filamu

  1. JamiiForums Tanzania Filamu ya Yesu kwa kilugha inachekesha sana

    Hii kwa kisukuma.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji kuteua PhD kusimamia sanaa na filamu Tanzania?

    Let us be serious kwenye teuzi zetu, hivi Dr. Ishengoma ni wapi amewahi kushiriki sanaa au kuigiza au kusimamia filim production? Nimetoa mfano huu baada yakuangalia viongozi wanaosimamia sanaa na filamu nchini nikaona most of them are civil servant and academician. Tunapotaka kukuza hizi sekta...
  3. JamiiForums Tanzania MSAADA; Nahitaji Kuwa Msanii wa Filamu.

    Habari yako, mimi ni kijana wa miaka 20s ni mhitimu wa chuo 2020(Bachelor Degree in Tax Management). Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu, kwa kipindi kirefu sasa nimekuwa napokea maoni mbalimbali haswa hapa mtaani wakinishauri kuwa niende nikaigize maana naonesha kuwa ninakipaji hiko...
  4. JamiiForums Tanzania Producer scott storch - the iconic -na story kuhusu ngoma yake aliyotoboa nayo still-dre ft snoop dogg

    Unazikumbuka hizi Learn Back, Make It Rain- Fat Joe, vipi kuhusu the iconic song kutoka westcost Still ya Dr Dre, Just A Lil Bit 50 Cent, Poppin Them Thangs - G unit, Gimme That-Run It za Chris Brown mzee list ni ndefu sanaaaaaaaaa kwa wakati wako google it. Huyo si mwengine basi ni Scott Scotch...
  5. JamiiForums Tanzania Wema Sepetu kuwania tuzo za HAPAwards 2020 Nchini Marekani kupitia Filamu ya Karma

    MREMBO anayefanya poa kwenye tasnia ya filamu nchini, Wema Sepetu, ametajwa kuwa miongoni mwa mastaa wanaowania tuzo za Hollywood And African Prestigious Awards (HAPAWARDS 2020) nchini Marekani. Wema, ameingia kwenye tuzo hizo akiwania kipengele cha Mwigizaji Bora wa kike wa Tamthilia za...
  6. JamiiForums Tanzania Tathimini ya soko la Muziki na Filamu Tanzania kama ambavyo Don Nalimison anachambua

    TATHIMINI YA SOKO LA MUZIKI TANZANIA NA WASANII WA FILAMU Naitwa Don Nalimison ni moja ya Wanamuziki nchini Tanzania ninayefanya mziki katika Lugha ya Kiingereza cha Kiafrika. Leo nataka tuangalie soko lilivyo. ONLINE DISTRIBUTION MARKET Tanzania bado hatujafikia soko la Online kwa kuwa 10% ya...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Paul Kagame amekanusha kwamba Serikali yake ilimteka Paul Rusesabagina ambaye ni nyota wa filamu ya Hotel Rwanda

    Rais Paul Kagame wa Rwanda Jumapili amekanusha kwamba serikali yake ilimteka Paul Rusesabagina ambaye sasa anashikiliwa nchini humo kwa makosa ya ugaidi na mengineyo. Rusesabagina ni maarufu duniani kutokana na alivyoonyeshwa katika filamu ya Hotel Rwanda kama shujaa aliyesaidia kuokoa maisha...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Filamu ya Kenya 'Poacher' kuoneshwa kupitia Netflix

    Pamoja na Netflix kuwa kampuni ya uzalishaji; jukwaa lenye utazamaji mkubwa ambao huvutia zaidi ya wanachama milioni 183 wa kimataifa, imekuwa ndoto ya kila mtengenezaji / waigizaji wa filamu kuwa na maudhui yao kurushwa juu yake. Sekta ya filamu nchini Kenya inaashiria hatua nyingine kufuatia...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akili kubwa - maudhui ya filamu "wavamizi" ya Kenya yakubalika kimataifa

    Hivi hivi tunakwenda, tunawakilisha. ======= Former Tahidi High actress Shirleen Wangari alias Shish Kenyan movie concept Wavamizi received international recognition after being listed in the 2020 Durban Film Mart (DFM) for funding. Wavamizi translates to Invaders in English and tells the...
  10. JamiiForums Tanzania Msanii wa Filamu Kulwa Kikumba maarufu kama 'Dude' apata ajali

  11. JamiiForums Tanzania Zijue alama na maana za kudhibiti maudhui kwenye muvi/filamu

    Habari wakuu, Wengi wetu tumekuwa watumiaji wa visimbuzi vya makampuni mbalimbali ili tuweze kupata burudani za filamu,tamthilia na michezo Kwa ujumla ili kuburudika na kuelimika Kwa watumiaji WA DSTV na visimbuzi vingine mara kadhaa kwenye channel tv zinazoonyesha muvi za action, documentary...
  12. JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli alipopiga simu kwenye Tamasha la Kwaya la Kumshukuru Mungu alikuwa yupo wapi pale?

    Habari wapendwa? Natumaini Wazima wa Afya. Twende kwenye hoja yetu, ni hivi: Jumapili kulikuwa na Tamasha la kwaya mbalimbali Lengo ni Kumshukuru MUNGU, Sasa kwenye mida kama ya Usiku hivi Kulikuwa na kama Tv ikamuonesha Rais John Pombe Magufuli akiwasalimia waliohudhuria. Ila Nyuma ya...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Huyu muigizaji wa filamu anaejiita mutrah1 huko instagram, ni sukari ya warembo aisee

    Professionally, huyu jamaa ni muigizaji maarufu kidogo, tena ni mtanzania anaeongea kiswahili, na ni mwanaume aliezaliwa na kukulia Dar, aliigiza kwenye ile movie inayoitwa huba, half kimuonekano jamaa hana hela, wala ha-post maisha ya kifahari kwenye Instagram page yake. Anaji-post yeye akiwa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mawazo kwa wasanii wa filamu: Tumieni mbuga zetu/ Wanyama wetu biashara zenu zitapata pesa sana

    Biashara ya filamu imeenda chini sana kuanzia enzi za Kanumba kwasababu hakuna ubunifu. Mimi kama diaspora nimefanya uchunguzi kujua kwanini hii inatokea. filamu zetu zinaiga na kujaribu kushindana na Nigeria lakini Tanzania tuna kitu kimoja ambacho wenyewe hawana. Sijawahi kuona picha kutoka...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi hawa Azam TV, Startimes, Zuku na DSTV huwa wanalipa kiasi gani cha fedha kwa filamu moja ya kibongo?

    Yoyote anayefahamu Azam TV, Startimes, Zuku na DSTV huwa wanalipa kiasi gani cha fedha kwa filamu moja ya kibongo anifahamishe..
  16. JamiiForums Tanzania Filamu ya IT

    Ninachompendea Stephen King ni ule uwezo wake wa kuandika visa tetemeshi sana kutokana na wazo la kawaida mno - wazo ambalo mara nyingi watu hawalifikirii mpaka walisome kutoka kwake. Sasa kwenye kitabu chake alichokiita "IT" kilichouzwa nakala nyingi sana duniani na kutengenezwa filamu angalau...
  17. JamiiForums Tanzania Kelele na hofu kubwa ya COVID-19 ni filamu ya Mission Impossible 2 (2000) kwa vitendo?

    Are the Pharmaceutical industries running the show? Hii kelele na hofu kubwa ya COVID-19 ni kama filamu la Mission Impossible 2 (2000) kwa vitendo?. Mataifa yote duniani tuna chezeshwa mchezo kama wa kampuni ya kusadikika iitwayo Biocyte Pharmaceuticals wa kutengeneza Chimera Virus na tiba...
  18. JamiiForums Tanzania Unaikumbuka filamu gani iliyokaribia kukutoa machozi

    Waandishi wa filamu walikuwa na vionjo vyao katika maisha ya mateso ambayo mtazamaji anaweza jikuta anamwaga machozi wakati anaangalia filamu. Hali hii ilikuwepo hata Tanzania kipindi filamu zinafanya vizuri kuliko sasa, filamu kama Dunia Hadaa, Safari, nk zilikuwa na vionjo vya kuteka hisia za...
  19. JamiiForums Tanzania TANZIA Muigizaji wa Kihindi aliyeigiza filamu ya Slumdog Millionaire, Irrfan Khan afariki dunia

    Muigizaji huyo maarufu kutoka tasnia ya filamu za Kihindi (Bollywood) aliyetamba katika filamu za 'Slumdog Millionaire' na 'Jurassic World' amefariki mapema leo akiwa na miaka 53 Alikuwa muigizaji anayependwa na kuheshimika sana, wengi wakisema ni mwigizaji wenye kipaji kikubwa. Mwongoza filamu...
  20. JamiiForums Tanzania Slumdog Millionaire: Filamu ya kihindi inayoonyesha maisha ya masikini wa India

    Ni filamu ya kihindi iliyotengenezwa mwaka 2008 inayoonyesha maisha ya kijana aliyekulia mtaani na kuwa tajiri kwa bahati tu Filamu ilianza kwa kumuonyesha muhusika Jamal, akiwa kwenye kipindi cha ‘who wants to be a millionaire’ kipindi kilikuwa kinauliza maswali mengi tofauti na atakaye patia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…