gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Imepita miaka 7 toka tumeachana, jana kanitumia SMS ya kejeli

    Wakuu mulibwanji? Mambo huku ni tabulele laaa.... Nilipokuwa chuo nlikuwa kwenye mahusiano na mdada mmoja wa Kiha nlimpenda sana na tulifanikiwa kupata mtoto 1, kiukweli nlitamani ndo awe wife kumbe nilikuwa najiandalia bomu hasa alipotangulia kupata kazi. Alikuwa kasomea ualimu, nilianza pewa...
  2. JamiiForums Tanzania Nyimbo za maudhui ya matusi zina utofauti gani na taswira ya madanguro?

    ■Mashairi ya matusi na ngono ■Kuvaa nusu uchi ■Uchezaji dance wa namna ya kingono Hauwezi ukaangalia hizi kama uko na mtoto wako au mtu wa wa kuheshimiana. Ila ndio nyimbo madogo wanakalili huku wakijijengea picha ya kuwa wanayao yaona au kuyasikia katika videos hizi ni ya kawaida na modernity...
  3. JamiiForums Tanzania Namna gani pale great thinkers na matajiri wa JamiiForums. Hili sikulitegemea kabisa

    Nimekutana na hizi nyuzi zifuatazo zimenisikitisha sana 1. Nimepiga block ombaomba wote mpaka baba na mama huu uzi umetoka kwa lijendari great thinker Mpwayungu Village aisee imenisikitisha sana. Mi naona tusifike huko jamani great thinkers, kumbukeni hawa wazazi wetu kwanza wengi wao - wazazi...
  4. JamiiForums Tanzania Ucheleweshaji wa mizigo Bandarini; Mwarabu aanze kazi?

    Wenye experience na vikwazo kama hivi, mliokomaa kiroho kusubiri mzigo mwezi mzima alafu uje ukae bandarini hivi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wabeba Mizigo Mlima Kilimanjaro Wanalipwa Kiasi gani kwa siku?

    Wakuu swali langu ni hilo wale wagumu aka ma-porter wanaopanda Mlima Kilimanjaro Wanalipwa Kiasi gani kwa siku au kwa mwezi?
  6. JamiiForums Tanzania Mbali na kura za UN kupinga uvamizi wa wayahudi huko Gaza, Israel hajali, Kwani hii nchi ya Wayahudi inanguvu kiasi gani?

    Ninawasiwasi na baadhi yetu waswahili kuwa tunawajua juu juu tu, hawa Wayahudi, tuna lopoka tu hata tusijue hao Mayahudi ni kina nani haswa Nilitarajia Urusi, Irani, Korea na hata China waingilie kati, kwa sababu ya uswahiba wa nchi hii ya kiyahudi na US, lakini wapi, Israeli ni nani? Hata...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Nani anaweza kutueleza kwa kifupi bunge limefikia maamuzi gani kuhusu Madudu ya yaliyoripotiwa na CAG? Ndio tuseme tunasubiri ripoti nyingine mwakani?

    Nimeona wabunge na mawaziri wamemaliza kujadili ripoti ya CAG. Kwa namna mambo yalivyokwenda ni kama spika amesimama na mawaziri kufunika kombe. Lakini wakati huo wabunge wakiamua kuungana na mawaziri dakika ya mwisho kwa kupiga makofi kama walivyopigiana wakati wakichangia. Cha msingi zaidi ni...
  8. JamiiForums Tanzania Addiction: Nje ya pombe, sex na kubeti una uraibu gani?

    Maziwa ya mgando kwangu ni kama mboga za majani, chakula hakishuki bila mtindi Kwa siku lazima nitumie gb 2 hadi 3, nazitumia kucheki youtube, netfllx, video calls, backups, updates, n.k. jf inatumia data kidogo sana Sigara iliwahi kuwa kama ibada kwangu, nashukuru nimeacha
  9. JamiiForums Tanzania Changamoto gani wanapata wahitimu baada ya kumaliza chuo?

    Wote tunajua maisha baada ya kuhitimu ni safari iliyojaa fursa na changamoto. Kwa kutambua na kufanya kazi kwa bidii kuzishinda changamoto hizi, wahitimu wapya wanaweza kujenga njia ya kufanikiwa na kazi yenye kuridhisha. Kukumbatia sura hii mpya kwa azimio, uvumilivu, na mtazamo wa kukua...
  10. JamiiForums Tanzania Aliyemuumba ndiye aliyesema tuishi naye kwa akili, huyu kiumbe ni wa aina gani?

    Salamu ni chanzo cha umasikini,huwezi elewa hili hadi uwe na Akili timamu! Wakati nikiwa mdogo nilidhani nyoka ndiye kiumbe hatari kuliko vyote duniani,lakini kumbe nilikuwa sijafahamu ilikuwa ni akili ya kitoto tu!. Nilipokuwa mtu mzima nimekuja kugundua kiumbe aitwaye "Mwanamke" ndiye kiumbe...
  11. JamiiForums Tanzania Mama kanitukana nichukue hatua gani?

    Kuna vitu mama anataka kuforce ila kafikia hatua mbaya, napanga kumshtaki kwa wajomba zangu
  12. H

    JamiiForums Tanzania Nataka nirudishe rangi ya ngozi yangu lotion au mafuta gani yananifaa

    Habari wanajf By the way mimi ni mweupe Ndio rangi yangu halisi Ila rangi yangu ya uso imebadilika nimekuwa maji ya kunde lakini sehemu zote zilizobakia rangi yangu imebaki Ile Ile nyeupe so ningeomba mnitajie lotion au mafuta sahihi ya kurudisha ngozi yangu Nifah njoo unisaidie hapa kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Mfanano wa mafundisho ya Yesu na mafundisho ya Krishna unakupa picha gani?

    Amani iwe nanyi Angalizo: Kabla ya yote Enyi ndugu zangu napenda kutoa angalizo kwamba Yatakayoongelewa hapa ni kwa lengo la kujifunza na si katika muktadha wa maana yoyote nyingine.. Kama mada inavyojieleza Kuhusu Mafundisho ya hao watakatifu wawili.. watakatifu hao wamekuwa sio tu na...
  14. JamiiForums Tanzania Ni swali gani mwanamke akiuliza unapomtongoza utamueshimu

    Wanawake wengi unapowatongoza huwa wana tabia ya kuuliza vimaswali wanapokaribia kukubali, haijalishi umri wao maswali mengi huwa NI ya kijinga na yanapelekeaga wanaume wengi kuwachukulia powaa Sana. Je ni maswali ambayo mwanamke anapokaribia kukubali akikuliza mwanaume UTAMUESHIMU sana
  15. JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani wa kufanya skimming kwenye nyumba ?

    Hii kitu kwa saivi imefanywa kama ni kitu ya lazima kwenye ujenzi wa nyumba. Mi sioni kama ni kitu chenye umuhimu kiviile, zaidi naona ni kuongezeana gharama tu bila sababu ya msingi. Nipe mtazamo wako.
  16. D

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani katika vijiwe vya kahawa kwa viongozi wa CCM?

    Kuna mambo ukiona yanajirudia ni vizuri kujiuliza ili kujifunza. Wana JF tusaidiane. Enzi za uhai wake tulimwona Hayati John Pombe Magufuli akinywa kahawa na vijana wake huko Chato. Hivi majuzi akiwa ziarani Singida tukaoneshwa picha Rais Samia Suluhu Hassan naye akiwa na kina mama katika...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Huko dunia ya Ulaya kuna jambo gani kuhusu Afrika?

    Mfalme Charles wa Uingereza Kaingia Kenya Kwa ziara ambayo ilijulikana kabla. Lakini tukasikia na Rais wa Ujerumani naye Kaingia Tanzania kwa ziara ya kikazi. Kule Kenya Mfalme huyo amejutia yale yaliyowasibu wakenya wakati wa Kupigania uhuru wao na huku Tanzania tunaambiwa Rais huyo...
  18. JamiiForums Tanzania Ni App gani ya manunuzi mtandaoni, naweza kuagiza bidhaa kama vile Flash disk au T-Shirt , na zikawa Printed kwa Jina ninalotaka mimi?

    Najaribu kufanya research ya kuangalia kati ya Aliexpress, Kikuu au Alibaba App ambayo ina uhakika na wanaweza kuniletea bidhaa kwa jina ninalotaka mimi. Naomba msaada.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Ni kiongozi gani wa kisiasa amewahi kutumia bajaji na pikipiki kutekeleza majukumu yake? Je, Makonda akiwa RC aliwahi kufanya hivyo? Kwanini sasa?

    Kuna vitu vinatafakarisha. Viongozi wa kisiasa wanatumia magari ya mamilioni na hakuna aliye tayari baada ya kupewa ofisi atumie bajaji wala pikipiki. Leo kuna mtu anaacha V8 na kupanda bajaji kuingia ofisini. Je, haya ndiyo maisha yake? Kama siyo maisha yake anafanya kwa manufaa ya nani...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa milioni 7 msaada nifanye biashara gani

    Mimi ni mwajiriwa niko maeneo ya Kijijini Nina kahela nmesave sh milioni 7 nataka nizungushe kanipatie faida Biashara gani itanifaa maana huku nilipo mzunguko wa hela ni mdogo. Napata wakati mgumu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…