Napata fundisho la maisha. Inasikitisha inaniuma Sana

Vifaranga200

Senior Member
Oct 28, 2022
163
175
Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada.

Miaka kadhaa imepita naona tabia zangu zimechange Sana. Ilikuwa Mwaka 2000 nilipoanza kunywa bia, tena safari. Tabia hii nilianza kutokana na mienendo yangu binafsi Kwa mfano kujenga confidence.

Mwaka huo nilikuwa na vihela kiasi. Pombe nilipiga walau wiki tatu baada ya hapo naacha.. najiona kubadilika, na siwez acha. Kila siku najaribu kuomba mola niache waaap, yaani ikifika jioni mimi natamani Kupiga maji tu. Huu ni Mwaka nne hakuna siku sijanywa pombe. Najisikitia na nimeona wakuu niseme Kwa sababu ni hatari sana kulala kila siku na kilevi.

Imefikia hatua na umalaya nao umengia, napenda kuchakata papuchi na kilevi Mungu anisaidie niache.

Imefikia hatua nakunywa nagombana na Kila mtu sio vizuri najiona nafanya makosa njenje. Pombe ni kitu kibaya Sana. Na shida ya pombe ukizoea hunywi visavanna , vi Serengeti...yaani ni mwendo wa madude makubwa makubwa.

Enzi hizo nikiwa nasoma college, nilikuwa nakula Malaya wa barabarani na Wala sio nikiwa nimelewa, ilikuwa asumani kichwa wazi akitamani joto ya pango ananipeleka Kwa wauza papuchi tu. Ni kama vile ananiambia nenda wewe acha ubwege.

Hivi Sasa naona Nina fundisho la maisha Kwa kuwa naona kabisa Ninakosa upendo Kwa familia, ninatumia kila jioni bar na kwenye pub, najifariji kijinga ninaponunua minyama na misamaki kujaza mafriji mavitu najiona nafanya nonsense.

Yaani sometimes najitukana na kujidharau ambayo inanifanya nione nadharauliwa kazin na hata mtaani. Hii inanipa fundisho pale niinapoona, wao wanajenga vijumba vyao na kujibanabana. Mie mwenzenu naona nijenge nyumba nifunike kiwanja juu, halafu nikanunue kingine goba, pambavu, Mimi ni mwendo wa kumiminia, underground na kukiona heshima inarejea Kwa kufanya vya maana.

Najifunza SoMo la kunywa Kwa kias. Kwa Sasa nasikitika sana ninavyokula ma bar maid.
 
Basi, ikiwa Mungu huyavika hivi majani ya kondeni, yaliyopo leo, na kesho hutupwa kalibuni, je! Hatazidi sana kuwavika ninyi, enyi wa imani haba?
 
Mitungi ni wewe tu uamue toka rohoni mwako kuwa unaiacha.

Hakuna mtu wa kuja baa kukupokonya glass ya bia unapotaka kupeleka kinywani.

Halafu hizi tungi zinatufelisha pakubwa sana, sema kila mnywaji anajua anayokumbana nayo kwenye ulevi wake.
 
Ulianza mwenyewe na kuacha unaweza kuacha mwenyewe pia.

Ni kujiendekeza tu, kwani kabla hujaanza kula bia na malaya ilikuaje? Si ulikua poa na hukufeel umekosa kitu.

Kunywa pombe kwa kuongeza confidence, kutoa aibu, kupunguza stress na sababu zinazoelekeana na hizo huleta uraibu.
Ila kunywa pombe kama kiburudisho haileti athari yoyote coz utaweza kujicontrol.

Bahati mbaya ulianza pombe vibaya mkuu, pole sana
 
Ulianza mwenyewe na kuacha unaweza kuacha mwenyewe pia.

Ni kujiendekeza tu, kwani kabla hujaanza kula bia na malaya ilikuaje? Si ulikua poa na hukufeel umekosa kitu.

Kunywa pombe kwa kuongeza confidence, kutoa aibu, kupunguza stress na sababu zinazoelekeana na hizo huleta uraibu.
Ila kunywa pombe kama kiburudisho haileti athari yoyote coz utaweza kujicontrol.

Bahati mbaya ulianza pombe vibaya mkuu, pole sana
Anatakiwa ashauriwe sio kebehi
 
Back
Top Bottom