gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Unaachana na tabia gani 2024?

    Heri ya krismass kwa wakristo wote Kuelekea mwaka 2024 imebaki wiki moja. Kunatabia ninaziacha mwaka huu👇 1. Kubeti 2. Futa account insta , fb na twitter 3. Kuacha kushabikia yanga 4. Kuacha kabisa ngono Na-replace na hizi tabia👇 1. Kufanya mazoezi 2. Sala 3. Kujipenda mwenyewe 4. Kusoma...
  2. JamiiForums Tanzania Unatabiri nafasi moja iliyobaki itaenda kwa timu gani kutoka Africa kushiriki kombe la dunia la vilabu ?

    Kati ya Cr Belouizdad, Petro De Luanda na Simba Kuna timu itaweza kufikia points 75 za ES TUNIS ?
  3. JamiiForums Tanzania Asec schools wana jipya gani. Maana naona ime trend sana.

    Kuna shule nyingi zime simama shule kama Tusiime Zhabika St Ane Maria Fortune Sahara Abc school FOUNTAIN GATE ACADEMY GREENHILL PRIMARY SCHOOL MAJMAAL BAHRAIN PRIMARY STMAXIMILIAN PRIMARY SCHOOL - PS0202113 Ziko fire kwanini hawa Ask school wasumbue hivi??
  4. JamiiForums Tanzania Sharti gani gumu uliwahi pewa na mwenye nyumba kwenye nyumba za kupanga?

    Sijakosea. Nafahamu fika kuwa members wote wa JamiiForums tuna majengo makubwa sana hasa maeneo ya Sinza na Oestabey, lakini yote kwa yote, wengi wetu tumewahi panga vyumba kabla ya kujenga Ni sharti lipi gumu uliwahi pewa na mwenye nyumba ndani ya nyumba yake ulipopanga kwake?
  5. JamiiForums Tanzania Ni Msemo gani Umebamba Sana Mitaani Mwaka Huu 2023

    Kumekuwa na misemo mingi sana iliyotamba na kushika umaarufu mitaani kwetu. Wanajamvi tukumbushane hapa misemo iliyojipatia umaarufu nchini katika mwaka huu wa 2023 ambao umebakiza siku chache utamatike.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Je umesoma kitabu gani kizuri mwaka huu?. Please share nasi tupate maarifa pia

    Tafadhali Tupia kitabu kilichobadilsha fikra zako au maisha Yako, ulichokisoma mwaka huu.
  7. JamiiForums Tanzania Kitu gani kinapelekea mshahara kutoka kwa mafungu awamu hii?

    Natamani kujua, Maana kwa uelewa wangu kama ni system ingeweza kuwa tofauti ya dakika tu, au angalau range ya masaa mawili kwa Kila mfanyakazi kupata mshahara, Lakini Hali hii ya mpishano zaidi ya siku mbili mpaka tatu ni wazi Kuna shida mahali.. Wasi wasi wangu ni kuwa pengine mheshimiwa Raisi...
  8. JamiiForums Tanzania Ndoto gani uliwahi kuota ikakufikirisha sana?

    Nilijikuta niko kwenye nyumba yenye njia kama barabara ya kwenda underground floor (basement hivi). Kuta za hiyo nyumba zilipakwa rangi ya yellow (njano) na nilivyopiga kama nusu mzunguko niliona ukutani kulikuwa na picha ya nyoka mkubwa kichwa kama kilikuwa juu kama kwanye ground-floor kwa vile...
  9. JamiiForums Tanzania Huduma gani imekuwa Kero kubwa katika eneo lako kwa mwaka 2023?

    Mwaka 2023 unaenda mwishoni na mambo mengi yametokea. Tukiangalia huduma za kijamii pia kuna mengi yamefanyika lakini bado matatizo hayaishi. Kwa upande wako vipi huduma gani imekuwa kero kubwa kwako?
  10. JamiiForums Tanzania Huwa unatumia vigezo gani kumjua mshamba?

    Mshamba ni nani? Jibu : Mshamba ni mshamba. Haya sasa utamjuaje mshamba au huwa unatumia vigezo gani kuconclude kwamba mtu fulani ni mshamba? Mimi huwaga naangalia vitu kadha wa kadha. Baadhi ya vitu hivyo ni hivi hapa chini👇 1. Akiwa anatumia True Caller. Unapiga simu kwa Mwnyekiti...
  11. JamiiForums Tanzania Haya ni maharage gani?

    Kwa Kiha yanaitwa KINULE! Kwa Kiswahili yanaitwaje? Au ndiyo NGWARA? Yanalimwa zaidi nchini Burundi. Ni watu wachache sana wanaoyalima Kigoma. Mengi yaliyopo "masokoni" Kigoma yametoka huko. Kwa anayefahamu atusaidie jina kwa Kiswahili na upatikanaji wake ulivyo, na bei pia, katika miji...
  12. JamiiForums Tanzania Oven ya ukubwa gani itafaa kwa matumizi ya familia ya watu 6?

    Wakuu salamu kwenu, Heri ya mwaka mpya 2024. Sasa wakuu, nahitaji kununua oven kwa ajiili ya matumizi ya familia ya watu 6-8. Ni oven kampuni gani nzuri itanifaa na za ujazo wa litre ngapi?
  13. JamiiForums Tanzania Wataalam wa afya, Maiti huanza kuoza baada ya muda gani?

    Wataalam wa afya kwa yoyote mwenye ufahamu kuhusu hili. Maiti huanza kuoza baada ya muda gani kupita na hutumia muda gani kuweza kumalizika yote na kubaki mifupa tu? Note. Kwa maiti zote zilizo achwa wazi na zilizo zikwa ardhini
  14. JamiiForums Tanzania HIVI INACHUKUA MDA GANI MPAKA UTAKE TENA

    Guys, ukiwa na girfriend wako uka do nae inatakuwa u do nae tena baada ya mda gani, maana huyu wangu namuomba kwa wiki mara 4 anasema nampleka sana na hata sijamuoa, nikioa si ndio atakuwa hafanyi kazi zingine ni kunipa tu. Ndio nawaza mda gan upite ili mtu asione uko na ugwadu sana
  15. JamiiForums Tanzania Huu ni mmea gani?

    Nimeukuta mkoani Kigoma. Wenyeji wanasema matunda yake ni matamu na yanaliwa. Huenda ni dragon fruits ya Kiafrika? Inasemekana, dragon fruits ni kati ya matunda ghali sana Afrika Mashariki! Ninataka nikaipande shambani kwangu. Kuna mtu anayefahamu kama yana soko? Kama yana soko, nitaipanda...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna uhusiano gani kati ya ngono na akili?

    Salaaam!!! Hivi ni kweli kwa mtu anaefanya mapenzi sana na kwa mda mrefu anaweza kuwa na reasoning kuliko yule asiyependa kufanya mapenzi?? naombeni majibu uhusiano wa mapenzi na akili.
  17. JamiiForums Tanzania Tuzo zinazotolewa kwa wasanii ndani na nje ya nchi huwa zinaambatana na zawadi za pesa taslimu? Ni kiasi gani?

    Natamani kujuzwa juu ya tuzo hizi zinavyotolewa kuanzia za ndani mpaka za kimataifa, kuna wasanii huwa wanafunga safari kwenda kuzifuata kwa gharama kubwa sana na wanaporejea wanatuonyesha zile tuzo ila huwa hawasemi thamani yake au fedha waliyopata kulingana na ushindi huo wa tuzo. Nataka pia...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna huduma ya data recovery? Inagharimu kiasi gani?

    Habari wakuu sana. Hivi hapa kwetu huduma ya data recovery kitaalamu ikitokea mtu disk yake imeroga inapatikana wapi? Inagharimu kiasi gani huduma hiyo?
  19. JamiiForums Tanzania Utapika chakula gani Xmas hii?

    Wazee wa madikodiko kwema? Xmas hiyo inakuja, umejipanga kutoka na sotojo gani? Kwa upande wangu najua pilau na juice moja matata havitakosa kwenye menu yangu, vingine hivyo vitakuwa vya ziada tu ula ubweche huu lazima ufinywagwe siku hiyo. Vipi kwa upande wako, umejipanga kupika nini Xmas...
  20. JamiiForums Tanzania Ni tukio gani lilitokea ukiwa mbali na mazingira husika ukatamani ungekuwepo kwa muda huo?

    Habari wakuu, maisha yana mjumuiko wa matukio mengi sana. Kuna matukio ambayo wengi wetu tunapenda kuyasikia sana na hayatupi shida yeyote, haya ni matukio mazuri au habari njema mfano, kupata mtoto, mavuno mazuri n.k Kuna matukio tusiyopenda kuyasikia ni mwiba mkali maishani mwetu kwa wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…