Umependa hiki ninachokifanya?

 • Ndio

  Votes: 1 33.3%
 • Hapana

  Votes: 0 0.0%
 • Nimependa sana

  Votes: 2 66.7%

 • Total voters
  3
Feb 4, 2019
20
45
Nikiwa kama Mtanzania mwenzenu nimejitolea kutoa mafunzo ya Video production bure YouTube kwa Lugha ya Kiswahili (ingia YouTube tafuta Director Chuma)
Kwa kile nilichonacho nimeona ni bora kushiriki nanyi ili tupige hatua katika sekta za filamu na burudani zote kupitia video nchini kwetu
Kama umependa hiki ninachokifanya naomba support yako kusubscribe na nitapata moyo wa kuendelea kufanya vipindi vingine vingi zaidi karibuni sana
33d5c608-9da3-43c1-a42b-54de09f9a1d1.jpg
 
Dumelang

JF-Expert Member
Aug 11, 2011
3,064
2,000
Nikiwa kama Mtanzania mwenzenu nimejitolea kutoa mafunzo ya Video production bure YouTube kwa Lugha ya Kiswahili (ingia YouTube tafuta Director Chuma)
Kwa kile nilichonacho nimeona ni bora kushiriki nanyi ili tupige hatua katika sekta za filamu na burudani zote kupitia video nchini kwetu
Kama umependa hiki ninachokifanya naomba support yako kusubscribe na nitapata moyo wa kuendelea kufanya vipindi vingine vingi zaidi karibuni sana View attachment 1013378
Weka na CV yako bosi maana hilo ndio la muhimu. Tufundishwe na mtu compitent sio unajua ku trim clips then tunakupa views youtube

Dumelang
 
Feb 4, 2019
20
45
Weka na CV yako bosi maana hilo ndio la muhimu. Tufundishwe na mtu compitent sio unajua ku trim clips then tunakupa views youtube

Dumelang
Unaweza kuangalia my latest project Merry Christmas by Walter Chilambo

Nimedirect, shoot, edit pamoja na final post na kuandika script
Nafikiri unaweza pata picha uwezo wangu kupitia hiyo

Na kwa uapende wa movie tafuta YouTube movie yangu ya mwsho kushiriki inaitwa MTALI CHUMA ambayo iliwania pia tuzo za Sziff mwaka jana
Nimeshiriki kama Director of Photography, Editor na Story Developer
Kazi zangu nyingne mtazifahamu kupitia vipindi vijavyo nitazitumia kama references

Karibu sana kaka
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom