Unasikiliza nyimbo gani kalii hapo

Kupanda - Madilu systeme.
Zinazofuata.
Nzele - Madilu systeme.
Si je savais ça - Madilu systeme.
nitamaliza na vibao viwili vya mwana mama faya Tess.
Makambo Mibale - Faya Tess.
Mokolo nakokufa - Faya Tess.

Huu mziki wa sikuhizi naona kelele tu hauna mashairi Safi, lakini kuna wachache wanafanya vizuri.
 
Kupanda - Madilu systeme.
Zinazofuata.
Nzele - Madilu systeme.
Si je savais ça - Madilu systeme.
nitamaliza na vibao viwili vya mwana mama faya Tess.
Makambo Mibale - Faya Tess.
Mokolo nakokufa
Screenshot_20230922-203644.jpg
- Faya Tess.

Huu mziki wa sikuhizi naona kelele tu hauna mashairi Safi, lakini kuna wachache wanafanya vizuri.
Hapo patamu sana mkuu
 
Nilianza na diamond..Achii, Chitaki, Ewaah...nikenda kwa Remmy ongala, kisha nikarudi kwa twanga pepeta jirani...mwisho Kilimanjaro njeje...naelekea kulaza fuvu now
 
Nilianza na diamond..Achii, Chitaki, Ewaah...nikenda kwa Remmy ongala, kisha nikarudi kwa twanga pepeta jirani...mwisho Kilimanjaro njeje...naelekea kulaza fuvu now
Hapo pazuri sana mzee mie leo nilikuwa nalamba za fally ipupa
Screenshot_20230922-203644.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom