fundi

  1. W

    JamiiForums Tanzania Fundi nilimpa elf 10 ya mafuta, kaenda kununua ya kuchakachua kubana hela, gari haiwaki inabidi nisafishe tenki zima, Mafundi njaa zitawaua !

    Vijana wetu kuna muda mnajishusha tunawapa chance kuwaamini lakini mambo wanayofanya yanatukatisha tamaa ya kuendelea kuwaamini. Gari ilikuwa na matatizo, nikaenda mtaani kutafuta fundi aje kuliangalia. Gari iligoma kuwaka kwajili ya matengenezo tukaona mafuta hayatoshi kuliwasha. Nikampa...
  2. hassanjrtz

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, mimi ni fundi wa kuchomelea

    Habari wana Jf, mimi ni fundi wa kuchomelea (arc ray welding) pia nina uwezo wa kutumia mashine mbali mbali kama za MIG na TIG. Natafuta kazi ya kuchomelea hasa viwandani na migodini maana ndiyo sehemu ambazo nina uzoefu nazo kwa muda mrefu sasa. Kwa mawasiliano zaidi 0688607000.
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Huyu fundi umeme kaacha alama kwenye nyumba hii

    Sija jua jina la fundi ila nimeona kaacha alama ndani ya jengo.
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania My workshop: Fundi seremala

  5. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Garage na Fundi mzuri wa Volkswagen Dar es Salaam

    Wanajamvi Msaada kwenye tuta Nahitaji fundi mzuri kwa ajili ya gari aina ya VW(Volkswagen) Napokea recommendation nitashukuru nikipata namba ya simu na location ya garage Natanguliza shukrani.
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ila Ujenzi wa bongo huwa ni pure comedy! Tunaanzaga kwanza na fundi MAIKO alafu akizungua ndio tuna mtafuta fundi MICHAEL 🤣

    Ujenzi wetu upo sana katika misingi ya kufinya bajeti. Siwezi kulaumu yoyote kwa maana hali ni ngumu kiukweli. Ila hali hii isitengeneze kama jadi fulani hivi sasa maana tunaishia kugharamika hata zaidi ya pesa tungeempa fundi aliehitaji pesa ndefu. (MICHAEL)
  7. Suip

    JamiiForums Tanzania Malipo ya fundi wa tile kwa skwea mita(square metre) ni sh. ngapi

    Wadau nategemea kuwekea sakafu tiles,sasa changamoto ni malipo ya fundi mweka tiles,maana kuna fundi ambaye alifanya shughuli nyingine za ujenzi ananiambia kuwa square mita ni sh. 9000. Mafundi wengi ni madalali anauza kazi kwa mwingine naye ale chake. Naomba kwa wenye uzoefu ni sh. ngapi kwa...
  8. BOFREE

    JamiiForums Tanzania natafuta fundi bati na fundi welding kwa aajili ya madilisha uwe unatokea bunju au tegeta

    habari mtaalam wa kupau na mtaalam wa kuchomelea unaitajika uwe na ofisi bunju au tegeta uwe na kazi ambazo uliishawai kufanya naitaji fundi maiko sio kampuni na pia usiwe dalali uwe fundi mwenyewe wa bei iwe rafiki
  9. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi fundi mitambo (mechanical technician)

    Naomba kazi fundi mitambo (mechanical technician) Mawasiliano inbox
  10. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Naomba kazi fundi mitambo (mechanical technician)

    Naomba kazi fundi mitambo (mechanical technician) Inbox mawasiliano
  11. T

    JamiiForums Tanzania Fundi wa kujenga

    Naomba muelekezo wa fundi nyumba ili nimalizie nyumba. Finishing, umeme, maki, rangi, tiles nk
  12. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kumuuliza fundi sifa zake za kitaaluma kabla hujampa kazi?

    Juzikati tulipata reference ya fundi mmoja tukamtafuta baada ya kupata mawasiliano yake akaja hadi saiti tukamwonesha kazi. Akacheki kazi anayotakiwa kuifanya akatoa mahesabu ya vifaa vyote vinavyotakiwa pale. Siku ingine tukakutana naye hardware kununua vile vifaa alivyoviandika yeye fundi...
  13. Gordon Technology

    JamiiForums Tanzania Fundi wa gps track in Dar es salaam

    Piga 0746373222.....Je, unamiliki gari,pikipiki au bajaji(chombo cha moto)? Je,unataka kukilinda na kukifatilia chombo chako popote kinapokwenda? Je,Umechoka kupewa taarifa za uwongo na dereva wako kuhusu chombo chako cha moto? Tupigie ☎️0746373222 tukuambie namna ya Kutumia Gps tracker...
  14. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya fundi nyumba wamekuwa tatizo, wanakujengea nyumba yako na unawalipa malipo yao yote, baada ya hapo wanakusumbua kila wakuonapo wakiomba hela

    Baadhi ya fundi nyumba wamekuwa tatizo, wanakujengea nyumba yako na unawalipa malipo yao yote, baada ya hapo wanakusumbua kila wakuonapo wakiomba hela Hili tatizo linakera sana imepelekea baadhi ya wamiliki wa nyumba na majengo kutokuonekana sana uraiani na kuishi maisha ya siri baada ya kupata...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Fundi Mwerevu wa exhaust

    Hamjambo wakuu. Nisaidieni, nahitaji fundi wa exhaust ambayo anaexperince kubwa kuzikagua, rekebisha au replace exhaust. Pia kuweka ngao au kinga yoyote ya kuizuia kuharikibika tena. Gari ni Toyota Runx.
  16. A

    JamiiForums Tanzania Ninatafuta kazi au kibarua cha kulipwa kwa siku.

    Habari zenu wanaJF nipo Dsm natafuta kazi au kibarua cha kulipwa kwa siku. Iwe saidia fundi, bandarini, kiwandani au kazi yoyote ya halali. Elimu yangu ni shule ya msingi. Napatikaa Mbezi makabe. Natanguliza shukrani zangu za dhati
  17. N

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi wa Gari - Forester

    Anatafutwa Fundi wa Forester ili asaidie katika kuondoa changamoto hizi mbili:- i. Gari linawaka AC ikifika muda AC inakata ila baadaye inaanza tena. Nadhani hapa kuna error ambayo mwenye diagnostic Kit anaweza saidia ii. Gari lina camera ila uki - reverse Dashboard hai respond. Nitashukuru kwa...
  18. Tech Max

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi, fani yangu ni fundi mitambo (mechanical technician)

    Nahitaji kazi, fani yangu ni fundi mitambo (mechanical technician) -> Naishi Dar es salaam -> mawasiliano: inbox
  19. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Nimfanyaje huyu fundi Kwa hizi dharau alizonionesha

    Wakuu naendelea na ujenzi kwenye nyumba yangu Sasa mimi kawaida huwa napenda nifanye kazi na fundi bampa tu bampa kama saidia wake Sasa jana fundi wangu alileta fundi mwenzake na saidia wake Sasa Mimi nimeingia site kwangu asubuhi nalikologa zege jamaa anasema nakorpgaje kibishoo huku nimevaa...
  20. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Mimi fundi wa Kupaua, nyumba ya vyumba 3 napaua kwa TSh. Laki 8 bei ya ufundi

    Habari naombeni kazi mabosi zangu Nyumba ya vyumba ya vyumba 3 vya kulala napaua kwa lak 8 tu Namba zangu hizi 0743 257 669 Nipo banana ukonga
Back
Top Bottom