fundi

  1. mossTV

    JamiiForums Tanzania FUNDI TV NA VIFAA VYA UMEME

    BWANA FUNDI NIPO HAPA.. KAMA TV YAKO INA CHANGAMOTO YOYOTE INATIBIKA BILA SHIDA NA TUNAFANYA MPAKA HOME SERVICE PIA.. KAMA SHIDA NI MOTHERBOARD TCON POWER SUPPLY BACKLIGHT KIO0 SHIDA YOYOTE TV IMEZIMA GHAFLA TUNAWASHA, SAUTI, MWANGA NA MATATIZO YOTE WE PIGA SIM 0744680670 0618199522 TUNAKUFIKIA...
  2. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ni hatua gani kisheria naweza kumchukulia fundi msumbufu.

    Umuofia kwenu, Aise kuna fundi nilimpa kazi na malipo 85% kazi ilikua ya makubaliano ya kukamilika kwa wiki Moja, lakini sasa yapata mwezi na mwelekeo wa kukamilika haupo. Mbaya zaidi hana dharula yoyote yupo na anaendelea na kazi za wateja wengine nikimuhimiza kua ananikwamisha analeta...
  3. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Fundi na gharama za kuondoa mistari kwenye Smart TV

    Waungwana nawasalimu, Nina TV yangu ya Smart ya Inchi 50 ambayo imechora mistari mbalimbali ya mlalo (horizontal lines) inayopelekea picha na maandishi kutoonekana vyema. Naomba msaada wa kujua wapi naweza kumpata fundi wa tatizo hili na gharama zake
  4. Dalali wa Mjini

    JamiiForums Tanzania Mzee wangu ni fundi wa ujenzi

    Habari ya wakati huu ndugu zangu wa Jua na Ac. Kama kawadi hapa dalali wa mjini nipo live. Jirani yangu ni fundi ujezi wa nyumba ambaye taaluma Yake alisomea chuo cha ufundi veta miaka mingi iliyopita. Ushahidi ni mimi mwenyewe kunijengea nyumba yangu.Kwahiyo yupo vizuri kwenye professional...
  5. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Fundi wa kujenga chemba za kisasa

    Habari naitwa James Ni fundi wa kujenga chemba za kisasa za kuvutia karibu 0743257669 Tupo banana ukonga
  6. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Fundi kupaua mapaa ya kisasa nipo hapa 0743257669

    Hii ni nyumba ya ya vyumba 3 vya kulala Mbao za 2/2 mbao 130 Mbao za 2/4 mbao 150 Misumali kg 45 ya inch 4 Mbao za fisherboard 18 Rangi sado 1 Kofia 26 Valley 18 Misumali ya bati pakt 30. Bati 140 Nipigie au nichek Whatsapp 0743257669 tufanye kazi Tunapatikana ukonga dsm
  7. youngkato

    JamiiForums Tanzania Jinsi Fundi Ujenzi Anavyoweza Kujitangaza Kwenye Internet Bila Gharama Kubwa

    Fundi ujenzi mwenye maarifa ya kazi yake anaweza kufikia wateja wengi zaidi kwa kutumia mitandao ya kijamii na mbinu nyingine za kidigitali. Katika makala hii, tutajadili hatua rahisi ambazo fundi ujenzi anaweza kuchukua ili kujitangaza kwa ufanisi na kupata kazi nyingi zaidi. 1. Tumia Mitandao...
  8. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Fundi wa mashimo ya kisasa yasiyojaa

    Tupigie 0743257669 #Watalaamu waliobobea katika ujenzi wa mashimo ya kisasa visivyojaa haraka kutokana na mfumo wa tofali na mfumo wa mawe ✍️SIFA ZA MASHIMO YA VYOO VYA KISASA 📍HAVIJAI KABISA 📍HAVITOI HARUFU 📍HUCHUKUA ENEO NDOGO 📍 GHARAMA ZETU NAFUU SANA 📍HUJENGWA NDANI YA SIKU NNE ✍️Kwa mfumo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wangu wa Simba kuna dogo mmoja fundi wa mpira Bravos aliingia kipindi cha pili mfupi na anaitwa Mathew, mali ile

    Yule dogo mfupi Ana tege hivi kama Feruzi Telu au Triple C, aisee dogo alitusumbua sana yule alipokuwa akishika mpira, kwanza Ana control, kana nguvu za miguu halafu kanajua kurusha pasi ndefu, yule dogo mtu sanaaaaaa. Ile mali viongozi wangu msiiache, mido yake ya chini ni ya kushambulia mnoo
  10. Desierto

    JamiiForums Tanzania Utakubali kumwachia fundi kifaa ambacho amekwambia hakifai tena kupona?

    Kulingana na muda mchache huu nilioingia kwenye sekta ya ufundi Kuna vitu kadhaa nimejifunza Mfano juzi Kuna mteja aliniletea pasi baada ya kuikagua nikagundua ile pasi yake haifai Tena kupona kwani ilipiga shoti ikaua mpaka hita lakini ile pasi ilikuwa Bado nzuri kwa bodi lake Baada ya...
  11. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Fundi nzuri WA Samsung JAMAN simu imepasuka na wino umevuja naogopa Hawa chovya chovya

    Wale mnaojua fundi nzuri WA Samsung kawe. Ama mwenge ama kariakoo Naomba tuambiane Mwanangu kashika simu asbh kaamua kuvuka na chake Kioo kwishnaaa Winoo. Hioo Samsung a03 Sijui sh ngapi sio kwa kutishiwa na watu hivi oohh
  12. britanicca

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni fundi wa kucheza na Upepo, naona sasa CHADEMA imeutawala upepo, usishangae anafanya uteuzi wa waziri Tena wa fedha week hizi!

    Nadhani tujiulize swali Mama akiendaga Zanzibar ujue kuna kamkeka kananukia, Je kupanda na kushuka kwa dolla na shilling kutokuwa stable kunaweza kukamfanya SAMIA akamuondoa waziri wa Fedha Mchemba?Kabla ya Mwaka kuisha? Au Mwanzoni mwa Mwaka unaokuja? Ili sasa tuendelee kumjadili yeye na ku...
  13. clinton gidioni

    JamiiForums Tanzania Natengeneza Chereheni za aina mbalimbali

    Habari wapendwa. kwa wale wenye viwanda vidogo na vikubwa karibuni sana. Tunatengeneza cherehani aina zote. Iwe changamoto yoyote inayo husiana na ushonaji karibu umepata suruhisho. Gharama zetu ni nafuu popote tuna fika tunapatikana dar es salaam ila hata mikoani tunafika kwa gharama...
  14. Remmygius

    JamiiForums Tanzania Fundi skimming na finishing kwa ujumla.

    Kwa huduma ya skimming, kupaka rangi na decoration mbalimbali kwa ubora na gharama nafuu. Mawasiliano: +255 656590393
  15. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi wa kubandika tiles za Garage (interlocking Garage Floor Tiles)

    Habari, Kama kuna fundi humu ,au mtu anajua fundi mwenye ujuzi wa kubandika hizi tiles za plastic za garage, Site iko Dar es salaam. Anichek PM.
  16. Fundi manyumba

    JamiiForums Tanzania Fundi na muuzaji wa submeter ana hitajika hapa

    Nahitaji fundi wa kunifungia sub meter ile ya kuweza kutumia umeme wangu peke angu... Nipo dar gongo la mboto... Mawasiliano njo pm chap
  17. H

    JamiiForums Tanzania Fundi Welding mwenye uwezo wa kutengeneza spiral stair cases

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Natafuta fundi welding mwenye uzoefu wa kutengeneza Spiral staircase. Material kwa maana ya chuma, welding sticks, grinder discs kulingana na size grinder size atakayo kuwa nayo. Fundi atachaji gharama ya fundi tu. Kazi itafanyika nyumbani kwangu. Kama...
  18. Y

    JamiiForums Tanzania Fundi bomba majumbani na maofisini free site visit

    Habari viongozi naiman mpo poa nipo hapa kutangaza biashara yangu mimi noifundi bomba wa majumbani na building materials pia ambae nimebobea pia tuna duka la hardware lipo kariakoo kwa huduma zaid 0699361938
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Umewahi kufanyiwa kituko gani na Fundi Nguo (Cherehani) mpaka ukatamani msingefahamiana?

    Nimekumbuka Miaka kadhaa iliyopita Wiki mbili kabla ya Siku yangu ya Uchumba na kutolewa mahari nikapeleka kitambaa kwa fundi anitolee Gauni nzuri na mshono ulikuwa simple tu Akanipa na siku ya kurudi kuchukua nguo bhana, me nikajiongeza nikasogeza siku kadhaa (akamilishe vizuri nguo) nikaenda...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa hapa nchini hakuna kiungo fundi wa mpira kumzidi Gerson Gwalala wa Coastal Union

    Anaitwa Greyson sijui Grayson Gwalala kiungo mkatashombo wa Coastal Union ya Tanga, jana amekuwa man of the match kwenye mechi dhidi ys Singida Big Stars yenye viungo wa kimataifa waliooonyesha ufundi wa hali ya juu wakati wa mechi dhidi ya Yanga, dogo huyu wala hastahili kukosa national team...
Back
Top Bottom