Kocha wa Yanga angemsikiliza Captain Wanayanga tungekuwa tunacheka muda huu. Hili ni fundisho kwake

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,152
Ndugu wapendwa mabibi na mabwana haswa wana Yanga wenzangu poleni sana, sana kwa yaliyotokea huko Tanga, kila jambo lina mapenzi mema siku zote.

Nieleze kifupi tu, kuna baadhi ya maombo hawa Makocha wapya A.K.A Wazungu wanahitaji kukubali ushirikiano na hasa kwa ma captain ama wazoefu waliowakuta.

Wanasema penalty haina mwenyewe ila pale unapoweza kurekebisha unafanya hivyo. Niwapongeze watani wangu hakika mlijipanga kwa penalty na mwisho waliocheza mpira mzuri ndio walioshindwa niwapongeze sana kwa hili.

Capt. wetu alijaribu kupendekeza wapiga penalty lakini kulikuwa na sitonfahamu kidogo, Kocha Mkuu nae akawa na watu wake kifupi hata wale wawili waliokosa penalty capt. wetu alishawapinga wasipige na kupendekeza wanaoweza kupiga wakishirikiana na wachache wa Kocha Mkuu.

La hasha kocha na watu wake wakaenda kupiga, hakika Capt. wetu aliumia sana sana baada ya mechi.

Si haba mpira tumecheza, bingwa Simba SC, Mnyama kila la kheri Watani, tukutane Ligi yetu pendwa.
 
Nimempenda sana Rafiki yangu MPWAYUNGU Village.

Ameomba kwa Uongozi WA Jamii Forum ( Moderators kuwa w fute Nyuzi zake ZOTE kwa sababu ZIFUATAZO.

1. Ameona ZINAJAZA SEVA za Jamii Forum bila sababu yoyote ya Msingi.

2. Ameona hazina umuhimu sana Kwa Jamii.
Hazina madini AU fursa kwa Jamii kuweza kuzitumia kama ( Reliable source of Information).

NADHANI TUNAOANDIKA PUMBA TUJITEKEBISHE.

TUILINDE JAMII forum WAOVU wasiishinde.
 
Simba na Yanga wote hamna wapiga penati mkuu. Tujirekeboshe kwenye hilo.

Simba kashinda ila kwa ana anadoo kakosa penati nyingi. Simba kwenye matuta ni mbovu ila Yanga ni mbovu zaidi mara 2 au hata 3 ya Simba.
 
Nimempenda sana Rafiki yangu MPWAYUNGU Village.

Ameomba kwa Uongozi WA Jamii Forum ( Moderators kuwa w fute Nyuzi zake ZOTE kwa sababu ZIFUATAZO.

1. Ameona ZINAJAZA SEVA za Jamii Forum bila sababu yoyote ya Msingi.

2. Ameona hazina umuhimu sana Kwa Jamii.
Hazina madini AU fursa kwa Jamii kuweza kuzitumia kama ( Reliable source of Information).

NADHANI TUNAOANDIKA PUMBA TUJITEKEBISHE.

TUILINDE JAMII forum WAOVU wasiishinde.
Ila ww nae jamani..sasa hapo amekosea nini
 
Ndugu wapendwa Mabibi na Mabwana haswa wana Yanga wenzangu poleni sanaa sana kwa yaliyotokea huko tanga kila jambo lina mapenzi mema siku zote

Nieleze kifupi tu kuna baadhi ya maombo hawa makocha wapya aka wazungu wanahitaji kukubali ushirikiano na hasa kwa ma capt ama wazoefu waliowakutaaaaa

Wanasema penalty haina mwenyewe i...ila pale unapoweza kurekebisha unafany hio niwapongeze watani wangu hakika mlijipanga kwa penalty na Mwisho waliocheza mpira mzuri ndio walioshindwa niwapongeze sana kwa hili

Capt wetu alijaribu kupendekeza wapiga penalty lakini kulikuwa na sitonfahamu kidogo kocha mkuu nae akawa na watu wake kifupi hata wale wawili waliokosa penalty capt wetu alishawapinga wasipige
na kupendekeza wanaoweza kupiga wakishirikiana na wachache wa kocha mkuu.......

La hasha kocha n kocha wake wakaenda kupiga hakika capt wetu aliumia sana sana baada ya mechi

Si haba mpira TUMECHEZA bINGWA SIMBA SCC MNYAMAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
KILA LA KHERI WATANI TUKUTANE LLIGI YETU PENDWA
Kenge tu wewe
 
CAPO Naomba uendelee kusambaza ujumbe huu Kwa Kila uzi mbovu utakaoletwa hapa.
 
Huu uvimbe wa ngao ya jamii utawasababishia kansa ya malalamiko.
 
Ndugu wapendwa mabibi na mabwana haswa wana Yanga wenzangu poleni sana, sana kwa yaliyotokea huko Tanga, kila jambo lina mapenzi mema siku zote.

Nieleze kifupi tu, kuna baadhi ya maombo hawa Makocha wapya A.K.A Wazungu wanahitaji kukubali ushirikiano na hasa kwa ma captain ama wazoefu waliowakuta.

Wanasema penalty haina mwenyewe ila pale unapoweza kurekebisha unafanya hivyo. Niwapongeze watani wangu hakika mlijipanga kwa penalty na mwisho waliocheza mpira mzuri ndio walioshindwa niwapongeze sana kwa hili.

Capt. wetu alijaribu kupendekeza wapiga penalty lakini kulikuwa na sitonfahamu kidogo, Kocha Mkuu nae akawa na watu wake kifupi hata wale wawili waliokosa penalty capt. wetu alishawapinga wasipige na kupendekeza wanaoweza kupiga wakishirikiana na wachache wa Kocha Mkuu.

La hasha kocha na watu wake wakaenda kupiga, hakika Capt. wetu aliumia sana sana baada ya mechi.

Si haba mpira tumecheza, bingwa Simba SC, Mnyama kila la kheri Watani, tukutane Ligi yetu pendwa.
Noted
 
Bado kuna watu bado wamebaki Mkwakwani? Na pia bado wapo kwenye mode ya kujilaumu kwamba ingekuwa hivi au ingekuwa vile?
Nilidhani maisha yanapaswa kusonga kwa kuendelea kushauri kuhusiana picha kubwa ya yajayo?
 
Back
Top Bottom