gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni mambo gani huwezi kufanya au kumwambia mama yako mzazi

    Kwa wale ambao mmepata neema ya kuwa na mama Mpaka sasa Hivi ni mambo gani haupo comfortable kabisa kuzungumza na mzazi wako labda itokee yeye aanzishe. Mimi binafsi yako mengi ila.:- 1.Siwezi kupiga picha na mama ya pamoja labda itokee bahati mbaya tumepiga ile ya familia pamoja ila sisi mimi...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Una chapa/Alama/ utambulisho gani katika paji lako la uso?

    Salaam, Shalom!! ALAMA /MUHURI/NEMBO Ina KAZI maalum ya kutambulisha bidhaa au Mali Ili kuonyesha mmiliki halali wa kitu au Mali hiyo, NEMBO, ALAMA au CHAPA, Kwa mifugo Kwa Mfano, zipo kutofautisha mifugo kati ya mmiliki huyu na yule. Waliosafiri Kwa treni enzi zile, wezi walikuwa wanawawekea...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Pasaka unailia kiwanja gani?

    Asalaam, Hakika Mwana Kondoo amefufuka na hivyo basi tumfuate, Kheri za Pasaka kwenu. Bila kupoteza muda tupeane code ni wapi leo utaenda kufurahia sherehe zako za pasaka ukishashiba pilau la nyumbani kwako. Karibuni.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ukikusanya bando za internet umenunua ndani ya miaka 5 ungekuwa umenunua kitu gani cha thamani?

    Wakuu kwema? Pasaka inaenda vyedi? Wenye mko kwenye mfungo, swaumu njema. Jamani bando ni gharama ni gharama si mchezo hasa kwa watu wanaotegemea bando kufanya shughuli zao, kama mnavyojua mambo mengi sasa hivi yanamalizika mtandaoni. Bando ni gharama kubwa sana, na hazikai! Unaweka bando la...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi drone haiwezi Fanya hii kazi ili lote Lina umuhimu gani?

    https://www.instagram.com/reel/C1nDREBvrDI/?igsh=MzY1NDJmNzMyNQ==
  6. JamiiForums Tanzania Pedesheee Amos Makalla ana tatizo gani, Mbona anakumbwa na utenguzi mara kwa mara?

    Mfadhili wa Zamani wa FM ACADEMIA , ambaye pia aliwahi kuwa mweka hazina wa CCM TAIFA , Amos Makalla , aliyepachikwa sifa ya Kikongo na kuitwa Pedeshee Makalla , yaani mfadhili muhimu wa Bendi hiyo kama walivyo akina JOKHA KABENGELE , COCO MADIMBA , JOSE KONGOLO na wengine wa huko Congo DRC ...
  7. G

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anataka mtu wa namna gani kwenye nafasi ya Uenezi wa CCM?

    Tangu mama awe mwenyekiti wa ccm taifa ameteua na kiwatengua watu 4 kwenye nafasi ya uenezi. 1. Alimtengua Humphrey Polepole. Mtu mwenye akili na uwezo mzuri wa ku -connect na hadhira anapozungumza 2. Alimteua na kumtengua Abdul Shaka (mpwa wake kabisa). 3. Alimteua na kumtengua Sophia Mjema...
  8. JamiiForums Tanzania Mfumo gani mbadala kwa style ya mamelodi waliyocheza first half?

    Kwa walioangalia first half, je ni mfumo gani rahisi kuchukua mpira na kuumiliki kwa mbinu waliyotumia Mamelodi first half? Kama timu imekuja na tricky ile mnafanyaje?au mtumie mfumo gani? Maana kwa timu inayotafuta matokeo ile mbinu yao inakera inabidi kuwasubiria tu waanzishe shambulizi wao.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kipindi mke/ girlfriend yupo siku zake unatumia mbinu gani kupunguza uchu?

    Kun mud Upwiru huwa unabana ila mwanamke ulienae kaumbwa kuwa kwenye siku zake 3 hadi wiki, huo moto unauzimaje? umetoka safarin umerud mke yuko sikuzake afu ndo siku ya kwanza kabisa kaanza na anaenda siku 5 afu kumbuka wiki nzima hamjaonana na mda wa kukaa naye ni siku tatu unarud job...
  10. JamiiForums Tanzania Unavijua hivi vibanda?

    Wakuu kwema? Hivi vibanda vinasaidia sana wafanyabiashara wadogo kuanza kujitafuta. Naomba kujua yafuatayo: 1- kwa anayetaka kununua, vinauzwa bei gani? 2- kwa anayetaka kukodi, kinakodishwa bei gani? 3- kama nikinunua nikawa nacho nataka kukiweka barabarani, process yake ipoje??
  11. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga SC mlioko Mkoani Morogoro semeni leo mtakuwa Ukumbi gani ili GENTAMYCINE nije kuwatizama Wanaojua Yanga SC leo Usiku

    Naenda Kutambika kwa Babu yangu Mkoani Morogoro na kula Pasaka ila napenda Leo nijumuike na wana Yanga SC kuitizama ikicheza na Mamelodi Sundowns FC. Wa Morogoro semeni mtakuwa Ukumbi gani ili nije na hakikisheni huo Ukumbi nje uwe na Mademu na Gesti ziwe Jirani ili nikimaliza Kushangiiia...
  12. JamiiForums Tanzania Hichi ni nini na kina maana gani wakuu

  13. JamiiForums Tanzania Hivi ni ujinga kiasi gani mtu anapaswa kuwa nao mpaka atume pesa kwa mtu au kampuni hewa?

    Karibu kila wiki nakutana na matapeli wa mtandao kwa style tofauti. Huwa nawaacha mpaka waone pesa hizi hapa ndipo nawachana kuwa njia zao za utapeli ni za kitoto hivyo wanapaswa wabadili njia au waache hiyo kazi haramu wamrudie Mungu. Wengi wanaishia kunitukana na kuniblock maana nakuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna haja gani ya muungano polisi kukamata wakristo huko Zanzibari wanaokula mchana?

    Nimesikitishwa na hali inayoendelea Zanzibari kukamata watu wanaokula mchana nakupewa kipigo hali hii imekuwa inajitokeza kila mwaka mwezi huu wa ramadhani Kilichonisikisha mwaka huu vyombo vya dola kuendelea na zoezi hili la kukamata watu wanaokula mchana ni jambo baya sana halileti afya kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Wacheza kamari hivi mnajua Yanga kapewa odds ndogo dhidi ya Mamelodi, kuna ishara gani hapa?

    Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza YANGA 2.45 vs 2.90 MAMELODI hapa kuna ishara gani? Ila wale Ijumaa kuu fc wamepewa 2.75 Vs 2.40 Taifa la Ahly . Wacha inyeshe.
  16. N

    JamiiForums Tanzania Hii picha Ina tatizo gani

    Imepostiwa na Page ya club ya Al Ahly katika kurasa zao je? Ina shida Gani!
  17. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna ushahidi gani wa kwamba mimea haipati maumivu inapokatwa?

    Mnisamehe na swali langu hilo wadau, lakini naomba tu mnijulishe au mnikumbushe! Ahsante.
  18. C

    JamiiForums Tanzania Picha: Hili ni tatizo gani la ngozi?

  19. JamiiForums Tanzania Motto/ Kauli mbiu gani ya taasisi gani huwa inakuvutia?

    Mimi napenda sana motto kuhusu US Navy SEALs, usemao “The only easy day was yesterday” “It pays to be a winner” “Never out of the fight”. Kauli mbiu hii ina lengo la kuwatia moyo wapambanaji wa kikosi hiki. Ukija katika maisha ya kawaida, hautakiwi kukata tamaa, pambana sana na usifikirie...
  20. JamiiForums Tanzania Mchezaji gani anastahili tuzo hii?

    Jaribu kufikiria kama kungekuwa na tuzo ya mchezaji anayekaa sana benchi (bench d’or) nani angeshinda tuzo hiyo?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…