A
Anonymous
Guest
Ajira Mpya 2025 Simiyu Itilima DC hatujalipwa pesa za kujikimu mwaka sasa, tukiuliza tunaambiwa tupo kwenye mpango na kuonekana watovu wa nidhamu kama vile sio stahiki zetu.
Amesema yeye ni mwalimu?Nyie walimu ndo hushirikiana na policcm na Tume "Huru" ya Uchaguzi kuiba uchaguzi kwa ajili ya mafisadi dhidi ya matakwa ya umma.
Wacha DC awanyooshe kidogo
Hiyo ndiyo kada inayotumikishwa na kuonewa sana na WahuniAmesema yeye ni mwalimu?
Sawa sasa km ni ule uchafuzi si walishalipwa au wanadai tena?Hiyo ndiyo kada inayotumikishwa na kuonewa sana na Wahuni
Itakuwa walilipwa, ila Mkakati wa Wahuni ni kuhakikisha walimu wanakuwa na njaa kali ili next time wawe tayari kutumika tenaSawa sasa km ni ule uchafuzi si walishalipwa au wanadai tena?