Utak
JF-Expert Member
- Jul 1, 2025
- 522
- 2,069
Wakati mwingine unakutana na mtu ukiwa na nia ya “tutacheza tu, hakuna future,” lakini kadri muda unavyopita — mazungumzo yanakuwa mazuri, vibe inakaa fresh, na ghafla moyo unaanza kuwekeza bila mpango.
Ni kama kuingia dukani kwa nia ya “kununua maji tu” halafu unajikuta umetoka na kikapu kizima cha vitu usivyopanga.
Kifupi mwenzenu nimekufa nimeoza kwa huyu binti, maombi yenu tafadhali!!
Ni kama kuingia dukani kwa nia ya “kununua maji tu” halafu unajikuta umetoka na kikapu kizima cha vitu usivyopanga.
Kifupi mwenzenu nimekufa nimeoza kwa huyu binti, maombi yenu tafadhali!!