fikra

  1. MAKA Jr

    JamiiForums Tanzania SoC02 Visingizio 20 vinavyorudisha nyuma maendeleo ya Watanzania - Sehemu ya Kwanza

    UTANGULIZI Watanzania tunasifika kwa upole na ukarimu. Hizi sifa na nyinginezo hazikuja bure. Waasisi wa Taifa hili walitumia mbinu nyingi kutujengea sifa hizi za kiungwana. Moja ya mbinu hizo ni kuhimiza matumizi ya lugha ya Kiswahili ambayo imetujengea utamaduni huo hadi leo. Hata hivyo...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Ushirikina walioufanya Simba ugenini ni kutuchafua watanzania, Vitendo vyao vina madhara makubwa sana juu ya fikra za wageni kwa watanzania kiujumla

    Ni wakati sasa kwa TFF kutoa adhabu kali kwa hawa washirikina. Jambo hili halikubaliki hata kidogo. Yaani tunaonekana Watanzania ni watu wa juju! Jambo ambalo siyo sahihi hata kidogo. Unafanyaje ushirikina mbele ya makamera yote yale ukiwa nchi ya ugenini ? Hiki kilichofanyik ni kinyume...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ni hatari sana kuwa na jirani wa hivi,maskini wa fikra, a dunderhead asiye na malengo

    Unatarajia nini ukiwa na jirani maskini mvivu na asiye na malengo? Ndiyo maana wenye hela hupenda kuishi jirani na matajiri wenzao, sasa umeenda uswahilini huko pembeni yako kuna kigagula kimaskini utasikia EHEEE MALI HIZO WATAKUFA WATAZIACHA...EHEEEE WAKIITWA WENYE MAGARI NA WEWE...
  4. BigTall

    JamiiForums Tanzania Vijana waaswa kuondokana na fikra mgando wakihitaji kufanikiwa kimaisha

    Imeelezwa kuwa tatizo la kubwa la baadhi ya vijana toka familia zenye mazingira magumu kutojikita kuanzisha miradi ya kiuchumi ni kutokana na kujinyanyapaa wenyewe na kuwa na fikra mgando za kukata taamaa kama hawawezi kufanikiwa kiuchumi hata kama wakiwezeshwa . Akizungumza katika Ukumbi wa...
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Deep thinking: Utu wako uujuao wewe ni tofauti na matoleo tofauti ya utu wako katika fikra za watu wengine. Ujifikiriavyo sivyo uonwavyo!

    Maisha ya mtu yeye pekee ndie anaeweza kucheki muvi nzima ya Maisha yake kuanzia kumbukumbu, tabia, siri, fikra, hisia, mahusiano, mwili, udhaifu, anachopenda, n.k. katika muvi hio watu wataaambulia clips za hio muvi ama picha mnatona screenshots zitazojenga toleo lako la lengine katika fikra...
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Fikra ya documentary: Historia ya Chama cha Makuli wa Dar es Salaam (Dar es Salaam Dockworkers' Union)

    FIKRA YA DOCUMENTARY: DAR ES SALAAM DOCKWORKERS' UNION (CHAMA CHA MAKULI WA DAR ES SALAAM) 1947 Leo nimetembelewa na mwandishi kijana Charles Michael kutoka Morogoro. Charles ni muhitimu wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam ambako amesomea utengenezaji wa filamu na ni mwandishi wa BBC. Alinipigia...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Vijana kachukueni Pasipoti zenu Uhamiaji mtawanyike Duniani; kusubiri ajira na uteuzi ni utumwa wa fikra

    Mhe. RAIS ameifungua nchi, SI Kwa wazee Bali Kwa vijana. Wakenya wamejaa Tanzania Kwa ajili ya matembezi ,biashara, ajira nk. Sisi Watanzania tumejazana Dar na tunajipongeza Kwamba tumeiona Dunia. Hapana vijana badilisheni fikra, mtizamo na mikakati, wazeni kuvuka mpaka, wazeni kufanya biashara...
  8. Ileje

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunaathirika na udhaifu wa fikra (Inferiority Complex) wa viongozi wetu wakuu

    Tukianza na Rais yeye anafikiri kuna watu wanamdharau kwa kuwa yeye ni mwanamke. Mawazo haya amekuwa nayo hata kabla hajaapishwa kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Na mara baada ya kuapishwa hotuba yake rasmi kama Rais alitamka kwa msisitizo kuwa yeye ni Rais mwanamke! Hali...
  9. Eric Cartman

    JamiiForums Tanzania Polepole endelea na shule yako: Msingi wa maendeleo ni fikra pia

    Silaha ya mwanadamu ni fikra na katika historia ya maendeleo ni fikra mpya ndio zilizofikisha wanadamu tulipo leo katika kuelezea maendeleo yetu. Majuzi tumepeleka ‘James Webb’ telescope zaidi ya mile million 100 na sayari yetu ilipo na scientific reasoning ya hali ya juu ilitumika ili kuweza...
  10. winnerian

    JamiiForums Tanzania Maendeleo yanaanzia kwenye fikra chanya na huru

    Tanzania hatuna uwezo wa kutengeneza karatasi sembuse uzi wa kishona nguo. Kwa miaka 60 fikra zetu zimeshikiliwa na siasa. Sio wananchi pekee bali kuanzia viongozi wa ngazi ya juuu kabisa hadi chini. Fikra chanya na huru ndio maendeleo yenyewe au la tuamue kutumia mfupi wa kijima kama China...
  11. LODSI

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru wa Tanzania: Ni uhuru bila mjeredi wa mkoloni lakini ni utumwa wa maisha katika ukombozi wa fikra

    Takribani miaka 60 tangu Tanganyika tupate uhuru wetu na ni takribani miaka 57 tangu Tanganyika iungane na Zanzibar tukawa TANZANIA ya leo, kwa miaka yote hiyo 60 kuna namna ambayo mtu mmoja mmoja, familia na serikali kwa ujumla ilitakiwa kichangua njia sahihi ya kuendesha maisha ya watu wake na...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kiukweli bado tuko kwenye enzi za Zidumu Fikra za Mwenyekiti. Hii ni kwa vyama vyote

    Hakuna chama chochote cha siasa hapa nchini ambacho Fikra za mwenyekiti wake zinaweza kupingwa ama kupuuzwa. Walau kwa mbali CCM wanaweza kum-challenge mwenyekiti wao kwenye vikao, tuliona kijana mmoja wa UVCCM akimpinga Hayati Magufuli kwenye mkutano namna David Silinde anavyopendelewa kwenye...
  13. Heater

    JamiiForums Tanzania Seif foundation Lengo kuu ni kuenzi fikra za Hayati Maalim Seif... Vipi kuhusu kuenzi fikra za Magufuli?

    Mdau mmoja kaniuliza na mm nimeona n vyema niulizane na wenzangu ambao ndio Jf (yaan ww unaesoma) Tumeshuhudia namna ambayo watu wametumia kuenzi fikra za Maalim Seif na kwamba itakuwa ni endelevu, na kiukweli ni kitu kizuri sana.. Sasa hoja kubwa ni kuhusu aliyekuwa Raisi wa hawamu ya 5 Mr...
  14. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania CCM Kuweka misingi madhubuti kuendeleza sanaa nchini

    CCM KUWEKA MISINGI MADHUBUTI KUENDELEZA SANAA NCHINI Dar es Salaam 25 Septemba, 2021 Akizungumza kupitia jukwaa la wasanii liloandaliwa na kampuni ya Marketing Africa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Shaka Hamdu Shaka amesema serikali ya CCM itaendelea kuweka misingi Imara ya...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Fikra mpya na mageuzi ya kiutendaji yanahitajika TAZARA

    Ndg zangu watanzania, ninapenda kutoa maoni yangu kwa shirika la reli Tanzania na Zambia yaani Tanzania Zambia Railway( TAZARA). Usafirishaji wa abiria umekuwa changamoto kubwa kutokana na ajali za mara kwa mara zinazozipata treni za mizigo na hivyo kupelekea treni za abiria kushindwa...
  16. Jeef George

    JamiiForums Tanzania Maisha bila umasikini wa fikra

    Habari karibu katika andiko hili la story for change,Lenye kuhamasisha jamii kuelimisha na kubadili mitazamo hasi kuwa chanya yenye kuleta msukumo wa jamii iliyolala katika wimbi la umasikini na kuamka katika mafanikio ya utajiri na jamii yenye kipato. Ndimi mwandishi wako Ndugu jeef george JF...
  17. Niker

    JamiiForums Tanzania SoC01 Fikra zangu juu ya wachora ramani wa kijiji chetu

    Mimi ni mwanakijiji kutoka kijiji kile kilicho staarabika, naam ndio ustaarabu huu ambao vijiji vingi kama si vyote juu ya ardhi hii ya ulimwengu huutumia, nakiri kwamba kijiji nitokacho husifiwa kuwa na watu wakarimu na wachukiao shari, kwao vita na malumbano ni jambo la kihistoria, lilitokea...
  18. Ntiyakama

    JamiiForums Tanzania SoC01 Afya ya Fikra - Amani ya Maisha

    "Amenikosea sana | nimekasirika mno kwa sababu yake | amenikwaza kwa kweli | sikutarajia kama angalinihuzunisha namna hii | amenivunja moyo kabisa | ameniondolea amani yangu" Katika mkoa mmoja, nilikuwa nikitafuta chumba cha kupanga (niliambatana na rafiki zangu wawili). Tulipita nyumba...
  19. Prof Sankara

    JamiiForums Tanzania SoC01 TEHAMA inakuza au inadumaza fikra kwa watoto?

    "Mapinduzi yanaletwa na watu, watu wanaofikiri kama watu wa vitendo na kutenda kama watu wenye fikra” aliwahi kusema Rais wa Ghana Nkwame Nkuruma wakati wa uhai wake. Maendeleo Teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) yamechukua nafasi kubwa katika maisha ya Watanzania. Fikira zetu zote...
  20. T

    JamiiForums Tanzania SoC01 Maendeleo binafsi, ni Maendeleo ya Jamii nzima

    “Maendeleo binafsi, ni Maendeleo ya Jamii nzima”. Habari zenu, ndugu wana Jamii Forums, haswa jukwaa hili la "stories of change". Ni tumaini langu sote tu wazima wa afya. Andiko hili litaangazia juu ya ukombozi wa fikra. Kama ifuatavyo; Mtaji wa kwanza wa Maendeleo binafsi ni Ukombozi wa...
Back
Top Bottom