Fursa zipo shida ni sisi

neno ni upanga

Senior Member
Jun 28, 2022
189
725
Habari wakuu, jana nilileta bandiko hapa kwa wale wasio na kazi au wenye kupata japo masaa mawili kwa siku kuwa kwenye mtandao kutengeneza pesa kupitia simu zao wengi walibeza, lakini nilichokigundua kuwa wengi humu mmekaririshwa kuwa yeyote anayekuja humu na tangazo la fursa ni tapeli kitu ambacho sio kweli, kuna vijana wa kitanzania wametengeneza fursa nyingi kupitia mtandaoni na maisha yao yanaendelea, na wanapata pesa nyingi sana, shida humu wengi mna maisha yenu, mmeajriwa mnawakqtisha vijana fursa, Leo hii kuna vijana wengi wapo vyuo vikuu muda ule wanaotumia kupumzika wanaweza kuutumia kutengeneza fedha,, ni kweli kwamba biashara na matangazo mengi ya mtandaoni yamekuwa ya kitapeli lakini nikwambie kuwa kuna mengine ni fursa kweli hupaswi kubeza, mfano ni kampuni ya App pesa hii ipo hapa hapa Tanzania kuna vijana wengi wameajiajiri kupitia kampuni hii, na wanapata pesa kila siku, kampuni wanauza view kila unapoview video, YouTube, tiktok, Facebook, Instagram na kujibu maswali yao kila siku unaingiziwa hela yako kwenye account! Sasa unakuta kijana Ana chezea simu masaa mpaka 7 kwa siku na hajaingiza hata 1000/= lakini kuna watu wamebuni fursa mtandaoni na wamesaidiq wengi, wewe kama unahisi huu ni utapeli, ingia mtandaoni search neno App pesa, utakutana nayo huko, fuatilia kuanzishwa kwake mpaka kazi inayofanyika huko, baada ya kuridhika njoo uncomment huku kama ni utapeli! Kimsingi kila kitu kina gharama zake kwa ajili ya aliyeanzisha hiyo app lakini hupaswi kuogopa maana hiyo hela unaweza kuirudishq ndani ya Lisaa moja, nimekuja kuwashirikisha maana mm mwenyewe ni mnufaika wa hii, lakini kutokana kuwa bado wanahitaji watu ndo maana tunawashirikisha hasa kwa wale wanaotamani kuingiza pesa kupitia simu zao! Tazama Mfano hapa chini ukishajisajiri, malipo yanafanywa kama ifuatavyo ( wewe ambaye upo tiyari njoo inbox nikupe maelekezo) na jinsi ya kujisajiri
 
Attachments

  • Screenshot_20240209-122852_Chrome.jpg
    Screenshot_20240209-122852_Chrome.jpg
    65.5 KB · Views: 16
  • Screenshot_20240209-122602_Chrome.jpg
    Screenshot_20240209-122602_Chrome.jpg
    54.2 KB · Views: 13
Umeandika vibaya.
Wenye Pesa huwa ni wawasilishaji wazuri wa kile wanachotaka kusaidia watu. Hii tu inaonyesha bado kuna kitu unavizia na huna hizo pesa maana hata hivyo unasema kuna watu flani wanapesa maana yake wewe huna.
Kwa hiyo mabenk wanapopita kutoa elimu ili ujiunge nao maanake hawana hela!! Acha mawazo ya kukaririshwa ndugu, hakuna biashara isiyo na matangazo, na kutangaza haimanishi kuwa Huna hela sawa mkuu!! Wewe kama Huna interest nayo ni bora kunyamaza nayo ni hekima pia!
 
Habari wakuu, jana nilileta bandiko hapa kwa wale wasio na kazi au wenye kupata japo masaa mawili kwa siku kuwa kwenye mtandao kutengeneza pesa kupitia simu zao wengi walibeza, lakini nilichokigundua kuwa wengi humu mmekaririshwa kuwa yeyote anayekuja humu na tangazo la fursa ni tapeli kitu ambacho sio kweli, kuna vijana wa kitanzania wametengeneza fursa nyingi kupitia mtandaoni na maisha yao yanaendelea, na wanapata pesa nyingi sana, shida humu wengi mna maisha yenu, mmeajriwa mnawakqtisha vijana fursa, Leo hii kuna vijana wengi wapo vyuo vikuu muda ule wanaotumia kupumzika wanaweza kuutumia kutengeneza fedha,, ni kweli kwamba biashara na matangazo mengi ya mtandaoni yamekuwa ya kitapeli lakini nikwambie kuwa kuna mengine ni fursa kweli hupaswi kubeza, mfano ni kampuni ya App pesa hii ipo hapa hapa Tanzania kuna vijana wengi wameajiajiri kupitia kampuni hii, na wanapata pesa kila siku, kampuni wanauza view kila unapoview video, YouTube, tiktok, Facebook, Instagram na kujibu maswali yao kila siku unaingiziwa hela yako kwenye account! Sasa unakuta kijana Ana chezea simu masaa mpaka 7 kwa siku na hajaingiza hata 1000/= lakini kuna watu wamebuni fursa mtandaoni na wamesaidiq wengi, wewe kama unahisi huu ni utapeli, ingia mtandaoni search neno App pesa, utakutana nayo huko, fuatilia kuanzishwa kwake mpaka kazi inayofanyika huko, baada ya kuridhika njoo uncomment huku kama ni utapeli! Kimsingi kila kitu kina gharama zake kwa ajili ya aliyeanzisha hiyo app lakini hupaswi kuogopa maana hiyo hela unaweza kuirudishq ndani ya Lisaa moja, nimekuja kuwashirikisha maana mm mwenyewe ni mnufaika wa hii, lakini kutokana kuwa bado wanahitaji watu ndo maana tunawashirikisha hasa kwa wale wanaotamani kuingiza pesa kupitia simu zao! Tazama Mfano hapa chini ukishajisajiri, malipo yanafanywa kama ifuatavyo ( wewe ambaye upo tiyari njoo inbox nikupe maelekezo) na jinsi ya kujisajiri
Umejaribu kwa waalimu na vijana wa Chuo? Ungewajaribu kwanza hao.
 
Kwa hiyo mabenk wanapopita kutoa elimu ili ujiunge nao maanake hawana hela!! Acha mawazo ya kukaririshwa ndugu, hakuna biashara isiyo na matangazo, na kutangaza haimanishi kuwa Huna hela sawa mkuu!! Wewe kama Huna interest nayo ni bora kunyamaza nayo ni hekima pia!
Boresha uandishi ili kusudi lako liwafikie walengwa unliokusudia
 
Ni kweli fursa zipo mkuu.

Ila ni lazima utoe bidhaa au huduma ndo upate pesa.

Hapo unatoa bidhaa au huduma gani?

Eti 'vijana wamejiajiri' kuna uhakika gani wa app pesa kuwepo miaka 5 kutoka sasa?

Hiyo ni pyramid scheme, hela za waliojiunga sasa hivi inatumika kulipa wa zamani

Itafika mahali uplines ni wengi kuliko downlines, mtashangaa haipo

Hukumbuki mulaempire ya 2021? haya
 
Umejaribu kwa waalimu na vijana wa Chuo? Ungewajaribu kwanza hao.
Hii ni platform kama zilivyo zingine, na huku pia kuna watu ndo maana matangazo hata kwenye radio yapo, TV, na wengi wa hao ni wafuatiliaji wazuri wa mitandao ya kijamii, pamoja na hilo, lakini mitandao imeturahishia kazi mkuu!! Unaweza ukaenda chuo usiwapate wote, au pia usipate nafasi
 
Ni kweli fursa zipo mkuu.

Ila ni lazima utoe bidhaa au huduma ndo upate pesa.

Hapo unatoa bidhaa au huduma gani?

Eti 'vijana wamejiajiri' kuna uhakika gani wa app pesa kuwepo miaka 5 kutoka sasa?

Hiyo ni pyramid scheme, hela za waliojiunga sasa hivi inatumika kulipa wa zamani

Itafika mahali uplines ni wengi kuliko downlines, mtashangaa haipo

Hukumbuki mulaempire ya 2021? haya
Ukitumia mfano wa waliofeli hautafanikiwa mkuu, lakini hii app pesa ina vyote hivyo mkuu, kuna mpaka biashara huko, kuna watu wanatangaza bishara zao huko, lakini pia kuagiza mizigo, lakini lengo kubwa ni kuview kazi za watu, wao wananufaika na wewe unanufaika, lakini pia kuna mpaka mikopo ya papo kwa papo, naomba uje inbox nikupe namba yangu nitakuelekeza na kukutumia huduma zote unazozipata wewe!

Lakini swala la kuishi muda gani mimi na wewe hatujui, hata wewe kazi uliyo nayo una uhakika gani kuwa miaka mitano itakuepo?? Ya kesho tumwachie Mungu mkuu,.lakini ni imani yangu kuwa itakuwa inafanya vzr zaid kuliko Leo, ! Shida ya watu wengi wanaona mambo haya kama utapeli fulani, lakini nchi za wenzetu biashara nyingi zipo mtandaoni mkuu!! Karibu sana
 
Boresha uandishi ili kusudi lako liwafikie walengwa unliokusudia
Yamkini usinielewe mkuu na wengi hawatanielewa lakini kampuni hii hata ukiingia hapo kwenye play store ipo, kazi zake zinajulikana, shida ya watanzania tumezoea kazi za kuajiriwa physical lakini hizi za mtandaoni tunaona kama ni za kitapeli!! Lakini ukweli ni kwamba kuna watu wanaingiza pesa kwenye hii hii mitandao
 
mbona ukitaka kujiunga ni mpaka upewe linc kwahyo kwa sisi ambao hatutaki linc tunajiungaje? alafu unaposema ni fursa inam ufaishaje mtu anaetaka kutangaza biashara....

usiniambie nije inbox ww mwagika hapa anaeelewa ataelewa watakaobeza waache wabeze ila baadhi yao watakuja kukuomba uwaelekeze......
 
Mkuu hiyo link ukija inbox unapewa ni maswala ya kiusalama tu wala usijali ndo maana nilikuambia njoo inbox, siwezi kuiweka hapa hiyo link
 
hii ya leo KAHAWA, na ni ya moto kiasi..
kunyweni taratibu..
 
Attachments

  • istockphoto-493685876-612x612.jpg
    istockphoto-493685876-612x612.jpg
    37.9 KB · Views: 11
mbona ukitaka kujiunga ni mpaka upewe linc kwahyo kwa sisi ambao hatutaki linc tunajiungaje? alafu unaposema ni fursa inam ufaishaje mtu anaetaka kutangaza biashara....

usiniambie nije inbox ww mwagika hapa anaeelewa ataelewa watakaobeza waache wabeze ila baadhi yao watakuja kukuomba uwaelekeze......
M
hii ya leo KAHAWA, na ni ya moto kiasi..
kunyweni taratibu..
Karibu sana ndugu
 
Back
Top Bottom