gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni bidhaa gani naweza kuziuza nikiwa na gari au Bajaji, Gari Duka

    Wanakijiji wa JamiiForums mimi nipo Dar saivi ninafikiria jambo fulani la kujikwamua kiuchumi ila hii kidogo naipigia mahesabu kitofauti nataka ninunue ka-ist au bajaji then ukiachilia mbali sijui kusafirisha watu sijui uber au bolt nataka hicho chombo nitakachonunua kiwe ndio duka lenyewe...
  2. JamiiForums Tanzania Wataalamu hii CV ina makosa gani?

    Hello jf, Najua huku kuna wataalamu na maHR wenye uzoefu na hizi mambo. Kuna mdogo wangu hapa anatafuta kazi haitwi hata interview,sisi wengine hatuelewi haya mambo tuliishia la7 B tukaingia kwenye biashara. Hii Cv yake ina mapungufu gani?
  3. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded TANROADS mna mpango gani juu ya barabara ya kimkakati inayotoka Kimara Mwisho kuelekea Tabata (Bonyokwa-Segerea-Kinyerezi)?

    Habari za wakati huu! Moja kwa moja nawaelekea TANROADS kuhusu hii barabara ya kimkakati inayoanzia darajani kimara mwisho kuelekea tabata bonyokwa mpaka tabata segerea. Kwa muda mrefu hii barabara imekuwa ikisahaulika kuwekewa lami ilihali ina umuhimu mkubwa sana wa kupunguza foleni ya...
  4. JamiiForums Tanzania Kujihisi kama umechoka kuishi

    Habari, Je, kuna mtu hufikia hatua akawa katika hali niliyonayo muda huu? I mean kwamba kuna wakati ukifika nikitafakari maisha yangu nahisi kama kukata tamaa, yaani kuhisi uchovu tu from no where. Yaani sijui niiweke vipi ila kuna muda tu ukifikaga tafakuri ya maisha hunijia, najikuta...
  5. JamiiForums Tanzania Kamati ya Tuzo TFF imetumia vigezo gani kuchagua Beki Bora wa Ligi ya NBC?

    Jamani ebu tufahamishane vizuri hapa wote tujue. Dickson Job kapewa tuzo ya Beki Bora kwa Criteria gani? Haya tuliyaona TMA na tuzo zao za CUBA, leo hii kwenye NBC mambo kama yanajirudia.
  6. JamiiForums Tanzania Mpenzi wako ulienae hivi sasa unamfananaisha na kitu gani kizuri hapa duniani?

    Kuna misemo mingi wapenzi huwa wanapenda kutamka/ kutamkiwa na wapenzi wao. Kwa mfano: your my chocolate, my honey, my apple, my banana, my angel, my bank. Etc embe share idea ni kitu gani kizuri huwa ukimtamkia mpenzi wako huwa anajiisi yupo peponi.
  7. JamiiForums Tanzania Nigeria: Mchungaji awauzia mchuzi wadada wasioshika mimba

    Mchungaji nchini nigeria anawapika wanaume kisha mchuzi wake wanakunywa wadada wanao kosa mimba ili wapate mimba😂😀🙌
  8. JamiiForums Tanzania Umewahi tembea umbali gani mrefu kwa miguu ndani ya jiji la Dar es Salaam?

    Nakumbuka siku moja nikiwa Msasani alitokea kijana mmoja akaniomba nimtembeze kwenye mtumbwi. Ila kwa bahati nzuri kukawa na boti linaenda Kigamboni siku hiyo, basi bhana nikamuunganisha akaniambia tuende wote mpaka taifa tukaangalie na Mpira kati ya Yanga na Mbeya city. Alifurahi sana...
  9. JamiiForums Tanzania Nahitaji bag moja la safari kama haya, huko Town/Kariakoo yanauzwa bei gani?

    Wadau, hizi bag nazikubali sana.. naona zitanitoa sana kwenye safari zangu za pale na kule.. So nahitaji kujua begi zake wakuu..
  10. JamiiForums Tanzania Je ukitoka out unavaa saa gani?

    Binafsi, je naenda kukutana na nani? Hilò ndio swali namba 1. Swali namba mbili huwa je anajua nini kwenye mitindo na fashion? Basi napenda vitu unique, yaani niwe wa kipekee ndio maana nagharamìa. Hii ndio saa yangu. Usiulize gharama . Nguruwe hawajuagi madini etii!!!!!!
  11. J

    JamiiForums Tanzania Spika na Wabunge kumbukeni maneno haya ya Dua ya kuiombea nchi na kuliombea Bunge mnapokwenda kuuza Bandari

    Dua ya kuiombea nchi na kuliombea Bunge “Ewe MWENYEZI MUNGU Mtukufu, Muumba Mbingu naDunia, umeweka katika Dunia Serikali za Wanadamu naMabunge ya Mataifa ili haki yako itendeke. Twakuomba, uibariki nchi yetu idumishe uhuru, umoja, haki na amani, umjalie Rais wetu hekima, afya njema na maisha...
  12. JamiiForums Tanzania SoC03 Kupitia wasanii wa sasa, je tunaenda kutengeneza kizazi cha aina gani hapo baadae na nani awajibike?

     UTANGULIZI Msanii ni mtu anayetumia lugha kufikisha ujumbe( kazi zake za sanaa) kwa jamii. kwa lengo la kuburudisha na elimisha. Katika kutoa maana halisi ya fasihi simulizi kwenye kipengele cha msanii (mwanafasihi) kuna mtazamo unasema 'Msanii ni kioo cha jamii'. Kioo kazi yake kubwa ni...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia yupo sahihi. Ni Jambo gani nyie Wabongo mnaliweza?

    Ukiachana na wizi na ukosefu wa maadili ngono na Pombe je ni taasisi gani mmeweza kuiendesha ikaleta manufaa kwa taifa letu la Asali na masiwa? Huyu Mama kosa lake lipo kuwa chini ya chama chakavu lakini kichwani she a head of our time na tukiwatoa Mama zetu Mwanamke aliyebaki na akili ni huyu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Vioo vipya vya magari napata duka gani?

    Habari zenu. Kama ambavyo nimeandika juu naulizia jwa Dar duka gani wanauza vioo vipya sio used vya magari mfani mi nikitaka badilisha vioo vya gari yangu Nissan tilda ya 2010 vioo vinaweza patikana? Vioo vipya
  15. R

    JamiiForums Tanzania Ndoto inayojirudia ya kuokota pesa za sarafu ina maana gani?

    Habari. Kuna hii ndoto ambayo karibu Kila wiki lazima niiote. Ninakuwa naokota pesa za sarafu mpaka za mataifa mengine na zinakuwa nyingi kiasi kwamba naweza kutembea hata kilomita Moja na Kila mahali naokota hizi pesa. Nimeanza kuiota kitambo sana. Usiku wa kuamkia Leo pia nimeiota Sasa...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Tahadhari na ushauri wa ni msaada gani ninaoweza kupata kwa case ya muamala uliofanyika kama malipo ya deni

    Wasalaamu wanajukwaaa. Jana nimekutana na ujanja ujanja ambao kwangu ni mpya kabisa, sijui ninaweza kuita utapeli. Ila ninachoweza kusema ni udhaifu mkubwa sana wa mtandao wa vodacom vodacom upande wa miamala. Ni ivi kuna mtu nilikuwa ninamdai kiasi kadhaa cha pesa, sasa tukapelekana mpaka...
  17. JamiiForums Tanzania Ni kauli gani ya vyama/wagombea ilikupa hofu wakati wa kampeni za uchaguzi?

    Mara nyingi wakati wa Kampeni za uchaguzi, kumekua na kauli mbalimbali zinazotolewa na vyama vya Siasa au wagombea ambazo zinachagia hofu kwa wapiga kura kujitokeza kupiga kura wakati wa Uchaguzi. Mfano wa kauli za vitisho ni "Jino kwa Jino" "Moto utawaka siku ya Uchaguzi" Je, wewe mdau...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna Shida gani PAYPAL

    Najribu kufanya Malipo kupitia PAYPAL lakini naona kama kuna shida ambayo siielewi. Je kuna mwingine ambaye anapata shida kwenye kulipa kwa kutumia Paypal?
  19. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania kama hatuwezi kuendesha Bandari ni kipi tunaweza? Huko CCM kuna shida gani?

    Habari JF, Hivi Watanzania tunashindwa kuendesha kitu ambacho hakituhitaji tuweke mtaji tutengeneze au tuuze vitu kisha tufanye hesabu ya faida tuliyopata, tutaweza kufanya kipi? Unahitaji nguvu, tunayo ya kutosha. Unahitaji Vifaa na mitambo/mashine, uwezo wa kununua tunao. Unahitaji uweke...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Zitto unatuambia Mkataba unaenda Bunge gani?

    Zitto amegoma kukosoa content za mkataba alichoona yeye ni mjadala wa Bunge kwamba ndiyo mara Kwanza. Lakini hataki pia kutuambia kinachokwenda bungeni ni Muswada, sheria au mkataba. Anashindwa pia kutuambia kwanini Bungeni liende azimio na madhara ya kuazimia yanawezaje kubadili signature...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…