Ndugu wapendwa mabibi na mabwana haswa wana Yanga wenzangu poleni sana, sana kwa yaliyotokea huko Tanga, kila jambo lina mapenzi mema siku zote.
Nieleze kifupi tu, kuna baadhi ya maombo hawa Makocha wapya A.K.A Wazungu wanahitaji kukubali ushirikiano na hasa kwa ma captain ama wazoefu...
Kwema Wakuu,
Na declare interest, Mimi ni mshabiki na mwanachama hai wa Simba Sport Club, hivyo Tahadhari na ushauri huu ninautoa Kwa nia njema kabisa Kwa lengo la kujenga timu yetu.
Watani zetu Yanga walicheza hapo juzi na Azam wakafanikiwa kushinda mechi yao lakini sisi tukaishia ku droo na...
Kujifunza kutokana na Makosa ndo huku sasa. Hatukutegemea Rais kufa akiwa madarakani. Makamu wa Rais huwa anateuliwa ilimradi ni mtu tu.
Sasa kama Katiba haitabadilishwa japo iseme kwamba
1. Rais akifariki madarakani uchaguzi mkuu ufanyike baada ya siku kama 90 hivi
2. Rais na Makamu wake...
Nasikitika sana kuona mtu anatetea fundisho la Utatu jambo ambalo ndani ya biblia halipo.
Upo ushahidi mwingi wa maandiko unaotofautisha Mungu, Yesu Kristo na Roho Takatifu ambayo waamini wa Utatu wanaita Roho Mtakatifu kama vile ni mtu. Je, Mungu anaonekana? Yesu alionekana, hakuna aliemuona...
Kwanza kabisa picha linaanza Harmonize alimpa Kajala password za simu zake na account zake za social media. Yani Kajala alikuwa na access ya every communication ya Harmo na Kajala alifanya same thing, alimpa Harmo password zake zote yani kulikuwa hakuna siri kati yako. Hapo mwishoni ndiyo Harmo...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba shule zote zilizofutiwa matokeo iwe fundisho kwa shule zingine, na najua tayari kuna dosari katka shule hizo naomba wachukuliwe hatua kuanzia uongozi wa shule, wasimamizi, Kwani hawnatofauti na wauaji.
Taifa linapata wataalamu wasio na sifa...
Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada.
Miaka kadhaa imepita naona tabia zangu zimechange Sana. Ilikuwa Mwaka 2000 nilipoanza kunywa bia, tena safari. Tabia hii nilianza kutokana na mienendo yangu binafsi Kwa mfano kujenga confidence.
Mwaka huo nilikuwa na vihela kiasi. Pombe nilipiga walau...
Ni dhahiri kabisa media house imevamiwa na wahuni na inashangaza kuona gazeti likienda kuchapishwa huku likibeba habari za uongo kana kwamba hakuna mhariri.
Ushauri wangu kwa Uongozi wa Yanga ni huu, ili kukomesha tabia hii ya unprofessional journalism Uongozi wa Yanga utowe tamko la Boycott...
Habari wakuu
Nimekuwa na msemo mkubwa sana ambao umekuwa ukitumika sana, "tafuta pesa". Hasa linapokuja masuala ya kuhonga, lakini ndugu unaweza ukajisifu unahonga ila kuna watu wanahonga sana wewe cha mtoto.
Ngoja niwape kilichomkuta jamaa yangu, kilinisikitisha, nisingipenda nitaje majina...
Kwenye Maisha kuna kitu kinaitwa kiongozi na Mamlaka ya kiongozi ,kila kiongozi huwa kuna maamuzi ambayo anaweza kuamua kutokana na Mamlaka aliyo nayo.
Kwa upande wa Haji Manara kama inavyonunukuliwa alichokisema kwa kiongozi wa TFF "Wewe unanifatafata sana, hii ni mara ya tatu, sikuogopi kwa...
Kwenye hoja Moja kwa moja.
Haya maisha hayaishi.
Muuaji amenipa funzo kuu. Kwamba nisithibutu kuishi na nyongo. Tunakosewa Sana na viongozi, viongozi hawajui tunayopitia. Wao madam wanasafir kwa ving'ora na nyumba zao zinalindwa sisi tunaishi kama digidigi. Tunamolala wakati tukiutafuta...
Leo Waziri wa Kilimo ametamka hadharani kuurejesha Mfumo wa Ununuzi wa Mbolea BPS ambao ulifutwa Juni 2021 na kusababisha mfumko mkubwa wa bei za Mbolea nchini kwani wafanyabiashara waliuza mbolea kwa bei wanayoitaka wao bila kuwepo usimamizi wa Serikali.
Jambo hili lililalamikiwa sana na...
Hivi inakuwaje unakuwa na uchungu Mdee na kundi lake la wanadada 19 kuwa wabunge hata kama wanazama mjengoni kimazabe? Hii ndio sababu ya kukupain mpaka mshipa wa koo unataka kukukatika!
Mbona mnashabikia upuuzi usio na tija yaani bil 11 na ushee zinatumika kushuti filamu ya kawaida kabisa...
Janga la covid19 lilishika kasi hapa kwetu Tanzania mwanzoni mwa mwezi wa nne 2020 hapa ndio tahadhari zikaanza kuwekwa na serikali ikiwemo mikusanyiko na uvaaji wa barakoa.
Wakati janga hili linashika kasi, kampuni ambayo nilikuwa naifanyia kazi mkataba wangu wa kazi ndio ulikuwa ukingoni...
Kuanzia tarehe 24 Urussi imekuwa ikashambulia ukraine kwa makombora toka kila upande (Angani, ardhin na baharini), hii imetokea baada ya vita ya ardhini kupata upinzani mkubwa toka kwa majeshi ya ukraine na washirika wake baada ya kupokea shehena ya siraha toka nchi za magharibi.
Sasa Urussi...
Nalitazama Kundi C CAF CL, Jwaneng Galaxy ana Point 1 mpaka sasa na mechi 1 mkononi,Mamelodi Sundowns na Al Ahly Wana Nafasi Kubwa Ya Kupita.
Halafu,Natazama Kundi A, Timu mbili Za Sudan Hapo zilipofika kwa kweli CAF Wanatakiwa wazishukuru Kwa Kuja,Matumaini ya Kupita ni Zero!
Simba...
Baada ya vitendo vya kijambazi vinavyofanywa na polisi kushamiri katika siku za karibuni, sasa imefika wakati serikali ijithathmini namna ya kuwachuja polisi wanaofaa kuajiriwa. Madhara ya kung’ang’ania form four failures (Divison 4 & 0) ndiyo yametufikisha hapa tulipo. Sasa serikali ianze mara...
Mtandao wa Donald Trump "Truth Social" unaweza kutengeneza mamilioni au kughafilika!
Umejikita kupeperusha masuala ya kisiasa yenye mashiko moto moto na kumpa rais wa zamani nafasi mpya ya uonevu
Ukweli wa mtandao huu wa Kijamii umejikita kutengeneza pesa. Ajabu, pia unapiga marufuku "matumizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.