Natafuta fundi wa biodigester (Mashimo ya Choo)

dist111

JF-Expert Member
Nov 29, 2012
3,698
3,084
Hello wadau,

Nahitaji fundi wa mashimo ya choo kwa sehem zenye maji maji sana. Nadhani wanayaita biodegester.
Kama kuna fundi yupo Arusha naomba anipm. Itapendeza akintumia sample picha ya kazi alizowaho fanya (Ikiwa zaidi ya moja itapendeza).

Thanks
 
Hao
Msallamo-1X0.jpg
 
Nakuja pm kukipatia namba zake Jamaa yupo vizuri mno hata Mimi amenitengenezea
 
Bado upo? Sasa huku kwenye mashimo ya choo unafuata nini tena Faiza mbwa mwitu?
Hebu waache hawa na mambo yao bhana.
 
Uhuru kwako ni kitu cha ajabu sana, mimi nilipewa Uhuru miaka zaidi ya 1400 nyuma. Wewe naona bado haupo huru mpaka leo.
Unajua maana ya uhuru wewe..na unazijua aina za uhuru wewe?....au najibishana na mpumbavu alieferi hata kidato cha nne...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom