fikra

  1. Midnight

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa fikra na sanamu za shaba

    Mungu ibariki Afrika. Heshima kwenu ndugu zangu katika Jamii forum, washiriki katika Jamii forum page Facebook, Telegram na search engine zote zenye unapata kuunganishwa na nyuzi zote makini kutoka JF. Kwanza kabisa napenda kuupongeza uongozi wa JF kwa kuleta mabadiliko na elimu pana...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Je, Assad alikuwa anamzungumzia Kabudi kwenye Watu waliopewa madaraka na kubadilika fikra?

    "Kuna Viongozi nilifanya nao kazi katika chuo kikuu cha Dar es salaam , walikuwa wanaheshimika sana kwa fikra zao, lakini baadaye wakapa madaraka yakawabadilisha kifikra, na kuwa fikra zisizo na maadili "( Corruption of Mind) - Prof Assad 👇🏿Atakuwa Huyu..
  3. Shayu

    JamiiForums Tanzania Fikra

    Hata mbwa anaweza kufundishwa na kufanya baadhi ya mambo, binadamu anapaswa kuwa juu ya kufundishwa. ANAWAJIBIKA kwa kutumia akili yake mwenyewe kuzalisha maarifa sio kupokea tu maarifa. Anayepokea tu maarifa pasipo kuzalisha maarifa bado ni mfungwa. Ana ufungwa ule ule ambao anao mbwa...
  4. Stephen Ngalya Chelu

    JamiiForums Tanzania Kama humfahamu huyu jamaa basi fikra zako siyo angavu kabisa.

  5. beth

    JamiiForums Tanzania Majaliwa: Watanzania tuachane na fikra potofu kuwa bidhaa zinazotoka nje ya nchi ndizo zenye ubora

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameziagiza mamlaka zote za udhibiti zihakikishe kuwa bidhaa zinazoingizwa nchini kwa ajili maonesho mbalimbali zinakuwa na viwango vya kimataifa na pia bidhaa zisizo na viwango na bidhaa bandia hazipati nafasi ya kuingia kwenye soko la Tanzania. Aidha, amewataka...
  6. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Fikra tamanifu za makamanda

    Makamanda wamechanganyikiwa. Hawajui kama wanaenda au wanakuja. Sasa sikilizeni nyie makamanda [ingawa najua hamna uwezo mkubwa wa kufikiri kwa kutumia akili, lakini jitahidini kuelewa]. Ni hivi: Rais Magufuli hatofikishwa huko kwenye mahakama ya kimataifa ya jinai. Hatofikishwa kwa sababu...
  7. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ndoto, maono na fikra za Dkt. Magufuli katika awamu yake ya pili kuelekea mikoa mbalimbali

    Generally ni Tanzania kuwa kama Ulaya Arusha kuwa Calfonia Kigoma kuwa lango la biashara Maziwa Makuu Mbeya kuwa Chicago Dar kuwa Birmingham Tabora kuwa Toronto Zanzibar kuwa Dubai Dodoma kuwa kama San Fransico Singida kuwa kama London Mwanza kuwa lango la biashara Tanga kuwa kitovu cha...
  8. Askarimtu

    JamiiForums Tanzania YAH: Ukombozi wa Fikra Afrika (kitata)

    Kwako Bwana/Bibi, Husika na kichwa cha habari hapo juu! Mimi ni mtanzania wa kawaida sana niliyemaliza elimu yangu ya kunitosha tuu, ya kujua kusoma na kuandika. Lengo la barua hii ni kutaka kukujulisha kuwa hapo zamani, Afrika ilikuwa na nchi kama Kaanani, Babiloni, Assyria, Sidoni, Tiro...
  9. Moto wa volcano

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Oa au olewa kwa fikra sio Fashion

    Sikuhizi watu wanaoana kwa Fashion bila kutumia fikra , binadamu sisi ni mbegu , hauwezi ukapanda mbegu ya Tunda chungu utegemee upate Tunda lenye ladha. Fanya tafiti kwanza ya ukoo wa mke au mume unayetaka akuoe au umuoe. Maana kuna dhambi na laana huwa zinatembea vizazi kwa vizazi , kuna...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Zamani CCM walisema Zidumu fikra " sahihi" za mwenyekiti Sasa Chadema wanasema ' Zidumu fikra za mwenyekiti'

    Najaribu kukumbuka tu kiapo changu cha uanachama na salamu zetu ndani ya chama wakati ule wa awamu ya kwanza. Kwanza tuliitana " ndugu" pili tuliamini katika uhai wa chama ndio tulisema " kidumu chama cha mapinduzi" na tatu tuliamini katika uwezo wa mwenyekiti wetu na tulifahamu kuwa yeye ni...
  11. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Afrika bado wametawaliwa na fikra za kikoloni, Waafrika wananyanyasika Dunia nzima hawachukui hatua. Inauma sana

    Pamoja na Afrika kuwa na utajiri wa rasilimali zote lakini waafrika si tu kwamba hawafaidi rasilimali zao lakini pia zimewatesa sana rasilimali zao kwa vita za kuchonganishwa. Afrika imebarikiwa hata hali ya hewa ya Afrika inavutia lakini viongozi wetu wanaongoza kuwatukuza wakoloni wa kizungu...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Urithi wa Karume Licha ya kuondoka fikra zake zinawaongoza Wazanzibari

    IMETIMIA miaka 48 sasa tangu muasisi wa taifa la Zanzibar Abeid Amani Karume, kuuawa kikatili na wapinga maendeleo mnamo Aprili 7, 1972. Wanaopinga maendeleo walimshambulia Karume na kumua akiwa kwenye makao makuu ya chama kilicholeta uhuru cha ASP ofisi ya Kisiwandui. Tamko la Baraza la...
  13. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Upumbavu ni hali ya kutotumia fikra vizuri na kufanya maamuzi mabaya. Je, Rais kuwaeleze ukweli watendaji wake ni wapumbavu anakosea?

    Kabla ya kuanza kumhukumu mtu ni lazima kwanza mtu uwe unajihakikishia je huyu mtu amefanya kosa kweli? Na kama amefanya kosa kweli ndio unapaswa kutoa hukumu yako. Akiwa hajafurahishwa na utendaji wa Wahandisi wasomi na tena viongozi wa vitengo muhimu Rais JPM alitumia neno upumbavu kuonyesha...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa Benki ya Dunia umeonyesha upinzani sio idadi ya ubunge, ni fikra

    Kama kuna watu walikuwa wanafikiria kwamba kuwabana upinzani, wanahabari na watoa maoni kutafanya chochote kiweze kufanyika wafiliri tena. Dunia ya siku hizi tunategemeana sana kiasi kwamba mtu wa kawaida tu ana uwezo mkubwa sana kuleta na kuzuia mambo mengi kama hamjakubaliana pamoja kama nchi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Bila wanasiasa kubadili fikra ni ngumu sana kuondokana na umasikini

    Leo ningependa kugusia a very dominant premise ya wanasiasa wetu, "Tuzaliane tuongezeke ili uchumi wetu ukue, au tukuze uchumi" kwa ufupi they believe there's a strong correlation between population increase/growth and economic development/growth. Binafsi siamini suala kuongeza idadi ya watu...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Upinzani ni fikra sio chama, haufi

    Kuna wanaofikiria vyama vya upinzani na fikra za upinzani ni kitu kimoja. Tanzania watu wana utamaduni na fikra za kupingana na ubishi hii hakuna mtu ataweza kuiondoa. Ilikuwepo kabla ya uhuru mpaka sasa. Vyama vitakufa kwasababu ni taasisi zinazoweza kubanwa lakini fikra ya upinzani ni kama...
  17. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Kuhusu fikra ya kuua upinzani, “The Law of Polarity”

    Kumekuwa na mijadala kwenye mitandao ya kijamii kuhusu kuua au kutoua, kufa au kutokufa kwa upinzani Tanzania. Ukiangalia kwa ukaribu jambo hili; kuna watu wanafikiri upinzani ukifa litakuwa jambo la faida kwa taifa, ila kiuhalisia litakuwa ni jambo la hasara kwa watu wote na pengine la hatari...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Ndege hizi zinazonunuliwa cash zina faida gani kwa Mtanzania?

    *Na Emmanuel J. Shilatu* Tangu Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli iingie madarakani imekazania kununua ndege kwa ajili ya Shirika la ndege la Tanzania (ATCL). Baadhi ya Watu wanahoji kwanini pesa hizo za kununulia ndege aina...
  19. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania Zero IQ mtayarishaji wa JF-HardTalk umepotea nini tatizo?

    Ndugu Zero IQ mratibu, muandaaji na mtayarishaji wa JF Hardtalk umepotea ni muda sasa nini tatizo?! Uhitaji wa hardtalk ungali upo kwa sababu ilianza kusaidia kuwatambua wana-JF uwezo, mitazamo na maono yao kwa uwazi mkubwa. Ndugu Zero IQ kama ulisitisha muendelezo wa hardtalk tafadhari anza...
Back
Top Bottom