiForums Tanzania Je, kuna tatizo gani katika jamii yetu ya leo?

    Mshiriki huyu wa American Idol mwenye umri wa miaka 19, Benjamin Glaze, anatoka katika familia yenye maadili sana. Majaji wanamuuliza kama ameshawahi ku-kiss. Benjamin anasema kuwa hajawahi kwasababu kwake ku-kiss ni kitu kikubwa sana na anasubiri hadi aingie kwenye mahusiano ya kueleweka...
  5. JamiiForums Tanzania Jezi ya Timu yangu pendwa ya Marumo Gallants FC zinapatikana Duka gani hapa Dar es Salaam?

    Nataka nianze Kuivaa/ Kuzivaa mapema nikiamini kuwa Watanifurahisha na wataenda Kunifungia Midomo Wapuuzi na washamba fulani kutokea Zuzu Nation barani Afrika.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Ni hatua zipi za kulipia kufungiwa Umeme na TANESCO?

    Baba yangu amepewa control number alipe 320960 Ili aunganishiwe umeme. Nataka kumlipia kupitia Airtel money nielekezeni hatua za kufuata.
  7. JamiiForums Tanzania Ninatarajia kuanza kujifunza 3D. Ni software gani inafaa na inatumika zaidi kwa matumizi ya kiofisi na kibiashara?

    Salaam brothers and sisters, Ni jambo ambalo nimekuwa nikilipanga muda mrefu kuhusu kuanza 3D, lakini softwares ni nyingi, na nilitamani kujua ipi inafaa zaidi na itakuwa rahisi kutumia assets nitakazokuwa natengeneza kwa Adobe AfterEffects?! Natanguliza shukrani.
  8. JamiiForums Tanzania Dkt. Musukuma: Hereni kwa ng'ombe zina faida gani?

    Mbunge wa Jimbo la Geita Joseph Kasheku Musukuma amehoji Bungeni faida ya kuweka hereni kwenye ng’ombe na amemtaka Waziri wa Mifugo na Uvuvi kujinasua kwenye mtego huo. Musukuma amesema hayo wakati akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi iliyoomba kiasi cha...
  9. JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na maumivu ya mguu hasa maeneo ya paja, dawa gani ya kumeza inaweza kunisaidia

    Habari, Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu, nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ya mguu maeneo ya paja kuelekea kiunoni. Kwa kweli sijawahi kuanguka au kupata jeraha lolote hivi karibu ila naona tu mguu unakuwa na maumivu. Dawa gani nzuri iliwahi kukusaidia kwa maumivu ya mwili au viungo...
  10. G

    JamiiForums Tanzania TMA, kuna tofauti gani ya msanii bora wa kiume/kike na msanii bora wa kiume/kike bongo fleva?

    Habari, Weekend iliyopita nilikuwa naangalia tuzo za TMA yaani Tanzania Musics Awards na kuona vipengele tajwa hapo juu. Sasa bado sijaelewa tofauti zake. Mwenye kuelewa naomba anijuze.
  11. JamiiForums Tanzania Fursa gani ipo kwenye Halmashauri uliyopo?

    Aisee maisha yalinipiga wadau miaka kadhaa iliyopita, nilikuwa Dar kwa kipindi kirefu hela nilikuwa nashika lakini ni Kama nawatafutia watu. Kodi ya nyumba, nauli za daladala kila siku, kifungua kinywa, chamcha na chajio, kubet (sababu ya msongo), kodi ya taka, hela ya ulinzi shirikishi Ankara...
  12. JamiiForums Tanzania Tuambie timu yako ilitolewa hatua gani CAFCL?

    Kila mmoja anaisifia Mamelod kuwa ni timu tishio msimu huu lakini hawasemi Mamelod amefikaje hapo Kabla ya kufuzu Nusu fainali msimu huu Mamelod amecheza Robo Fainali 4 mfululizo na kutolewa zote Raja Casablanca ndani ya misimu mitatu mfululizo wanatolewa hatua ya robo fainali Mpaka sasa...
  13. JamiiForums Tanzania Bishoo ni mtu wa aina gani?

    Wasalaam, Kwa wale vijana wa kale yaani 1970s and early 1980S kuna hii sentiment ambayo mtu akiupara (akitupia pamba kwa lungha ya leo) au akiwa namna gani mwenye babes wakali (pisi) na ndinga kali basi anatupiwa neno la bishoo. Utasikia yule kaka bishoo sana, sasa nimekaa hapa natafakari...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Mkulima kuwafungulia kesi vigogo Mwigulu, January, Kabudi na Mbarawa

    Mkulima Thomas Nkola ametaja watu 10 ambao wametajwa kwenye ripoti ya CAG anakusudia kuwafikisha mahakamani Mwigulu Nchemba, January Makamba, Prof. Makame Mbarawa, Prof. Palamagamba Kabudi, Maharage Chande, Masanja Kadogosa, Habinder Seth na wengineo waliotajwa na CAG. Chanzo: Jambo TV
  15. JamiiForums Tanzania TANZIA Wafanyakazi Wawili wa Ofisi ya CAG wafariki dunia

    Taarifa kamili hii hapa. Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Bw. Charles E. Kichere anasikitika kutangaza kifo cha Bw. Geofrey Lawrence Makonyu, Mkaguzi Kitengo cha Walipa Kodi Wakubwa ambae amefariki akiwa Yaounde nchini Cameroon akiwa katika majukumu ya kikazi. Marehemu...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani na MWAUWASA?

    Nashindwa kuwaelewa Mamlaka ya Maji Mjini Mwanza kwa eneo la Mwananchi kukosa maji sasa wiki nzima ilihali tuna Ziwa Victoria umbali wa kilomita moja. Hivi MWAUWASA mna matatizo gani? Tunaiomba Serikali ichukue hatua kwa Mamlaka hii. Tumechoka, tumechoka.
  17. B

    JamiiForums Tanzania Galants kumtoa Monastry na Yanga kutopata bao kwa Mkapa kunaleta tafsiri gani?

    Wananchi ni wazi tupo kinywani mwa Galants, vipi kutoboa kupo kweli au tusubiri kutimiza wajibu maana Rivers jinsi walivyocheza leo ni kama hawakuhitaji ushindi au ni timu ya kawaida ukilinganisha na Galants. Muda ni Mwalimu mzuri ngoja tusubiri.
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kibaka huyu ni kutoka mamlaka gani?

    Huyu hafuzu kuwa mfanyakazi wa umma. Ana nini huyu kumtofautisha na mhuni mvuta bangi wa mtaani?
  19. JamiiForums Tanzania Changamoto gani unayo ya umeme nyumbani kwako

    Kama unachangamoto / shida ya umeme au vifaa vya umeme nyumbani kwako unaweza pata msaada hapa au tufanye kazi na fundi umeme hapa <<dar , ubungo>> Kama unaswali uliza au maoni changia
  20. JamiiForums Tanzania Je, kama kila ukijaribu myamalize ila mpenzi wako haoneshi kutaka yaishe je kuachana hapo ni uamuzi mzuri?

    Habari zenu bila shaka hamjambo em tupeane fikra hapa kidogo Je mwanaume kuomba samahani kwa mpenzi wako hua mwisho mara ngapi? Je suluhu pia isipofanya kazi kuachana ni uamuzi sahihi ? Tumeishi kwa furaha kwa mda mrefu ila vikombe kugongana lazima kabatini ila huyu mwenzangu kila nikitaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…