Ni zipi filamu zako bora za mwaka 2025?

Ni zipi filamu zako bora za mwaka 2025?

mshamba_hachekwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2023
Posts
24,943
Reaction score
81,598
Filamu zangu za mwaka ni;

1. Superman(2025)
Wamemuonesha superman kwa usahihi kama alivyo kwenye vitabu. Mpole, anayejali watu na ni ishara ya matumaini.

2. Mickey 17(2025)
Inaelezea vizuri kuhusu thamani ya utu. Inafikirisha kuhusu baadhi ya vitu, inachekesha pia

3. Edge of Tomorrow(2014)
Tom Cruise alicheza sana vizuri hapa aisee. Sijui kwanini sikuiona mapema

4. The Accountant(2016)
Hii nadhani wengi mnaijua vizuri. Ben Affleck alitisha sana humu

5. Novocaine(2025)
Comedy nzuri sana ya kimapenzi

6. Companion(2025)
Jinsi matukio yanavyobadilika na watu kugeukana utashangaa sana

7. Predator: Badlands(2025) & Predator: Killer of Killers(2025)
Nimependa zinavyochambua ulimwengu wa hawa "predators"

Za ziada;

8. Fantastic Four: First Steps(2025)
Filamu bora kabisa ya fantastic four kati ya zote 3.

9. Heads of State(2025)
Ya kawaida, isingeigizwa na John Cena na Idris Elba isingependeza

Na nyingine kama Weapons(2025), I Know What You Did Last Summer(2025)

Zilizokera;

The Conjuring: Last Rites(2025)
Haitishi hata kidogo muda mwingi wanazungumza tu na kisa hakieleweki. Ukilinganisha na filamu zingine za the conjuring ni hasara

Jurassic World: Rebirth(2025)
Kisa hakina mvuto ni cha kawaida sana

Nobody 2(2025)
Kisa hakina mvuto kama filamu yao ya kwanza
 
Ballerina
Final destination bloodline
Last breath
Mission impossible final reckoning
Sinners
F1
Untill Dawn
Bad Guys 2

Za mwaka jana nilizoangalia mwaka huu
Inside out 2
Moana 2
Nezha 2

Vincenzo Jr Mr Q Carleen
final destination ilikuwa ya kawaida bwana

F1 ina uzuri gani? Sijaiona

NeZha 2 naipataje?
 
Filamu zangu za mwaka ni;

1. Superman(2025)
Wamemuonesha superman kwa usahihi kama alivyo kwenye vitabu. Mpole, anayejali watu na ni ishara ya matumaini.

2. Mickey 17(2025)
Inaelezea vizuri kuhusu thamani ya utu. Inafikirisha kuhusu baadhi ya vitu, inachekesha pia

3. Edge of Tomorrow(2014)
Tom Cruise alicheza sana vizuri hapa aisee. Sijui kwanini sikuiona mapema

4. The Accountant(2016)
Hii nadhani wengi mnaijua vizuri. Ben Affleck alitisha sana humu

5. Novocaine(2025)
Comedy nzuri sana ya kimapenzi

6. Companion(2025)
Jinsi matukio yanavyobadilika na watu kugeukana utashangaa sana

7. Predator: Badlands(2025) & Predator: Killer of Killers(2025)
Nimependa zinavyochambua ulimwengu wa hawa "predators"

Za ziada;

8. Fantastic Four: First Steps(2025)
Filamu bora kabisa ya fantastic four kati ya zote 3.

9. Heads of State(2025)
Ya kawaida, isingeigizwa na John Cena na Idris Elba isingependeza

Na nyingine kama Weapons(2025), I Know What You Did Last Summer(2025)

Zilizokera;

The Conjuring: Last Rites(2025)
Haitishi hata kidogo muda mwingi wanazungumza tu na kisa hakieleweki. Ukilinganisha na filamu zingine za the conjuring ni hasara

Jurassic World: Rebirth(2025)
Kisa hakina mvuto ni cha kawaida sana

Nobody 2(2025)
Kisa hakina mvuto kama filamu yao ya kwanza
Sema ungemention za 2025 tu. Kuiweka namba 3 na 4 hapo jau.
 
Nikisema niandike my best 10 nahisi zitakua hizi hapa, nimemix theatres na Netflix, bila kuzipanga:

F1

Mission Impossible: The Final Reckoning

Avatar: Fire and Ash

Ballerina

Frankenstein

28 Years Later

A House of Dynamite

Troll 2

Deep Cover

The Accountant 2
 
Frankestein sijaicheki bado
Avatar nasuburi itoke theater
 
Ungesema Movies ulizoona 2025, sio Movies za 2025, maana siku hizi Hollywood ni kama imekufa

Mimi nilizoona 2025, lakini za zamani kidogo

1766868913582.png

1766868945839.png

1766868989271.png

1766869053705.png

1766869121531.png
 
Back
Top Bottom