fundi

  1. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Kuna fundi ananiambia nimpe msingi 1.5m na ukuta 2.5m katika ujenzi wa fensi wa eneo la 27.5m x 31.5m, je ananipiga?

    Karibuni wakuu kwa mawazo yenu Msingi ni wa mawe. Ukuta ni 6ft Hapo ni bila kuchapia cement baada ya ujenzi (cement skimming) Hio 1.5m ya msingi ni kuchimba msingi na labour charges zake DeepPond RRONDO na wengine karibuni
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania fundi wa ujenzi maeneo ya kibaha tuchekiane nbox..na wa tiles8

    All d best
  3. Mwanza CCTV CAMERA

    JamiiForums Tanzania Fundi CCTV camera, Mwanza

    Offer offer offer!!!! Pata complete set ya cctv camera 4 ikiwa na vitu vyote pamoja na ufundi kwa bei ya 750,000 tu ✓ufundi bure ✓tunamfata mteja popote alipo kwa gharama Zetu ✓camera zetu ni high quality ✓zina nasa sauti hivyo unaweza kusikiliza maongezi ✓zina mwanga mzuri hata kama ni...
  4. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi wa magrill uwe karibu na maeneo ya Mbezi kwa Mathias

    kama uko maeneo hayoo tuwasiliane kuna jamaa anahitaji madirisha makubwa matatu ya aina hii Piga kwenye hii namba 0792797806 Robinson Mulize kuna Magriill ya kutengeneza kibaha kwa Mathias akuelekeze jinso ya kufika
  5. dark web

    JamiiForums Tanzania Fundi Umeme na vifaa vya kielectroniki, anapatikana, uzoefu wa kazi, ubora na uaminifu!

    Habari wanajukwaa, Naitwa fundi mwenye uzoefu mzuri katika fani ya umeme na vifaa vya kielektroniki, napatikana Dar es Salaam. Nimekuwa nikihudumu kwa ufanisi katika kazi mbalimbali zinazohusiana na matengenezo, usimikaji, na ushauri wa kitaalamu kwenye vifaa vya kila aina. Huduma ninazotoa ni...
  6. Bwashee Machui

    JamiiForums Tanzania Fundi ujenzi

    🪖🦺🔨⛏️🪖🦺 SHEBWA MASONRY CONTRACTION Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba! Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako? Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi...
  7. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Hizi ni power tools muhimu ambazo fundi wa ujenzi wa nyumba anashauriwa awe nazo kwa kazi kuwa rahisi, haraka na bora

    Hizi ni power tools muhimu ambazo fundi wa ujenzi wa nyumba anashauriwa awe nazo kwa kazi kuwa rahisi, haraka na bora: 1. Drill Machine (Choropoa) – Kwa kuchimba kuta, mbao, nondo n.k. 2. Angle Grinder (Grinda) – Kukata chuma, bati, tiles, mawe n.k. 3. Cutting Machine (Circular Saw) –...
  8. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kipi sahihi kuwa na fundi mmoja permanent ama kubadilisha mafundi?

    Nina wasiwasi na fundi anayenirekebishia pikipiki anatumia udhaifu wangu wa kutokuwa na uelewa juu ya changamoto za pikipiki na kutojua bei ya vifaa kunikanda linapokuja ishu ya payments baada ya service. Kwa wamiliki na wazoefu wa pikipiki which ni best way ya kufanya service kutumia fundi...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Fundi Seremala anatakiwa

    Habari za wakati huu? Natafuta fundi seremala atakaefanya kazi kwenye karakana yetu, anaeweza kutengeneza kazi za mbao pamoja na MDF. Ofisi ipo Tanga, korogwe... Sehemu ya kulala ipo vifaa vyote vipo ila kama anavyakwake itakua vizuri zaidi. Malipo ni maelewano kwa kila kazi atakayofanya...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Sales Technician (Solar Products) Required

    Sales Technician (Solar Products) Required Preferably a lady. Experienced in solar sales & installation + customer care. Please send your CV to duniapower@protonmail.com by August 31, 2025.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji fundi wa smart tv - Aiwa

    Nina Aiwa smart tv ambayo haidisplay chochote ukiiwasha. Nahitaji fundi aje aiangalie.
  12. bakari khalidi

    JamiiForums Tanzania Fundi wa kushona nguo nipo hapa

    Natafuta Fundi wa nguo za kiume Msaidizi. Finishing Suits, Shirts, Pants ect..Nipo tayari kukufundisha kushona nguo za kiume kisasa for free +255719377649 Dar es salaam, Tanzania
  13. bukoba boy

    JamiiForums Tanzania Fundi Wiring umeme wa Nyumbani

    Habari wadau humu! Hii kazi unaipa marks ngapi?
  14. FK21

    JamiiForums Tanzania Nahitaji fundi TV Mwanza

    Kama Kuna fundi TV Mwanza please naomba anicheki DM
  15. S

    JamiiForums Tanzania Simba aliondoka Deo Njohole, Method Mogella ‘fundi’, Hamis Gaga nini Mohamed Hussein Tshabalala, msikuze mambo

    Kama kuna wachezaji ambao ilituuma kuondoka Simba basi ni hawa wafuatao, Deo Njohole, marehemu Method Mogella ‘Fundi’, marehemu Hamis Gaga Gagarino, Zamoyoni Mogella let alone akina Chuji, Chama, Barnabas Sekelo, nashangaa sana media zinamkuuuza Zimbwe, kijana uwezo wake ni wa kawaida sana ss...
  16. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi umeme na ujenzi tufanye kazi mkoa wa Dar es salaam

    Natafuta fundi umeme na ujenzi tufanye kazi mkoa wa dar es salaam, naomba kazi saidia fundi elimu yangu ni stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering) Napatikana: Mkoa wa Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
  17. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi umeme na ujenzi tufanye kazi Dar es salaam

    Natafuta fundi umeme na ujenzi tufanye kazi mkoa wa dar es salaam, naomba kazi saidia fundi elimu yangu ni stashahada ya ufundi mitambo (Mechanical Engineering) Napatikana: Mkoa wa Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
  18. Likey29

    JamiiForums Tanzania Fundi mzuri wa gari za nissan

    Wakuu naombeni mwenye fundi mzuri wa gari za nissan wa uhakika, gari yangu ni nissan cube. vipengele: inachemsha inachoma coil (nimebadili mara mbili) inakosa nguvu (hai-accelerate) gari inavuta upande mmoja speed ikiongezeka Naomba msaada wenu wakuu.
  19. mohamedidrisa789

    JamiiForums Tanzania Fundi umeme nipo hapa kwa ajili ya Kazi

    Fundi umeme wa uwakika mwenye uzoefu na kazi kwa kiwango nipo hapa boss wangu karibu sana unipe kazi. Nafanya kazi kwa gharama ya kawaida na kazi bora na uwaminifu mkubwa sana. Kwanz nakusikiliza boss unaitaji nini kwenye jengo lako pia nakupa ushauri wa nini kifanyike. Zingatio: kama unaitaji...
  20. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Fundi anayeweza kufanya hii design ya paa ajitokeze

    Mkuu anayeweza kuifanya hiyo design au anayejua fundi. Ajitokeze
Back
Top Bottom