Hi Nimesikiliza sana mazungumzo ya mitandaoni ya Mange kimambi na Maria Sarungi wakihamasisha kuwa tutoke kwa wingi tena tujitahidi sana na wala tusiogope .
NAJIULIZA YAFUATAYO?
1. Maria Sarungi wewe ni jasiri kweli mbona hukuja kumzika baba yako? Si ungeingia ukishikwa uwe na watu wa vyombo vya kimataifa na wanasheria wa kukutetea pamoja na media kubwa kubwa ili hata ukikamatwa utendewe haki , kama alivyofanya Tundu Lisu 2020 yule kweli alikuwa jasiri, kwa risasi zile na kurudi kugombea alikuwa jasiri.
2. Mange Kimambi unahamasisha sana mbona huji kutuuunga mkono jiiite mwanaharakati uje na passport yako ya Marekani ili ikuteteee, na US embassy wanakuwekea ulinzi kwanini huji unatuma tu watoto wa wenzio? kweli nimejiuliza sana.
3. SABABAU KUUU NI NINI SABABU YA MAANDAMANO NA KWA NINI 29/10/2025?
Ki ukweli sababu za Mange sizielewi na huwa simwelewi maana alikuwa anamsumbua sana Magufuli yaani yeye hana kiongozi mwema kwake sasa shida yake nini? Hoja kama ni UFISADI SAWA AU KAMA HOJA NI WATU KUTEKWA HAPO SAWA LAKINI JE GROUND ZA KUHAMASISHA NDIO HIZO?
Mwisho uzoefu unajulikana ndani ya maandaano kuna fujo sisi sio wazoefu wa maandamamno ya amani je vyombo vyetu kweli ni dhaifu hivyo waruhusu wachochezi waichome nchi yao tena wachochezi wapo nje sio ndani?
Mimi siungi mkono ufisadi wala kutekwa lakini wahamasishaji ndio siwaaamini kabisaaaa na sababu ya kuhasisha
Kesho narudi na hoja rasmi tarehe 29/1 0 tutoke au? lakini sioni haja mpaka sasahivi naona ni uchochezi tu