Habari
Mimi ni Tech wa mambo ya Maji na nina Experience ya maswala ya maji safi na maji taka kwa miaka 4, kama Kuna Kampny Ina hitaji mwenye sifa hyo nipo tiyari kushikiri kutimiza majukumu kwa maendeleo na faida ya Kampny
Ingawa wengi hupendelea mafundi wa karibu, kutumia fundi kutoka mbali kunaweza kuwa na faida maalum kulingana na mahitaji na mazingira ya mradi wako. Hapa kuna baadhi ya faida zake:
1. Utaalamu wa kipekee – Fundi kutoka mbali anaweza kuwa na maarifa au uzoefu wa kipekee ambao haumpati fundi wa...
Habari naitwa Eng James ni mtaalamu wa ujenzi wa nyumba za kisasa ,Ramani za nyumba ,BOQ N.K
Wewe endelea kufatilia maandiko yangu utajifunza mengi kuhusu ujenzi na kupata ubora mkubwa sambamba na kupunguza ghalama.
Njoo tukujengee tukukabidhi funguo 0743257669 ofisi tupo ukonga dsm
Kumtumia...
Kutokana na uzoefu na kwa kuzingatia changamoto tunazopitia sasa kadri muda unavyogea tutakuwa tuna uhaba mkubwa wa mafundi wajuzi wa kutatua matatizo ya magari kwa ufasaha ni kutokana na ukweli kwamba mafundi wengi hawana tabia ya kupenda kuongeza ujuzi wao na wanaamini kile wanachokijua...
Vijana wetu kuna muda mnajishusha tunawapa chance kuwaamini lakini mambo wanayofanya yanatukatisha tamaa ya kuendelea kuwaamini.
Gari ilikuwa na matatizo, nikaenda mtaani kutafuta fundi aje kuliangalia.
Gari iligoma kuwaka kwajili ya matengenezo tukaona mafuta hayatoshi kuliwasha.
Nikampa...
Habari wana Jf, mimi ni fundi wa kuchomelea (arc ray welding) pia nina uwezo wa kutumia mashine mbali mbali kama za MIG na TIG.
Natafuta kazi ya kuchomelea hasa viwandani na migodini maana ndiyo sehemu ambazo nina uzoefu nazo kwa muda mrefu sasa. Kwa mawasiliano zaidi 0688607000.
Wanajamvi
Msaada kwenye tuta
Nahitaji fundi mzuri kwa ajili ya gari aina ya VW(Volkswagen)
Napokea recommendation nitashukuru nikipata namba ya simu na location ya garage
Natanguliza shukrani.
Ujenzi wetu upo sana katika misingi ya kufinya bajeti.
Siwezi kulaumu yoyote kwa maana hali ni ngumu kiukweli.
Ila hali hii isitengeneze kama jadi fulani hivi sasa maana tunaishia kugharamika hata zaidi ya pesa tungeempa fundi aliehitaji pesa ndefu. (MICHAEL)
Wadau nategemea kuwekea sakafu tiles,sasa changamoto ni malipo ya fundi mweka tiles,maana kuna fundi ambaye alifanya shughuli nyingine za ujenzi ananiambia kuwa square mita ni sh. 9000.
Mafundi wengi ni madalali anauza kazi kwa mwingine naye ale chake.
Naomba kwa wenye uzoefu ni sh. ngapi kwa...
habari mtaalam wa kupau na mtaalam wa kuchomelea unaitajika uwe na ofisi bunju au tegeta uwe na kazi ambazo uliishawai kufanya naitaji fundi maiko sio kampuni na pia usiwe dalali uwe fundi mwenyewe wa bei iwe rafiki
Juzikati tulipata reference ya fundi mmoja tukamtafuta baada ya kupata mawasiliano yake akaja hadi saiti tukamwonesha kazi. Akacheki kazi anayotakiwa kuifanya akatoa mahesabu ya vifaa vyote vinavyotakiwa pale.
Siku ingine tukakutana naye hardware kununua vile vifaa alivyoviandika yeye fundi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.