Fundi na muuzaji wa submeter ana hitajika hapa

Fundi na muuzaji wa submeter ana hitajika hapa

Mimi ninazo nilinunua mbili kwa wapangaji bei yake moja laki na 30 unaingiza kawaida token mbil ila jichanganye ununue za laki unanunua umeme wa link sasa kuipata hiyo link ni kama vile unataka kutoa hela tigopesa alafu mtandao unasumbua utakesha ila kama unqfunga zile za laki ufunge kwa wapangaji wote au uache kwako
 
Submeter yangu Iko Tamper Mode msaada Tafadhari wataalamu nitapataje code za kuitoa hapo iweze tumika tena
 

Attachments

  • IMG_20250402_195136_062~2.jpg
    IMG_20250402_195136_062~2.jpg
    336.2 KB · Views: 25
Back
Top Bottom