gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Ni Waziri gani wa fedha anaeongoza kwa kukopa Mashirika ya Kimataifa tangu tupate uhuru?

    Ninaomba kufahamu Waziri wa Fedha aliyewahi kukopa sana toka tupate uhuru. Tupate pia na historia ya Waziri wa Fedha aliyekopa kidogo sana. Tufahamu kwanini huyo aliyekopa sana alikubaliwa akaaminiwa akakopeshwa sana, na huyu aliyekopa kidogo alitumia mbinu zipo kuendesha serikali na miradi ya...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Nifanye biashara gani. Ushauri wenu unahitajika

    Wakuu poleni na majukumu. Nimeweka akiba yangu ambayo baada ya miezi miwili inaweza fikia milioni 20. Nifanye biashara gani kwa kipato hicho Ushauri wenu ni muhimu sana
  3. JamiiForums Tanzania MSAADA: Huu ni ugonjwa gani wa Kuku?

    Kama Kichwa Cha Habari kinavyojieleza...hapo juu Naomba msaada kujua huu ni ugonjwa gani wa kuku na unasababishwa na nini ?na Tiba yake ni nini? Ni kuku wa kienyeji Mwenye kujua Tiba yake ikiwa madawa ya madukani au mitishamba naomba anijuze Nimeambatanisha na picha 👇🏿👇🏿
  4. JamiiForums Tanzania Huu ni ugonjwa gani wa kuku?

    Habari za Majukumu wakuu.... Niko na shida na Kuku wangu wa kienyeji... Ni Siku ya pili kuku wangu hachangamki hata kula awezi kula vizuri Baada yakumchunguza nimekuja kugundua kinyesi chake si Cha kawaida .. nimejaribu kuambatanisha na picha hapo chini👇🏿👇🏿 Mwenye kujua ugonjwa na tiba ikiwa...
  5. JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya kuchukua sampuli ya udongo wa kupeleka maabara?

    Heshima zenu wakuu! Nataka nianze kuliandaa shamba jipya kwa ajili ya msimu wa kilimo mwaka huu. Kwa kuwa ni eneo ambalo halijawahi kulimwa, nimeona ni vizuri nikaupime kwanza udongo wake ili nijue afya yake. Ni jinsi gani ya kuchukua sampuli ya udongo? Je, nichukue wa juu kabisa au wa ndani...
  6. JamiiForums Tanzania Nimeota Al Ahly ikishinda 0-4, wapinzani wao sikuona ni timu gani

    Habari za wikiendi na skukuu ya Baba wa Taifa. Bila kuchelewa ngoja niende kwenye mada husika. Usiku wa jana kuamkia leo nileota ndoto ya ajabu mpaka hivi sasa cjajua inamaana gani. Nimeota Al Ahly ya Misri ikishinda magoli 4-0 huku wapinzani wao sikuweza kuwaona ni timu gani. Mwenye ujuzi wa...
  7. JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani dunia inapata vipindi mbalimbali vya msimu (Kiangazi, Masika na Vuli)?

    Salama? Wataalamu naomba ufafanuzi kwa kurejea kichwa cha uzi maana nimeingia google naona wanaelezea kwa lugha ngumu za kisayansi. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wataalamu wakitoa somo hapa kwa lugha nyepesi zaidi ambayo hata kwa mtoto wa la saba akisoma atapata kitu. Nawasilisha.
  8. W

    JamiiForums Tanzania Hivi kunyonyana sehemu za siri kumetokeaje tokeaje? Kuna historia gani?

    Wenye ujuzi mnisaidie kuelewa hii kitu jamani. Ni nini historia yake? Ilikuaje yaani? Mbona imekuwa shida hivi? Na joto lote hili watu wananyonyana tu. Kuna maumbile tofauti tofauti yenye tabia tofauti; watu wanamung'unya chumvi tu. Pamoja na madaktari kusema kuwa maumbile ya kike yana kawaida...
  9. JamiiForums Tanzania Mahusiano yangu magumu mwanaume wangu hana hela

    Nina mahusiano na mwanaume kazi yake ni udereva, tulianza mahusiano mwaka Jana mwezi wa 11 hadi sasa tuko pamoja huyu mwanaume ana cheti kizuri tu cha kidato cha nne hata pharmacy anaweza soma akihitaji lakini hataki kwenda shule anasema anapenda udereva Shida ni kwamba hana pesa anasema...
  10. JamiiForums Tanzania Vita ya HAMAS-Israel vinatoa picha na ishara gani kwa Afrika?

    Imepita siku 4 toka vita hii ianze lakini tayari Washirika wa Umoja wa Mataifa na Walinda Usalama wa Dunia wametoa misimamo yao katika vita hii. Afrika tunajifunza nini?
  11. JamiiForums Tanzania Ni Mazingira gani ya mtoto huyu kupotea

    Salaam na jukwaa, Nitangulize samahani kwa uandishi mbovu (usiofata kanuni) na moja kwa moja naenda kwenye mada. Kutoka shehia ya kibweni mtaa wa Mwanyanya Zanzibar kuna mtoto wa kiume alipotea kwenye mazingira yasiyo fahamika na hadi sasa juhudi za kumpata zimegonga mwamba. Chanzo cha...
  12. JamiiForums Tanzania Unataka mwanamke wa aina Gani?

    Kwa dunia ya sasa kuna wanawake wa aina mbili. 1. Muaminifu ila mkorofi, Wivu na mgomvi..... 2. Msaliti ila mpole anakupa amani muda wote...... 3. Ni mwaminifu ila Yupo bize na kazi zake za kutafuta hela...... 4. Msaliti ila kila anachopata anakula na wewe...... 5. Anaependa "Tit for tat" ...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mafanikio gani kwenye kushiriki mikutano ya Conference of Parties maarufu kama COP?

    Toka mikutano hii ya Mabadiliko ya Tabia Nchi maarufu kama COP ianze, Tanzania tumefaidika na nini? Mwaka jana ilikuwa inaitwa COP27 na ilifanyika nchini Egypt na mwaka huu inaitwa COP28 na itafanyika Dubai. Mwaka ujao 2024 itakuwa COP29. Najaribu kujiuliza kama taifa tumefaidika namna gani...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kitu gani huwakosesha kujiamini watu maarufu?

    Huwa inanishangaza haswa katika siasa, wagombea warefu wanavyopewa sifa na kuonekana bora zaidi kuliko wafupi. Kana kwamba kwa namna fulani wao ni wa kiume zaidi, na wenye nguvu kwa sababu tu ya hizo inchi chache za ziada za urefu. Chukua kwa mfano mgombea urais wa Marekani Ron DeSantis, pichani...
  15. JamiiForums Tanzania Nauli ya basi la kutoka moshi mpaka mwanza ni kiasi gani

    Habari wakuu , naomba kuuliza...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Jamani mikopo ya HESLB msg hii ina maana gani

    Msg hii ina maana gani : Conglatulation your application is verified complete wait for ALLOCATION PROCESS Allocation process ina maana gani, nimepata nasubiri parcentage allocation au ni ndiyo wanaanza kuona nani apate na nani asipata
  17. JamiiForums Tanzania Kuna madhara gani kutumia mafuta yaliyopita muda wake?

    Haya mafuta yapo mengi madukani yameexpai, chukueni hatua wahusika.
  18. JamiiForums Tanzania Je Al Ahly imewahi kuifunga timu Gani ya Tanzania goli 5-0

    Kuelekea mechi za Simba na Al ahly super league na Yanga na Al ahly CafCl.. Nafahamu washawai kupigwa Moja bila na Yanga. Goli la Canavaro sasa nawauliza watunza kumbukumbu hivi washawai kuifunga timu ya TZ goli tano
  19. JamiiForums Tanzania Nipo katikati sijui nichukue uamuzi gani. Msaada!

    Wakuu mm niko late 20s sasa bibi angu mzaa baba amekua akinisisitiza swala la kuoa ila namkwepa. Nilivyoenda nyumban bibi alienda kwa kaka zake kijijini akakodineti mipango kwa binti fulani hivi. Yaani huyo binti kaka zake wote wanamsifia kwamba ni mchapakazi, Ana heshima, Sio muongeaji sana...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kama waziri alimtongoza demu wa Diamond kisha kumtaka atunge wimbo wakuisifia serikali; wasanii wengine wanapitia madhila kiasi gani?

    Natafakari kwanini wasanii wetu wanapopata changamoto au mafanikio ushindwa kuyasimamia badala yake utafuta wanasiasa wawalinde. Diamond anasema demu wake alitongozwa na waziri na kisha waziri huyo huyo anawalipa wamfisie yeye na wizara yake. Na hata baada ya kubainika kuwa huyo waziri alitumia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…